Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

Ata katika vita nyumba za ibada hua haziuswi kabisa sasa kwa hili kuvunjwa misikiti tunalijua wote na nikatika kuizuia CUF wakati ule isichukue madaraka ambapo CUF walionekana ni waislamu zaidi..na hii ilifichwa kwasababu maalum ya kiusalama na kumlinda MKAPA aliekua amri jeshi mkuu
 
mbo shein alipokuwa
akiongea hakuongelea kama kunamisikiti iliharibiwa,hata jeshi la polisi
halikusema habari ya misikit.au nao ni vyombo vya habari???

halafu waandishi hupata habari zao kutoka kwa hao hao wanasiasa na polisi!
 
[h=1][/h]Written by Ashakh (Kiongozi) // 15/06/2012 // Habari // 1 Comment

Na John Ngunge
15th June 2012
Mbunge wa Chakechake, Pemba, Rajab Mbaruku Mohammed (CUF), amevishutumu vyombo vya habari kwa madai ya kuandika upande mmoja wa vurugu zilizotokea Zanzibar, akidai havikuripoti uchomaji wa misikiti na mali za watu na badala yake vilitangaza kuhusu uchamaji wa makanisa pekee.
Hata hivyo, wakati Mbunge huyo akitoa tuhuma hizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizotolewa na Jeshi la Polisi Zanzibar kuhusiana na matukio hayo, hakukuwa na taarifa za misikiti kuchomwa moto.
Huku akirejea vurugu zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu wan chi hiyo ambapo mamia ya watu waliuawa na mali zao kuharibiwa, Mohammed alisema ripoti ya uchaunguzi ilionyesha kuwa, vurugu hizo zilichochewa pia na
vyombo vya habari.
Aliishauri Serikali ya Muungano na Zanzibar kuunda tume huru ya uchunguzi ili wahusika wavurugu za Zanzibar wachukuliwe hatua na kudhibiti hali hiyo isitokee tena.
“Katika vurugu zilizotokea Zanzibar Mei 26 na 27 mwaka huu, vyombo vya habari havikuripoti uchomaji wa baadhi ya misikiti na mali na badala yake viliripoti kuhusu uchomaji wa makanisa na mali zake…viliripoti habari za upande mmoja tu, sasa unasemaji kuhusu vyombo hivyo vilivyotoa taarifa za upande mmoja,” alihoji.
Akijibu Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alisema: “Rai ya kuunda tume huru ya uchunguzi ni nzuri lakini siwezi kulisemea moja kwa moja hapa, tutawasiliana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kuona hatua walizofikia kumaliza tatizo hilo na kama kuna haja ya kuunda tume.
Kuhusu uandishi wa habari alisema ni lazima habari ziandikwe kwa ulinganifu. Hata hivyo, alisema jambo kubwa hapa ni kudhibiti chanzo. “Ni vizuri jambo hili likadhibitiwa, lisiendelee.” Alisema.
CHANZO: NIPASHE
 
Written by Ashakh (Kiongozi) // 15/06/2012 // Habari // 1 Comment

Na John Ngunge
15th June 2012
Mbunge wa Chakechake, Pemba, Rajab Mbaruku Mohammed (CUF), amevishutumu vyombo vya habari kwa madai ya kuandika upande mmoja wa vurugu zilizotokea Zanzibar, akidai havikuripoti uchomaji wa misikiti na mali za watu na badala yake vilitangaza kuhusu uchamaji wa makanisa pekee.
Hata hivyo, wakati Mbunge huyo akitoa tuhuma hizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizotolewa na Jeshi la Polisi Zanzibar kuhusiana na matukio hayo, hakukuwa na taarifa za misikiti kuchomwa moto.
Huku akirejea vurugu zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu wan chi hiyo ambapo mamia ya watu waliuawa na mali zao kuharibiwa, Mohammed alisema ripoti ya uchaunguzi ilionyesha kuwa, vurugu hizo zilichochewa pia na
vyombo vya habari.
Aliishauri Serikali ya Muungano na Zanzibar kuunda tume huru ya uchunguzi ili wahusika wavurugu za Zanzibar wachukuliwe hatua na kudhibiti hali hiyo isitokee tena.
"Katika vurugu zilizotokea Zanzibar Mei 26 na 27 mwaka huu, vyombo vya habari havikuripoti uchomaji wa baadhi ya misikiti na mali na badala yake viliripoti kuhusu uchomaji wa makanisa na mali zake…viliripoti habari za upande mmoja tu, sasa unasemaji kuhusu vyombo hivyo vilivyotoa taarifa za upande mmoja," alihoji.
Akijibu Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alisema: "Rai ya kuunda tume huru ya uchunguzi ni nzuri lakini siwezi kulisemea moja kwa moja hapa, tutawasiliana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kuona hatua walizofikia kumaliza tatizo hilo na kama kuna haja ya kuunda tume.
Kuhusu uandishi wa habari alisema ni lazima habari ziandikwe kwa ulinganifu. Hata hivyo, alisema jambo kubwa hapa ni kudhibiti chanzo. "Ni vizuri jambo hili likadhibitiwa, lisiendelee." Alisema.
CHANZO: NIPASHE

hata huko Arusha Polisi walisema waliokufa ni 1. lkn nakumbuka Nipashe ilihaha kutafuta data. Kumbe maswali ya Kiislam magazeti source yao ni Polisi lkn likja la wakiristo SOURCE yao ni Kanisa na kuhaha kutafuta habari usiku na Mchana? Wahahariri watz ni wazi wanaukumbatia UDINI
 
Kuna mijitu mengine imekaa akili zao kama Migombe tu, wao wakishaona habari katika media ndio hulenga huko huko bila kufanya utafiti.

Hivi sasa kumekuwa na Kasheshe huko Zanzibar Jumuia ya Uamsho ku-press Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea Zanzibar Mei 26 na 27 na kulengwa Uamsho, haliyakuwa Uamsho ilikuwa ni kuku wa sadaka tu katika nyuma ya Pazia.

Ukweli wa vurugu hizo wahusika wate wanajulikana kuwa ni baadhi ya vigogo wa Serekali Smz na magenge yao ya kihuni ya uvccm ambao uchahidi wa uhakika tayari umezagaa mitani na walofanya hivyo wote wanajulikana na hivi sasa Smz ina haha baada ya ukweli kuanza kujitokeza.

Walisahau kuwa ndani ya Jeshi la Polisi na vikundi hivyo vya kihuni uvccm wote ni Wazanzibar na wana ndugu na jamaa kuweza kuwapasha habari na njama za hujuma zilivyo bangwa na kutokea.

Sasa Serekali inahimizwa iunde tume maalum ya kuchunguza ina suwa suwa, ujuwe mwicho wa ubaya ni fedheha, na media za Tanzania Daima,Ippmeadia (abdalla Sadal) na Nipashe zilichangia kumwaga sumu katika jamii ya watu wa Zanzibar lengo lao nini?
 
Ukimuuliza huyo Mh. akutajie angalau msikiti mmoja tu anaoufahamu uliochomwa moto MTAKESHA. Mambo ya kwenye "gahawa" anayaleta bungeni.
mKUU, MBONA UPO . KINACHOSIKITISHA WAHARIRI WETU WAMEVAA MOIWANI WA UKIRISTO BADALA YA UTZ
 
huyo mbunge ataje msikiti uliochomwa. Isije kuwa ni miongoni mwa wafadhili wa wanaumusho. Kwa nini atetee wanaoitwa wahuni na ccm kwa nini asiwalaumu ccm kwa kupotosha uma.!
 
waliofanya haya ni umamsho,TUANCHE UNAFIKI HAYA YAMEFANYWA NA WAISLAM, jaribu kufutilia cd za mihadhara ya uamsho na mingine viongozi wa kislam wamekuwa wakipandikiza chuki kwa waumini wao juu ya ukristo,kila kona wanalalama mfumo kristo mfumo kristo,wamefikia hata umeme ukikatika mfumo kristo,shein nae wanasema kawekwa na kanisa,meli imezama wanasema mfumo kristo,kila kitu wanalaumu wakristo.HIVYO NDIVYO WAISLAM WALIVYOLELEWA.WAISLAM WAMECHOMA MAKANISA MAKUSUDI KWA KUWA WAKRISTO NI WACHACHE NA WANATAJA KUKERA WATANGANYIKA.

ukitaka kujua hawa jamaa wanaubaguzi wa kidini angalia kikundi kinachopinga muungano,ni kikundi cha dini moja kinapinga muungano chenyewe jambo ambalo ni la watu wote znz wenye dini tofauti na shuguli zao wanafanyia msikitini.
 
Kuna mijitu mengine imekaa akili zao kama Migombe tu, wao wakishaona habari katika media ndio hulenga huko huko bila kufanya utafiti.

Hivi sasa kumekuwa na Kasheshe huko Zanzibar Jumuia ya Uamsho ku-press Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea Zanzibar Mei 26 na 27 na kulengwa Uamsho, haliyakuwa Uamsho ilikuwa ni kuku wa sadaka tu katika nyuma ya Pazia.

Ukweli wa vurugu hizo wahusika wate wanajulikana kuwa ni baadhi ya vigogo wa Serekali Smz na magenge yao ya kihuni ya uvccm ambao uchahidi wa uhakika tayari umezagaa mitani na walofanya hivyo wote wanajulikana na hivi sasa Smz ina haha baada ya ukweli kuanza kujitokeza.

Walisahau kuwa ndani ya Jeshi la Polisi na vikundi hivyo vya kihuni uvccm wote ni Wazanzibar na wana ndugu na jamaa kuweza kuwapasha habari na njama za hujuma zilivyo bangwa na kutokea.

Sasa Serekali inahimizwa iunde tume maalum ya kuchunguza ina suwa suwa, ujuwe mwicho wa ubaya ni fedheha, na media za Tanzania Daima,Ippmeadia (abdalla Sadal) na Nipashe zilichangia kumwaga sumu katika jamii ya watu wa Zanzibar lengo lao nini?

Hivi hao viongozi ni wakristo?
 
majini tatizo,wanaogopa kitu moto
 
Inaelekea Alqaida wapo tz pia. Msikilize anayejiita malumbano. Lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Mungu atawalaani wote wenye nia mbaya na nchi hii. Kwa nini kila kinachozungumzwa anarukia ukristo na uislamu? Hana ndugu zake wa damu ambao ni wakristo?
 
Wale wale wenye ukengeufu na mattizo ya msingi.
***** wa kuanzisha vurugu umwagwe na Uamsho halafu wenyewe katu hawahusiki na ***** huo!, halafu alaumiwe mwingine kabisa.
Tushawazoea "malaika" ninyi!
 
hao cuf mpaka leo hii hawajasema lolote kuhusu uamsho badala yake wanailalamikia magazeti...kweli cuf ndio uamsho na uamsho uko serikalini
 
Inaelekea Alqaida wapo tz pia. Msikilize anayejiita malumbano. Lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Mungu atawalaani wote wenye nia mbaya na nchi hii. Kwa nini kila kinachozungumzwa anarukia ukristo na uislamu? Hana ndugu zake wa damu ambao ni wakristo?
Kwa nini wasipewe nchi yao wajitawale wanavyotaka badala ya kuwang'ang'ania na kuwabatiza majina kila siku, mara Magaidi, Alqaida, Boko haram, Al-Shabab n.k??
 
Kuna mijitu mengine imekaa akili zao kama Migombe tu, wao wakishaona habari katika media ndio hulenga huko huko bila kufanya utafiti.

Hivi sasa kumekuwa na Kasheshe huko Zanzibar Jumuia ya Uamsho ku-press Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea Zanzibar Mei 26 na 27 na kulengwa Uamsho, haliyakuwa Uamsho ilikuwa ni kuku wa sadaka tu katika nyuma ya Pazia.

Ukweli wa vurugu hizo wahusika wate wanajulikana kuwa ni baadhi ya vigogo wa Serekali Smz na magenge yao ya kihuni ya uvccm ambao uchahidi wa uhakika tayari umezagaa mitani na walofanya hivyo wote wanajulikana na hivi sasa Smz ina haha baada ya ukweli kuanza kujitokeza.

Walisahau kuwa ndani ya Jeshi la Polisi na vikundi hivyo vya kihuni uvccm wote ni Wazanzibar na wana ndugu na jamaa kuweza kuwapasha habari na njama za hujuma zilivyo bangwa na kutokea.

Sasa Serekali inahimizwa iunde tume maalum ya kuchunguza ina suwa suwa, ujuwe mwicho wa ubaya ni fedheha, na media za Tanzania Daima,Ippmeadia (abdalla Sadal) na Nipashe zilichangia kumwaga sumu katika jamii ya watu wa Zanzibar lengo lao nini?

Kaka huyu jamaa (Abdalla Sadala) huyu ni mzushi mkubwa na fitna hapa Z'bar ndio hao waandishi uchwara Tz daima, Nipashe na Mwananchi, wasubiri wataaibika mda si mrefu.
 
Wale wale wenye ukengeufu na mattizo ya msingi.
***** wa kuanzisha vurugu umwagwe na Uamsho halafu wenyewe katu hawahusiki na ***** huo!, halafu alaumiwe mwingine kabisa.
Tushawazoea "malaika" ninyi!

Tushawazoea "Miungu" nyinyi kwa upafect wenu.
 
waliofanya haya ni umamsho,TUANCHE UNAFIKI HAYA YAMEFANYWA NA WAISLAM, jaribu kufutilia cd za mihadhara ya uamsho na mingine viongozi wa kislam wamekuwa wakipandikiza chuki kwa waumini wao juu ya ukristo,kila kona wanalalama mfumo kristo mfumo kristo,wamefikia hata umeme ukikatika mfumo kristo,shein nae wanasema kawekwa na kanisa,meli imezama wanasema mfumo kristo,kila kitu wanalaumu wakristo.HIVYO NDIVYO WAISLAM WALIVYOLELEWA.WAISLAM WAMECHOMA MAKANISA MAKUSUDI KWA KUWA WAKRISTO NI WACHACHE NA WANATAJA KUKERA WATANGANYIKA.

ukitaka kujua hawa jamaa wanaubaguzi wa kidini angalia kikundi kinachopinga muungano,ni kikundi cha dini moja kinapinga muungano chenyewe jambo ambalo ni la watu wote znz wenye dini tofauti na shuguli zao wanafanyia msikitini.

Utawashirikisha wakristu (ambao ni 0.1%, wahindi ni 0.01% ) ambao hawawashi wala hawazima hapa Z'bar, wenyewe wanatafutana hawaonani, wenyewe mnajua kuwa kila ijumaa mnawaleta kwa bot ili kujazia na kuongeza idadi makanisani na hilo limedhirika baada ya kutokea vurugu wote waliingia mitini hao mbio hadi kwao bongo.

Washikeni basi naona mnasema tuuu, na hao uamsho wapo waziwazi, na leo hii walikuwa na muhadhara viwanja vya Maisara, si muwakamate tu, wacheni upumbavu wenu.
 
Back
Top Bottom