Mkuu Lyena,mimi nafikiri Watanzania bado sana hatujajua how serious scam is,ndio maana tumekua wapiga porojo zaidi kuliko uhalisia,cha kusikitisha kuna mtu either kwa makusudi kabisa,au kwa kuwa mbumbu wa sheria japo ana exposure ya kutosha kwa kuishi nchi ambayo haina utani na sheria,au tu ni kwa kutafuta support kwa wana jf kwa kua wengi wetu hatujuhi kua hii ni seriouse crime ili iwe ni moja ya kutimiza tamaha za malengo yake mbeleni eti ana mshauri Leticia adrop charges!na kikubwa ameanika jamvini kua ni best friend wa Leticia,inakuaje mtu ambae ni best friend wako unakosa contact zake mpaka uje umshauri jamvini?inawezekana namba yake ya Usa hauna lakini nina hakika kabisa hakuna ugumu wa wewe kuipata,hata ungemshauri through email kama unaona ushauri wako una tija ingekua busara sana!!viongozi wa namna hii ya kutetea crime badala ya kukemea ndio waliotufikisha Watanzania hapa na kutuaminisha kua wizi,ufisadi,uongo na kutoheshimu sheria ni mambo ya kawaida,usijaribu kuwa win watu kwa kutetea hata wakusudia kutenda uovu kaka!na mkuu mwingine ambae ni muhuni mzuri wa sheria pale Udsm eti nae ana support ushauri wa huyu mama kudrop charges!this make me sad!wengine wanasema wako Maryland kwa hiyo huyu mama ataumbuka,another joke!nafikiri huyu mama uamuzi aliofanya ni wa busara zaidi kwa usalama wake,maana huyo mleta ile thread angefanikiwa katika hazima yake ya kuibia watu,JF na Leticia wote wangechafuka kwa kua kwa njia moja au nyingine wangehusishwa wamehusika katika crime hiyo!so far sijaona link ya kuhalalisha madai ya wengi kua huyu mama anashikiliwa na law enforcement kwa tuhuma za kutaka uraia wa Marekani!Watanzani a imefika wakati tusiwe tunasukumwa zaidi na uongo na ushabiki usiokua na fact,dunia ya leo haiko hivyo!!huyu mama kama ana kesi basi mamlaka husika zitamuwajibisha accordingly,si kua eti kutoa tamko ilo hapa Jf itamsaidia kama kweli kesi hiyo ipo,lakini amefanya vizuri kuanika wazi na kupeleka taarifa kwa vyombo husika juu ya computer crime aliyokusudia kufanya huyo mtu!