March 26 at 2:11 a.m.: Disorderly Conduct. 6000 block Springhill Drive. Leticia M. Nyerere, 53, of Landover, and Florence Mageni, 45, of Greenbelt, were arrested and charged with Disorderly Conduct. The suspects were released on citations pending trial.
A typical definition of disorderly conduct defines the offense in these ways:
A person who recklessly, knowingly, or intentionally:
(1) engages in fighting or in tumultuous conduct;
(2) makes unreasonable noise and continues to do so after being asked to stop; or
(3) disrupts a lawful assembly of persons;
Mbona cijaelewa bado..? Hayo masuala ya scams yametokea wapi hapa kama source ya habari yenyewe ndio hiyo hapo juu..?
She is right, siyo mtu unakurupuka bila evidence kwa interest zako unapost majungu JF, kwanza unajidhalilisha mwenyewe pili unaishushia hadhi JF na members wake.
Mkuu Lyena,mimi nafikiri Watanzania bado sana hatujajua how serious scam is,ndio maana tumekua wapiga porojo zaidi kuliko uhalisia,cha kusikitisha kuna mtu either kwa makusudi kabisa,au kwa kuwa mbumbu wa sheria japo ana exposure ya kutosha kwa kuishi nchi ambayo haina utani na sheria,au tu ni kwa kutafuta support kwa wana jf kwa kua wengi wetu hatujuhi kua hii ni seriouse crime ili iwe ni moja ya kutimiza tamaha za malengo yake mbeleni eti ana mshauri Leticia adrop charges!na kikubwa ameanika jamvini kua ni best friend wa Leticia,inakuaje mtu ambae ni best friend wako unakosa contact zake mpaka uje umshauri jamvini?inawezekana namba yake ya Usa hauna lakini nina hakika kabisa hakuna ugumu wa wewe kuipata,hata ungemshauri through email kama unaona ushauri wako una tija ingekua busara sana!!viongozi wa namna hii ya kutetea crime badala ya kukemea ndio waliotufikisha Watanzania hapa na kutuaminisha kua wizi,ufisadi,uongo na kutoheshimu sheria ni mambo ya kawaida,usijaribu kuwa win watu kwa kutetea hata wakusudia kutenda uovu kaka!na mkuu mwingine ambae ni muhuni mzuri wa sheria pale Udsm eti nae ana support ushauri wa huyu mama kudrop charges!this make me sad!wengine wanasema wako Maryland kwa hiyo huyu mama ataumbuka,another joke!nafikiri huyu mama uamuzi aliofanya ni wa busara zaidi kwa usalama wake,maana huyo mleta ile thread angefanikiwa katika hazima yake ya kuibia watu,JF na Leticia wote wangechafuka kwa kua kwa njia moja au nyingine wangehusishwa wamehusika katika crime hiyo!so far sijaona link ya kuhalalisha madai ya wengi kua huyu mama anashikiliwa na law enforcement kwa tuhuma za kutaka uraia wa Marekani!Watanzani a imefika wakati tusiwe tunasukumwa zaidi na uongo na ushabiki usiokua na fact,dunia ya leo haiko hivyo!!huyu mama kama ana kesi basi mamlaka husika zitamuwajibisha accordingly,si kua eti kutoa tamko ilo hapa Jf itamsaidia kama kweli kesi hiyo ipo,lakini amefanya vizuri kuanika wazi na kupeleka taarifa kwa vyombo husika juu ya computer crime aliyokusudia kufanya huyo mtu!
- Mkuu nimeskuoma sana, again kama ulitaka ushauri wa e-mail, ungeandika hoja zako kwenye e-mail lakini kwa vile ulikuja hapa JF n dio maana ukajibiwa hapa hapa JF: nilipokuwa ninamtetea hukulia kwa nini simtetei kwenye e-mail! ha! ha1 ha!
- Mh. Leticia is a good friend ninamheshimu sana kama mbunge kwa sababu ana hoja nzito sana na haogopi, ninasema anaishi Tanzania, na siamini kwamba ana kesi huko US, laakini ushauri wangu kwake ni kwamba kumshitaki any member wa JF ni kusihitaki JF nzima including me, mimi sio msemaji wa JF, lakini for that atakuwa amejiua kisiasa kwa sababu na yeye anajau kwamba wale wote walimsaidia kisiasa kufikia alipo ni members hapa, sasa itamsaidia vipi kwenda kwenye sheria against JF?
- Kwamba ninatetea online crime hapana, ninaheshimu sana mawazo ya wananchi walipa kodi ambao ndio wanaoimlipa mshahara kila mbunge including mh. Leticia, mwambie ninamtakia safari njema na akipite hiki kipindi kigumu kwake, lakini kushindana na JF ni kukimbiza hewa tu, MWAMBIE A DROP IT!
William John Samwel Malecela.
Leo Wasira amenukuliwa kwenye Majira Jumapili akisema muda si mrefu huko CDM kutazuka migogoro itakayofanya hicho chama cha ukanda na wabunge wezi na matapeli kufa kabisa KUMBE NI KWELI, yaani kabla ya 2015 tutajua Mengi kuliko sasa.
kwisha habari yao! anzisheni na jimbo huko Marekani kwa mbunge wenu mwenye uraia wa nchi mbili.
CHADEMA+ WABUNGE WAO(WASAGAJI,MABACHELOR,MASHOGA,MATAPELI)+PADRE ALIYEASI+MBOWE FISADI TANGU ZAMANI+MTEI+BEPALI NDESA+WABUNGE WA URAIA WA NCHI MBILI(WENJE&LETICIA)= SERA YA MAJIMBO.
Ngoja tukueleweshe, hizo traffic citations siyo case kama mnavyotaka ieleweke. Kama unaendesha gari marekani huwezi kuzikwepa angalau utapata parking ticket. Tanzania hatuna traffic tickets kwa hiyo si rahisi kuelewa.Ombeni msaidiwe na wabongo waishio USA kabla ya kung'ang'ania mambo isivyo.Msije mkaonekana hamjui hata maana ya traffic citation ambazo zilifungwa wala haziko active. jamani jifunze kutafakari kwanza na kuuliza maswali ambayo yatakufungua.Ukiwa mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu siyo ukiguswa kidogo tu unapiga mayowe. Sasa kama anafungua kesi ina maana kama ilivyosemwa hapa atakuwa na kesi 7 za kushitakiwa na kesi moja ya kushitaki; jumla nane huko USA wakati yeye anaishi kinondoni shamba!
aise wabongo mna kazi kweli kweli. wivu umetawala kupita kiasi.Watu wanawajadili kina JK, Slaa, Mkapa, Lowassa, na wanakuwa wapole sembuse huyu mama...acha akafungue hiyo kesi yake ndio atajua kama watu wanamjua vizuri tutaenda kumualibia ubalozi wa Marekani, anajua maana ulinzi shirikishi.