Mbombo Nunu
Member
- Feb 10, 2018
- 92
- 124
Inategemeana na taratibu za jamii husika, jamii zingine mke anapewa mashamba ya kulima kwaajili ya kulea familia basiWaoe wake wengi au waache kuzaa ovyoo...hao wake wengi wanauwezo wa kuwatunza au ndo watazaaana alafu majukumu yakizidi watakimbia familia zao?
Sasa kuna umuhimu gani wakuwa na mume wakati hatimizi majukumu yake?Inategemeana na taratibu za jamii husika, jamii zingine mke anapewa mashamba ya kulima kwaajili ya kulea familia basi
Majukumu yake ni yapi? Na wewe mwanamke majukumu yako ni yapi?Sasa kuna umuhimu gani wakuwa na mume wakati hatimizi majukumu yake?
Dunia kijiji: hatuwezi kuyamaliza matatizo kwa kuyapuuza tukidhani hayapoAtoke hapa! ooooooooooooooops! kumbe ni Kenya yaishie huko huko
ukishakuwa mwanaume/ mwanamke kamili huitaji kufundishwa majukumu yako lazima itakuwa unayajua tu..Majukumu yake ni yapi? Na wewe mwanamke majukumu yako ni yapi?
Majukumu yake ni yapi? Na wewe mwanamke majukumu yako ni yapi?
Usikariri aisee, ndiyo maana nimekwambia jamii zinatofautiana, kuna jamii hata watoto wanatumia majina ya mama.ukishakuwa mwanaume/ mwanamke kamili huitaji kufundishwa majukumu yako lazima itakuwa unayajua tu..
Pol.Usikariri aisee, ndiyo maana nimekwambia jamii zinatofautiana, kuna jamii hata watoto wanatumia majina ya mama.
Pol.Usikariri aisee, ndiyo maana nimekwambia jamii zinatofautiana, kuna jamii hata watoto wanatumia majina ya mama.
Pol.Usikariri aisee, ndiyo maana nimekwambia jamii zinatofautiana, kuna jamii hata watoto wanatumia majina ya mama.