PreGE2025 Mbunge aomba bunge kujadili penalties za Simba

PreGE2025 Mbunge aomba bunge kujadili penalties za Simba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,752
Reaction score
10,523
Mbunge mmoja amemuomba Naibu spika wa Bunge kuahirisha shughuli za Bunge na wajadili kuhusu Penati za Simba dhidi ya Al Masri

Soma Pia:
Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ameandika ujumbe huo uliomuelekea Naibu spika hivyo kupelekea spika kuusoma bungeni hapo ukiwa kama ujumbe wa dharula

Bunge la Singapore


Population na uchumi wa Singapore:
Population Increase 6,040,000 (2024)

GDP Increase $561.73 billion (nominal; 2025 est.)
Increase $825.179 billion (PPP; 2025 est.)

GDP rank
26th (nominal; 2025)
37th (PPP; 2025)

GDP per capita
Increase $93,956 (nominal; March 2025 est.)
Increase $153,737 (PPP; 2025 est.)

GDP per capita rank
4th (nominal; 2025)
2nd (PPP; 2025)

Population na uchumi wa Tanzania:
Population
Increase 62 Mln
GDP
Increase $80 billion (nominal, 2025 est.)
Increase $291.05 billion (PPP, 2025 est.)

GDP rank
81st (nominal, 2024)
List of countries by GDP (PPP) (PPP, 2025)

GDP per capita
Increase $1,270 (nominal, 2025 est.)
Increase $4,330 (PPP, 2025 est.)
GDP per capita rank
130th (nominal, 2023)
125th (PPP, 2023)

Mind you Singapore ni ndogo sana tena sana kwa Tanzania inaingia kama mara 1,300 kwa Tanzania elewa 1,300.

Sehemu kubwa ya Afrika haiendelei kwa sababu ina kundi kubwa la watu we IQ ndogo sana.
 
Hilo Bunge ni feki wengi humo wameingizwa na mapolisi na vyombo vingine vya dola.
 
Qualification ya kuwa mbunge iko wazi, STD Seven, What do you expect?
Unaweza ukashangazwa kuwa bunge hili lina wabunge wengi tu ambao wana elimu ya zaidi ya darasa la saba.
 
1960 South Korea ilikuwa nchi maskini sambamba na Tanganyika(later Tanzania).

2024, South Korea kuikopesha Tanzania trilioni 6!

Tanzania bado inasuasua mpaka Leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom