Mbunge alivyojinadi kwa Kifaransa bungeni

Mbunge alivyojinadi kwa Kifaransa bungeni

Lugha za nini sheikh wangu!?..xi Jin ping hapendi huo ujinga
Kujifananisha na China sio sawa. Hao China kiuchumi wako mbali mno. Sisi kufahamu lugha zao itatusaidia kwenye mambo mengi. Hata wachina wenyewe hujifunza kiingereza ili kuwasiliana na wateja wao.
 
Sasa hizo comment-cava, cava bien merci nani anazielewa kama tu kiingereza cha kawaida kinawapiga chenga wabunge walio wengi? Basi atokee na wa kumwaga kireno kabisa!
 
Daah sema Leo nimegundua kiingereza ni lugha tu kama kilivyo kimakonde.
Kuna dada hajasoma hata kuandika jina lake hawezi.lakini anaongea kiingereza na wahindi utasema ni msomi.ila hajui kuandika wala kusoma.ila lafudhi imenyooka.
 
Hebu wewe jaribu kuongea uone kama utaweza
 
Kiingereza chenyewe kina mapengo kibao sijui hicho kifaransa maana sikijui, nahisi nacho hovyo pia 😂🤣
 
Back
Top Bottom