mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,786
Ndo maana nimesema ni lugha kama lugha nyingine.ndo maana mtu anayetoka lindi anaweza kwenda Tanga akajifunza kuongea kisambaa na akaweza.Hebu wewe jaribu kuongea uone kama utaweza
Ndo maana nimesema ni lugha kama lugha nyingine.ndo maana mtu anayetoka lindi anaweza kwenda Tanga akajifunza kuongea kisambaa na akaweza.Hebu wewe jaribu kuongea uone kama utaweza
Na kinachomsaidia huyu dada ni kufanya kazi na wahindi Kwa muda mrefu.na kiingereza chake kina lafudhi ya kihindi ila unamuelewa na hata wahindi wanamuelewa wakiongea nae.ila ukimuandikia hawezi kusoma Wala kuandikaHebu wewe jaribu kuongea uone kama utaweza
Mbunge wa Ukonga Shekhe Bakari Shingo ameboronga balaa
View: https://youtube.com/shorts/wBRzBqeiH10?si=ygj0bUXyEPH0ZXWi
Huyu alishawahi kuponda Samaritan wa maji baridi akisema wa nini? Aliponda kambale vibaya sanaSasa hapo kaongea au katapika alichokariri asisahau?