Mbunge akutwa akifanya Mapenzi kwenye Gari

wabunge ni watu tu kama wengine, with 'feelings' and 'frailities" as well. Na ujue, haya mambo yanafanyika na watu wengi sana, sema kwa kuwa habari ikiwa inagusa mtu anaye enjoy high public profile, inakuwa rahisi kufahamika nk. Tendo la ngono, achana nalo bwana. Hakuna hero pale.
umemaliza?
 
ila wanaume hufata utelezi kwa wanawake maana utamu wanao wenyewe,,,,,,,,:israel::playball:

my GAD...!!
Ila wewe unafaa kuwa mwanafalsafa.nimechunguza nikaona maneno yako yako right.
Hakuna tunachofata kwa wanawake zaidi ya ule ute unaoteleza.
 
Ungesema "aliyekuwa" mbunge maana huyo kisha hukumiwa ina maana na ubunge hanao tena. Natamani sheria kama hizi za uzinzi zingefika hapa kwetu.

Wakati akitenda kosa hilo alikuwa ni mbunge. Thread starter yuko sawa.
 
[h=1]Mbunge wa Misri ajifedhehesha[/h]
21 Julai, 2012 - Saa 15:57 GMT



Mbunge wa Misri wa chama cha Kiislamu chenye msimamo mkali, amekutikana na makosa ya kuvunja adabu ya kijamii, kuhusu tukio ambapo amekutikana anafanya mapenzi ndani ya gari lake.
120710101942_egytp_304x171_afp.jpg


Kesi hiyo imewatia aibu Waislamu wanaoitwa Salafi - ambao wanadai kuwa wanaume watengwe kabisa na wanawake.
Mbunge huyo, Ali Wanis, alipewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja na nusu, kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi, na kwa kumshambulia askari polisi.
Mbunge huyo ni wa chama cha Nour, kwenye bunge la mwanzo kuundwa baada ya utawala wa Rais Mubarak - bunge ambalo lilifutwa mwezi uliopita baada ya mahakama kuamua kuwa bunge hilo siyo halali.
 
Kuishi kinafiki ndiko kunako wafikisha hapa.

Wanasimamia wasichoweza kutekeleza
 
angekuwa mbunge mwanamke nina uhakika angepigwa mawe hadi kufa

Haswa kwa mfume dume unavyo tawala hizi jamii zetu.

We acha siku vitabu vyote vilivyoweka hizi sheria vikipigwa kiberiti na wanawake wakae warekebishe hizi sheria lalizi.
 
huyu wa misri kapitiliza kuvunja maadili -- bora yule wa kwetu aliyekwepua wife wa mtu akamtumia kwa muda kisha akamrudisha kwa mumewe.
 
Mbunge wa Misri
wa chama cha
Kiislamu chenye
msimamo mkali,
amekutikana na
makosa ya kuvunja
adabu ya kijamii,
kuhusu tukio
ambapo
amekutikana
anafanya mapenzi
ndani ya gari lake.
Kesi hiyo imewatia
aibu Waislamu
wanaoitwa Salafi -
ambao wanadai
kuwa wanaume
watengwe kabisa na
wanawake.
Mbunge huyo, Ali
Wanis, alipewa
hukumu ya kifungo
cha mwaka mmoja
na nusu, kwa
kufanya mapenzi na
mwanafunzi, na
kwa kumshambulia
askari polisi.
Mbunge huyo ni wa
chama cha Nour,
kwenye bunge la
mwanzo kuundwa
baada ya utawala
wa Rais Mubarak -
bunge ambalo
lilifutwa mwezi
uliopita baada ya
mahakama kuamua
kuwa bunge hilo
siyo halali.

Source :BBC.UK/SWAHILI(IDHAA YA KISWAHIL YA BBC
 
Back
Top Bottom