Kwa akili yake Kongwa Kuna maji ya kutosha, umeme kwenye nyumba za tembe na lami na mataa ya barabarani. Nadhani NDUGAI hajawahi kutembelea majimbo mengine ukiacha Chato alipokwenda kuzika.Kongwa ukimsikiliza Ndugai unaweza sema ipo kama Vatican kumbe ni nyumba za tembe na ufukara wa kutupwa, ni hatari sna kumpa madaraka mtu ambaye ametoka jamii masikini maana anakuwa na visasi haswa.
Amelaaniwa huyo mzee ndiyo maana anachukia sn watu wanatoka sehemu zenye mafanikioKwa akili yake Kongwa Kuna maji ya kutosha, umeme kwenye nyumba za tembe na lami na mataa ya barabarani. Nadhani NDUGAI hajawahi kutembelea majimbo mengine ukiacha Chato alipokwenda kuzika.
Namkaribisha sana jimboni kwangu ajionee.
...ajabu wewe uliyetokea familia tajiri huna hana Ubunge wa wanawake wa kuteuliwa.Kongwa ukimsikiliza Ndugai unaweza sema ipo kama Vatican kumbe ni nyumba za tembe na ufukara wa kutupwa, ni hatari sna kumpa madaraka mtu ambaye ametoka jamii masikini maana anakuwa na visasi haswa.
Na sasa kaweka na taa za barabarani usiku kama ulaya vileYeye huko Kongwa kuko kama Geneva!
Na za kuongozea magari Kama Chatona sasa kaweka na taa za barabarani usiku kama ulaya vile
Ndugai alishindwa Jenga vyoo vya shule jimboni kwake ndio aulize ya singidaKongwa ukimsikiliza Ndugai unaweza sema ipo kama Vatican kumbe ni nyumba za tembe na ufukara wa kutupwa, ni hatari sna kumpa madaraka mtu ambaye ametoka jamii masikini maana anakuwa na visasi haswa.
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!Kongwa ukimsikiliza Ndugai unaweza sema ipo kama Vatican kumbe ni nyumba za tembe na ufukara wa kutupwa, ni hatari sna kumpa madaraka mtu ambaye ametoka jamii masikini maana anakuwa na visasi haswa.
hahahhh tusubiri bajeti ijayoNa za kuongozea magari Kama Chato
Uendawazimu mwingine kuthibitisha hali sio nzuri!abla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema, "Lile Jimbo la yule jamaa aliyekimbilia Ubelgiji lilitelekezwa halina mtu wa kulishughulikia"
Alipata 100% afu Lisu alipata kura 6 ,yeye 24 ' duh,,Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
OKey, Singida kuna nini?Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??