Mbowe wa CHADEMA ana upekee gani?

Mbowe wa CHADEMA ana upekee gani?

Mkuu, Mbowe anaishi Mikocheni Dar. Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar, kwanini asiwe na mamlaka ya kumuita mkazi wake aende central police. Kina Iddi Azzan na wengine mbona walikwenda central na mambo yakaisha?.

Mzee Mtei ambaye ndiye mwanzilishi wa CDM kasema Mbowe ajitafakari hapa alipofikia, kwani kutajwa jina lake ni doa kwa chama ambacho yeye Mzee Mtei alikianzisha.

Tatizo ambalo ni la msingi ni baadhi ya wanasiasa kushindwa kubadilika kadri ya muda unavyokwenda. Siasa za kuvimbiana zilifanyika enzi zile za JK aliyeweza kumchekea yoyote yule aliye mbele ya macho yake. Awamu ya tano haivimbiwi kipuuzi tu.
Sasa aende polisi hata kma sheria hazifuatwi?? Hvi unajua kesi ya madawa ni jinai?? Je angefika huko afu Atupwe selo kwa kisingizio cha KUSAIDIA POLISI KWENYE UCHUNGUZI angefanyeje????

Kesi ya madawa ni sensitive sana mbona hizi za uchochezi anaendaga tu muhim ni utaratibu ufuatwe ila mkipindisha mambo lazma yye kma kiongozi wa chama cha siasa nayeye ajilinde kwa kupitia sheria za nchi hiii sasa kosa likwapi akikataa kwenda polisi hadi utaratibu ufuatwe??? Kwani kipi kigumu?? Si mngefuata tu utaratibu yaishe...

Afu hiyo BS ya kusema awamu ya 5 haivimbiwi ndio nini??? Yaani mbowe asitafute haki yake eti kisa awamu ya 5 haivimbiwi??? Ssa mliweka katiba ya nni??? Mliweka sheria za nni kma hamtaki ziwaongoze......
Nyie mrundikeni misifa tu trust me watu wakichoka hta hao mabilionea wataishia kufadhili ma Al shabaab kuja kuivuruga nchi ndio hapo tuone huo msemo wa HATUVIMBIWI utawaokoa nini....... wanafunzi hawana mikopo kimya, export zinapungua,makontena,uchumi unashuka,thamani ya shilingu inaporomoka hayo yote hamsemi mnavimbiwa ila wapinzani wakitaka sheria ifuatwe ndo mnasema HATUVIMBIWI???? shame on u pal..... umeniharibia siku tu
 
Wewe ndio wale wanaoitwa prophets of doom. Manabii wa vifo. Nchi itatawalika tu, hiyo mikwara pelekeni huko kwenye mikutano yenu ya ndani.
Mkuu ni rahisi sana kuorodhesha mengi ambayo mnaona hayafanyiki, lakini kumbukeni kwamba hata kuja na wazo moja zuri ni sehemu ya kuijenga Tanzania yenye neema.
Kusema kwamba kaka mkubwa anayo haki ya kukataa wito ni haki yake kufanya hivyo, kama ambavyo mamlaka ya mkuu wa mkoa yanavyomruhusu Makonda kumuita central mkazi yoyote wa Dar kwa ajili ya mahojiano.
 
Mjinga uliembali kabisa na matukio, umesahau RC alibadilisha jina na kusema ni mbunge wa hai tena Freeman Mbowe acha mahaba ya kitoto.
sasa mbona bavicha walikataa kuwa aliyetajwa ni mtu mwingine, au?
 
Wewe ndio unaongea irrelevance mkuu sio huyo unayemquote.... kwanza mbowe sio muuzaji wa madawa maana so far ushahidi hakuna so usiseme tunatetea MUUZA MADAWA.

Pili, MBOWE alikubali kutoa ushirkiano ila sio kwa mfumo ule aliotumia makonda whether gwajima or azzan walienda bado haifanyi ni halala sheria kuvunjwa...... yaani kwa kuwa magari yanatoa rushwa kwa traffic barabarani na mimi naye nitoe??? R u serious

Tatu, hoja ya serikali kukandamiza upinzani inaweza kuaminika maana iweje baada ya mbowe kutajwa na zoezi la kutajana likaishia hapo?? Huoni walijenga impression kuwa upinzani au CHADEMA ni chama cha wauza unga ili labda watanzania wasiwaamini tena??? Je kweli Mbowe wa chadema ndio kikwete alishindwa kumtaja katika ile list yake ya IKULU???

WAZO ZURI UTEKELEZAJI MBOVU
Nyie, hivi matatizo ya watanzania ni mbowe na makonda tu? Dar Morogoro Dodoma Mwanza wanakula mahindi kutoka Jinja, nyie hamna habari, mvua zinanyesha wala hamhamasishi watu walime mtama na viazi wajinusuru na njaa mmekalia Makonda, ovyoo.
 
Kwa kuwa ni mkosoaji mkuu kwa serekali, na hauzi unga kwa ukweli
 
Kwanza inatakiwa uelewe kitu, toka hii vita imeanzishwa na Makonda ilikuwa haina tofauti na ile vita ya kushika madangulo ya makahaba na wale mashoga, wakati hii ya madawa ya kulevya haikuhitaji mfumo wa mapigano hayo.

Na ndio maana toka imeanza baadhi ya watu walipongeza ila waliponda approach aliyotumia bwana mdogo.

Sasa alikuja kuharibu zaidi kuita watu wenye uelewa na wajuvi wa sheria katika suala la kumuita mtuhumiwa na kumfanyia investigation, kitu ambacho kinatakiwa kiwe kisheria zaidi kuliko ki propaganda, kama alivyokuwa akifanya mwanzo.

Kwahiyo upekee wa Mbowe una kuja kwamba alikuwa anaelewa taratibu na sheria za kuitwa kwake kama mtuhumiwa, kitu ambacho hakikufuatwa, na zaidi ni kama alitaka kuwaweka sawa katika suala zima la approach ambavyo ilitakiwa kuwa.

Kama unakumbuka vizuri siku anaongea na waandishi wa habari aliwaambia ni nini hasa hawezi kwenda kutokana na mbinu illegal waliyotumia kumuita, japo alisema pia yupo tayari kutoa ushirikiano wa kutosha katika vita hii ya madawa ya kulevya.

Na hili pia lilichangia, mpaka kumwamsha Rais kutoka usingizini, mpaka kuhoji sheria husika ya kudhibiti madawa ya kulevya ilipokuwa imefichwa, ili iweze kutolewa na kufanya kazi.
Kilicho shangazi zaidi ni kuwa wahusika walikuwepo pale pale ila hawajijui kama walikuwa sehemu ya usimamizi wa hiyo sheria yenyewe. Sasa sijui kule Bungeni walikuwa wamelala kipindi inapitishwa?
Kutoijua Sheria kwa Makonda ndiko kumemfanya Mh. Mbowe kungara katika hili
 
Sina nia mbaya kukumbusha. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda 'alianzisha' vita dhidi ya madawa ya kulevya mkoani Dar es Salaam na sasa vita hiyo imetapakaa Tanzania nzima. RC Makonda alikuwa akiongea kwa kujiamini, kutaja na kuagiza. Alikuwa akisubiriwa kwa hamu pale alipokuwa akitakiwa kutokeza na kuzungumza.

Siku alipotajwa Freeman Mbowe, Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa pamoja na Manji na Gwajima, mambo yakabadilika. Kwanza, kila aliyetajwa hapo akazungumza na waandishi wa habari. Mbowe akaenda mbali zaidi na kutamka kuwa hatakwenda kuripoti Central Police kwakuwa aliyemwita (Makonda) hana mamlaka ya kumwita.

Baada ya tamko hilo la Mbowe, mambo yakachachamaa. Wakajitokeza watanzania kwa maelfu wanaomuunga mkono Mbowe na wale wanaompinga. Kilichofuata ni kuteuliwa kwa Kamishna Mkuu wa Kamisheni ya Kudhibiti na Kuzuia Madawa ya Kulevya nchini ambaye kimsingi ndiye sasa ameyachukua majukumu yake ya mapambano dhidi ya madawa ya kulevya.

Kuanzia siku alipotajwa Mbowe wa CHADEMA vita ya madawa ya Makonda ikapata dhoruba kali kwa kumbadili kiongozi wa vita hiyo. Kuanzia siku alipotajwa Mbowe, hakujawahi kuwepo na kutajwa washukiwa wengine wa matumizi au kuingiza madawa ya kulevya. Siku aliyotajwa Mbowe wa CHADEMA ikawa ndiyo turning point.

Yawezekana kutajwa kwa Mbowe kukasababisha hata mashauri ya madai dhidi ya RC Makonda kuhusu udhalilishaji kama ambavyo Mbowe anapanga kuanza kufanya hivyo. Kimsingi, najiuliza, Mbowe wa CHADEMA ana upekee gani hadi 'kubadili' upepo wa mambo yote hayo?
Mimi ninaona ni kiongozi wa upinzani mwenye washauri wazuri wenye weledi kisheria.

Pili, ni kweli mkuu wa mkoa wa Dar hana mamlaka kuendesha zoezi kama kile.

Maana ni maswala ya kiutaalamu na yanaendeshwa na wataalamu pia, siyo politicians.

Ndo maana hata Rais baada ya kuliona hilo akafanya marekebisho.

lakini baada ya kinga ya mbowe kuisha naamini lazima atarudi kujibu tuhuma zinazo mkabili maana sheria ni msumeno.

Ndo maana watanzania tutaendelea kuwasisitiza msome muweze kujikomboa kwani
UJINGA UNAUMIZA SANA
 
Mjinga ni wewe ambaye unahamisha mada na kuanza kuongea maneno ya kebehi. Ikiwa mtu alibadilishia gia angani na akakuingizeni cha kike, nyinyi si ndio wajinga kipeo cha pili....
Tatizo uelewa wako ni mdogo ndicho nilichogundua na kwa maana hiyo ww maisha yako unayaendesha kishabiki badala he kuangalia ukweli ukoje uko tayari kushabikia majaji ili miadi yamefanywa na upande wako lkn kaa ukijua mkuki kwa nguruwe kwa binadam ni mchungu kawaida ya maisha haya ya duniani huwezi mtendea mabaya mtu yasikurudi hiyo fuatilia na uko hapa kunasku utakuja nambia tuombe uhai MUNGU atupe najua inakichwa kigumu lkn utakuja sema yote na yote tunataka sheria ifuatwe you nchi ni yetu sote pole lkn majibu yako karibu.
 
Pole sana mkuu naona moyo unauma na hujajuwa utumie dawa gani kuutibu....ilipotolewa list of shame wale waliotaja hadharani walikuwa na haki kabisa kufanya hivyo....leo bwana mkubwa katajwa kwenye majina ya ngada, mapovu yanawatoka kwa wingi....
 
Jibu ni moja tu, hii vita ya madawa aliyoianzisha Makonda ni feki, wameanzia kwa wasanii, wakaja sijui kwa akina nani, lakini lengo lao kuu ni Mh. Mbowe.

Na huu ni mkakati maalum, usidhani Makonda aliamka tu asubuhi akaanzisha haya maigizo. Ni mkakati ambao ulisukwa kwa lengo la kudhoofisha upinzani wakilenga kumchafua Freeman Aikael Mbowe maana ni moja ya watu ambao ni tishio kwa chama dola. Na mkakati huu una baraka zote kutoka juu.

Na ndio maana hutasikia Makonda akiendelea kutaja tena majina maana mlengwa mkuu tayari ameshatajwa. Bahati mbaya mikakati yao huwa haifanikiwi, maana ni ya kishetani.
U dead son
 
Back
Top Bottom