mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,711
Mbona mlisema 2016 kitakufa kumbe bado kipo basi hakifi tenaMwaka huu chadema wakitaka ahueni kdg, waende na Lissu, otherwise baada ya uchaguzi chama kitakiwa kimekufa rasmi
Mbona mlisema 2016 kitakufa kumbe bado kipo basi hakifi tenaMwaka huu chadema wakitaka ahueni kdg, waende na Lissu, otherwise baada ya uchaguzi chama kitakiwa kimekufa rasmi
Who,what and why system?Hivi hiyo system ndiyo inayopiga kura?Ni bora Mbowe ataleta wabunge hata watatu ila mkijikoroga mkampa mropokaji hata diwani hampati. Hatakiwi na system
Heshima sana mkuu.Huu uzi umeandikwa kimuhemko sana, siku nyingine kabla hujaandika kunywa maji kwanza.
Mnajidai kuijua siasa lakini bahati mbaya hamjui hata taratibu zinazoongoza hiyo siasa yenyewe, wewe kutomtaka Mbowe hakuwafanyi na wengine wasimtake, tulia process zifuatwe atakaeonekana anafaa mwisho wa siku atateuliwa, huku kukurupuka kwenu hakusaidii, Chadema sio chama cha mtu kina taratibu zake.
Halafu unavyosema hata nyie wachaga mtamkataa unamaanisha nini? hapo naona ume expose your highest degree of stupidness, Chadema iko Iringa, Mbeya, mpaka Musoma, wacha ujinga wewe.
Eti nakuhakikishia... nakuhakikishia... who are you, bullshit.
Sasa una yofauti gani na Lumumba buku 7?Utoto tu!.
Pretends wanaipenda sana CDM, while they know nothing.
Siamini katika kuhujumu lakini amekuwa kiongozi wa muda mrefu, amekiwa vitani na ccm muda mrefu, katumia mbinu nyingi sasa alipo kama mwanadamu anaweza kupungukiwa au kuishiwa mbinu kabisa.Amekihujumu chama kivipi? Chuki zako binafsi kwa Mbowe usihamasishe na kwa wengine. Mbowe ana mapungufu lakini kaifanyia makubwa mno Chadema.
Kuna swali nilikuuliza kule juu kuhusu hiyo mikakati uliyosema Mbowe hana, nataka unitajie miwili tu. Iweke hapa ionekane.Sasa una yofauti gani na Lumumba buku 7?
Shirikisha ubongo.
Huu ni wakati muhimu sana lazima tutofautiane mawazo ili mwisho wa siku tutoke na wazo moja lenye tija.
Hatukosoi kwa chuki bali twaambiana ukweli.
Hapo nimejaribu kueleza kuwa Mbowe alivyokidhoofu chama ukanitolea povu.
Tumepoteza wabunge wengi sana, sababu wenzetu wametuzidi mbinu.
Hatuwezi kubaki tunaimba sababu wamenunuliwa...sawa mbinu ya ccm ni kununua sisi chadema tuna mbinu gani?
Siasa ni sawa na mpira, kuna wamisri wana MBINU ZA KUJIANGUSHA KWENYE 18 ili wapate penalty.
Wapatapo na kufunga...huwezi kuwaita sio washindi eti sababu wamejiangusha kwenye 18.
Fungua akili...Mbowe kafeli this time.
Hii haina maana kuwa hana mazuri..laa ana mazuri mengi pia.
Hili la yeye kujitosa kuchukua fomu ni udhaifu, umimi kujiona kuwa hakuna mwingine.
Kama anaona hakuna anayefaa kwa cdm basi wasimamishe mgombea wa chama kingine.
Mbona 2015 naye alisajili kutoka ccm B na tulipata wabunge wengi?
Hiyo nayo si ilikuwa mbinu tena bora sana kwa wakati ule?
Mbowe ajitoe kugombea, wapambane Lisu arudi kwa gharama zozote.
Ccm wakimshika eti alimkashifu rais au ana kesi...hapo ndipo patamu...wachochee moto kimataifa juu ya ukandamizaji.
Wahamasishe wanachi kuwaunga mkono kwa maandamano.
Hakuna ushindi rahisi.
Tuendelee naona jinsi tunavyoendelea naona jicho lile moja la chini linakuwa wazi.Kuna swali nilikuuliza kule juu kuhusu hiyo mikakati uliyosema Mbowe hana, nataka unitajie miwili tu. Iweke hapa ionekane.
Unazungumzia wabunge kukimbia Chadema ndio unamlaumu Mbowe, ulitaka Mbowe awafungie chumbani au?! au ni mwenyekiti gani akija CDM atawazuia wanaotaka kuhama wasiondoke?
Halafu kwa akili fupi hii unaniambia nishirikishe ubongo wewe unafanya hivyo, nyie na wenzio mna uelewa mdogo hakuna chochote mnachojua, hata taratibu za kichama hamzijui zaidi ya kupiga kelele tu huku mtamdaoni, siku zote mnataka mnachopenda nyie ndio kiwe tu, thats all, huo ni utoto.
Mkuu turuhusu kujikosoa wenyewe wakati huu muhimu...tunaweza kuleta ufanisi, tusiwe kama buku 7 ambao wanasifu tu
Huu ujinga upo karibia katika vyama vyote kumtegemea mtu au kakikundi fulani kwamba asipokuwepo mtu fulani mambo hayaendi.Sasa una yofauti gani na Lumumba buku 7?
Shirikisha ubongo.
Huu ni wakati muhimu sana lazima tutofautiane mawazo ili mwisho wa siku tutoke na wazo moja lenye tija.
Hatukosoi kwa chuki bali twaambiana ukweli.
Hapo nimejaribu kueleza kuwa Mbowe alivyokidhoofu chama ukanitolea povu.
Tumepoteza wabunge wengi sana, sababu wenzetu wametuzidi mbinu.
Hatuwezi kubaki tunaimba sababu wamenunuliwa...sawa mbinu ya ccm ni kununua sisi chadema tuna mbinu gani?
Siasa ni sawa na mpira, kuna wamisri wana MBINU ZA KUJIANGUSHA KWENYE 18 ili wapate penalty.
Wapatapo na kufunga...huwezi kuwaita sio washindi eti sababu wamejiangusha kwenye 18.
Fungua akili...Mbowe kafeli this time.
Hii haina maana kuwa hana mazuri..laa ana mazuri mengi pia.
Hili la yeye kujitosa kuchukua fomu ni udhaifu, umimi kujiona kuwa hakuna mwingine.
Kama anaona hakuna anayefaa kwa cdm basi wasimamishe mgombea wa chama kingine.
Mbona 2015 naye alisajili kutoka ccm B na tulipata wabunge wengi?
Hiyo nayo si ilikuwa mbinu tena bora sana kwa wakati ule?
Mbowe ajitoe kugombea, wapambane Lisu arudi kwa gharama zozote.
Ccm wakimshika eti alimkashifu rais au ana kesi...hapo ndipo patamu...wachochee moto kimataifa juu ya ukandamizaji.
Wahamasishe wanachi kuwaunga mkono kwa maandamano.
Hakuna ushindi rahisi.
Umeongea kweli.Huu ujinga upo karibia katika vyama vyote kumtegemea mtu au kakikundi fulani kwamba asipokuwepo mtu fulani mambo hayaendi.
Lazima tujitahidi sana kutengeneza tasisi imara kuwe na succession plan nzuri hii itasaidia watu kutokujiona n miungu wadogo katika tasisi/vyama wanavyoviongoza.
Wewe mpuuzi kuliko nyau wangu.Mkuu. Buku saba wako sane kuliko nyie. Hamjawahi kujikosoa wala kujikinga wala kusifia Serikali inayowapa Kula na nyaku.
Huna unachojua ndio maana kule juu nilionesha kukutilia shaka nikakwambia prove me wrong if you can, now umeshindwa; inshort mna tabia za kuandika msivyovijua, so next time you better shut up than make some stupid noise.Tuendelee naona jinsi tunavyoendelea naona jicho lile moja la chini linakuwa wazi.
--wabunge asingewafungia lakini
Anatakiwa na yeye anapipoteza anavuna wengine au kuongeza wanachama potential kwa ajili ya kuja kushika nafasi.
Ukiwa timu unafungwa kila siku badili kocha eboo
Mpuuzi kama wapuuzi wengine tu.Huna unachijua ndio maana kule juu nilionesha kukutilia shaka nikakwambia prove me wrong if you can, now umeshindwa; inshort mna tabia za kuandika msivyovijua, so next time you better shut up than make some stupid noise.
Unapiga picha umevaa suti halafu hauna akili.Mpuuzi kama wapuuzi wengine tu.
Huu ndo ukweli mchungu mtu ukiusema ukweli utatukanwa matusi yote ya hapa duniani.Sio utamaduni wetu kuambizana ukweli.Umeongea kweli.
Cdm ina tofauti gani na ccm au act wazalendo?
Hakuna taasisi bali kikundi flani cha kuhalalisha maamuzi
Looh sikujua kuwa u mnywa viroba.Unapiga picha umevaa suti halafu huna akili.
Endelea kuimba mapambio ya Mbowe hafai na wenzio.
Hakuna mgombea wa upinzani yeyote kumshinda Magufuli kwasababu gani, anakubalika sana kwa wapiga kura au analindwa na tume na vyombo vya usalama?Huu ndo ukweli mchungu mtu ukiusema ukweli utatukanwa matusi yote ya hapa duniani.Sio utamaduni wetu kuambizana ukweli.
Kwa maoni yangu sioni mgombea yeyote kutoka upinzani wa kumshinda Magufuli kwa sasa.
Nini kifanyike? wapinzani waelekeze nguvu na resources kugombea nafasi za udiwani na ubunge.
Ukiyaandika haya wafia chama wanakucategorise na wana lumumba.
You are wasting my time fella, go get yo life dude!.Looh sikujua kuwa u mnywa viroba.
Hakuna mahali nimesema kuwa Mbowe hafai.
Juu nimeeleza kuwa amekuwa kiongozi muda mrefu.
Nikasema uongozi ni sawa na vita na mtu kiwa vitani muda mrefu hutumia mbinu na maarifa mengi.
Kitendo cha kuongoza au kiwa vita muda mrefu huchosha kuishiwa mbinu hivyo ni vyema angepisha mawazo mapya abaki mshauri mkuu.
Kama hakuna anayemwamini, hii tafsiri yake hajaanda viongozi bora.
Pia nikasema pamoja na mapungufu yake haimanishi hafai.
Kusema hakuna kabisa sio kweli pia.Huu ndo ukweli mchungu mtu ukiusema ukweli utatukanwa matusi yote ya hapa duniani.Sio utamaduni wetu kuambizana ukweli.