mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,740
Naunga mkonoAfadhali agombee Askofu Bagonza!
Naunga mkonoAfadhali agombee Askofu Bagonza!
.Usifikiri kila mtanzania ni mpumbavu kama wewe, anaeizika chadema anajulikana! View attachment 1484130
Usalama wa Taifa anaeharibiwa mali zake kila siku na kuwekwa ndani na serikali iliyomuajiri!Hizi tetezi kuwa Mbowe usalama wa taifa zinaweza kuwa kweli! Maana tabia zake since 2014 ni kama anatamani chama kife
Kama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.
Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi wachaga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia ccm sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Kwamba?Huwezi kumuelewa sababu amesema kweli
Kwa hii comment nikichanganya akili zangu na za mbayuwayu jibu linakuja Lissu ni tishio na anaogopwa na bwana Yule dikiteta kuliko anavyoweza kuogopa kifoNi bora Mbowe ataleta wabunge hata watatu ila mkijikoroga mkampa mropokaji hata diwani hampati. Hatakiwi na system
Ni bora Mbowe ataleta wabunge hata watatu ila mkijikoroga mkampa mropokaji hata diwani hampati. Hatakiwi na system
Leo umekula maharage ya wapi?Kama utang'ang'ania kuwania Urais, unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupinga kuwa haikuwa sahihi, sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kura laki 6; huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika au mwanamke, lakini sio wewe zama zako zimepita.
Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi Wachagga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia CCM sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Mkuu turuhusu kujikosoa wenyewe wakati huu muhimu...tunaweza kuleta ufanisi, tusiwe kama buku 7 ambao wanasifu tuLeo umekula maharage ya wapi?
Never, never, never! Mazingira haya ya Tanzania hakuna anayeweza kuamini story hizo!Mbowe kugombea sio mbaya,,ila timing imekua mbaya,,kufuatia tukio la kuvunjika mguu na kashifa inayoenda na tukio,iwe kweli au sio kweli,hilo tukio limemharibia,
Huyu amekosoa kwa dhihaka! Huwezi jua kuna nini katika kufanya hivyo! Subiri kwanza!Mkuu turuhusu kujikosoa wenyewe wakati huu muhimu...tunaweza kuleta ufanisi, tusiwe kama buku 7 ambao wanasifu tu
Hafai kuwa msindikizaji wa uraisiKwamba?
Wala siteseki mkuuMkuu unateseka sana!
Kwamba yeye kama mwwnyekiti hajui vigezo vinavyohitajika kuwa mgombea wa urais?Sijui Mbowe haoni aibu?
Cdm imedhoofu ameshindwa vita, asisingizie watu kuhongwa pekee naye amekosa mbinu za kimkakati.
Aachie kugombea abaki kuwa mdhauri hilo linamfaa
Yanaweza kuwa maigizo pia. Hizo kazi za watu mkuu na wanazisomeaUsalama wa Taifa anaeharibiwa mali zake kila siku na kuwekwa ndani na serikali iliyomuajiri!
Jifunzeni kufikiria kidogo.