Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,493
- 122,844
Hii ni dhana yako tu nenda field upate uhalisia
Watanzania wengi wanaipenda Ccm
Ni kweli kuna watanzania kadhaa wanaipenda ccm, hilo sikatai, ila hakuna uwezekano wowote wa ccm kushinda kwa wangalau zaidi ya 50% kwa uchaguzi wa halali. Ccm kutokukubali tume huru ya uchaguzi sio kwa bahati mbaya, bali ni kwakuwa inaujua ukweli huu mchungu. Nguvu zote za siasa chafu dhidi ya cdm ni kwakuwa inajua cdm ndio chama chenye mvuto kwa kizazi hiki, hivyo inadhani ikiiua cdm kwa hujuma, basi automatically yenyewe itapendwa na wananchi. Chezeeni uchaguzi mtakavyo, lakini kizazi hiki hakiko na nyie, bali kiko kwa shingo upande.