denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,487
- 68,267
Viazi mmeshaanza kupingana!.Kusema hakuna kabisa sio kweli pia.
Kilichokosekana ni usawa katika ushindani.
Uswa ukiwepo na haki itendeke Lisu anashinda saa4 asubuhi
Viazi mmeshaanza kupingana!.Kusema hakuna kabisa sio kweli pia.
Kilichokosekana ni usawa katika ushindani.
Uswa ukiwepo na haki itendeke Lisu anashinda saa4 asubuhi
Kuna wakurupukaji wengi sana huku ndio tatizo.Heshima sana mkuu.
Siwezi hata kwa dakika moja kuamini kuwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani wanajifanyia mambo tu kiholela bila ya mpangilio wowote wa kimikakati.
Itashangaza sana kama haya tunayoyaona wakiyafanya ndani ya chama wakati huu hayana msingi wowote na sababu ya kuyafanya.
Natambua vyema CCM na vyombo vya dola wamefunga ndoa.Siwezi kupoteza kura yangu kuipa CCM.Kusema hakuna kabisa sio kweli pia.
Kilichokosekana ni usawa katika ushindani.
Uswa ukiwepo na haki itendeke Lisu anashinda saa4 asubuhi
Nyie huko kwenu mungu ndo kila kitu mnamuabudu mchana na usikuViazi mmeshaanza kupingana!.
Vichwa maji hamjui kitu, yani nyie hamtaki taratibu zifuatwe mnachotaka nyie ndio lazima kiwe, acheni ushamba.Nyie huko kwenu mungu ndo kila kitu mnamuabudu mchana na usiku
Nikweli vipi kwa mungu wako jiwe analazimisha itolewe fomu moja yake tuMbowe ndiye chama acha utoto
Jamaa kakwambia weka mikakati unayoona Mbowe akiufuta itasaidia sio unahamisha magoli kama huna cha hoja kausha povu lakoTuendelee naona jinsi tunavyoendelea naona jicho lile moja la chini linakuwa wazi.
--wabunge asingewafungia lakini
Anatakiwa na yeye anapipoteza anavuna wengine au kuongeza wanachama potential kwa ajili ya kuja kushika nafasi.
Ukiwa timu unafungwa kila siku badili kocha eboo
Povu zanini ? kwanini usianzishe chama chako ili vyama vingine viige mfano kwakoUmeongea kweli.
Cdm ina tofauti gani na ccm au act wazalendo?
Hakuna taasisi bali kikundi flani cha kuhalalisha maamuzi
Kweli ujinga mzigo magufuli anakubalika miaka yote anafanya siasa peke yake wenzie hata kwenye chaguzi zao hataki anawaletea bunduki kisha nyie waabudu sanamu mnasema anakubalika wapi ikiwa hata chama anachokitawala hataki mtu mwingine achukue fomu ujinga huu ambianeni huko kwenye corridor zenuHakuna mgombea wa upinzani yeyote kumshinda Magufuli kwasababu gani, anakubalika sana kwa wapiga kura au analindwa na tume na vyombo vya usalama?
Kama angekuwa kwasababu anakubalika kwa wapigakura ningeielewa sababu yako, lakini tofauti na hapo hii sababu yako haina msingi, zaidi unaonesha kumbe hata huyo Lissu anaepigiwa debe kila dakika nae hataweza kumshinda Magufuli kwa sababu hiyo niliyoeleza hapo juu.
Ahaa kumbe wewe ni mchaga.Kwa hiyo unamsupport mbowe kwa kuwa ni mchaga,akili zako hazikutoshi kumbe,kama hutaki mbowe asigombee anzisha chama chako.Kama utang'ang'ania kuwania Urais, unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupinga kuwa haikuwa sahihi, sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kura laki 6; huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika au mwanamke, lakini sio wewe zama zako zimepita.
Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi Wachagga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia CCM sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Demokrasia ina mipaka yake kwa maslahi mapana ya Nchi yeyote ile
HahaPovu zanini ? kwanini usianzishe chama chako ili vyama vingine viige mfano kwako
Maslahi mapana ya nchi yanapangwa kwa utashi wa ccm? Huwa tukiwaambia kuwa hamshindi uchaguzi kwa box la kura mnatoka mishipa. Sasa umeonyesha wazi kuwa huwa mnatangazwa washindi bila ridhaa ya umma, kwa kisingizio cha maslahi mapana ya nchi.
Sasa una yofauti gani na Lumumba buku 7?
Shirikisha ubongo.
Huu ni wakati muhimu sana lazima tutofautiane mawazo ili mwisho wa siku tutoke na wazo moja lenye tija.
Hatukosoi kwa chuki bali twaambiana ukweli.
Hapo nimejaribu kueleza kuwa Mbowe alivyokidhoofu chama ukanitolea povu.
Tumepoteza wabunge wengi sana, sababu wenzetu wametuzidi mbinu.
Hatuwezi kubaki tunaimba sababu wamenunuliwa...sawa mbinu ya ccm ni kununua sisi chadema tuna mbinu gani?
Siasa ni sawa na mpira, kuna wamisri wana MBINU ZA KUJIANGUSHA KWENYE 18 ili wapate penalty.
Wapatapo na kufunga...huwezi kuwaita sio washindi eti sababu wamejiangusha kwenye 18.
Fungua akili...Mbowe kafeli this time.
Hii haina maana kuwa hana mazuri..laa ana mazuri mengi pia.
Hili la yeye kujitosa kuchukua fomu ni udhaifu, umimi kujiona kuwa hakuna mwingine.
Kama anaona hakuna anayefaa kwa cdm basi wasimamishe mgombea wa chama kingine.
Mbona 2015 naye alisajili kutoka ccm B na tulipata wabunge wengi?
Hiyo nayo si ilikuwa mbinu tena bora sana kwa wakati ule?
Mbowe ajitoe kugombea, wapambane Lisu arudi kwa gharama zozote.
Ccm wakimshika eti alimkashifu rais au ana kesi...hapo ndipo patamu...wachochee moto kimataifa juu ya ukandamizaji.
Wahamasishe wanachi kuwaunga mkono kwa maandamano.
Hakuna ushindi rahisi.
Wanajua mwamba hajawahi kushindwaKwanini mnalazimisha Lissu agombee peke yake? Kwanini msiache vikao vya chama chenu viamue?hahahahaha mambo ya demokrasia hayo
Kwanini mnataka Tundu asishindanishwe?Wazee wa system ndio wanatuchagulia rais? Mbowe hatoshi kuwa rais wetu. Sisi wapiga kura wengi wa upinzani tunamtaka Lissu. Hao system wakampe kura Mbowe.
Mkuu Ccm haiitaji polisi wala tume acheni kujidanganya
Ccm inapendwa sana na tena Magufuli ameongezea hamasa ya Ccm kupendwa
Kwanini mnataka Tundu asishindanishwe?
Madictator wote huondoa sauti kinzani kisha hufanya propaganda mfu ili kuhadaa umma kuwa wanakubalika. Huwa wanahakikisha vyombo vya habari haviwi huru, na vyama vyote vya upinzani vyenye nguvu, huhujumiwa wazi wazi na kwa kificho, ili kuaminisha umma kuwa wanakubalika. Haya yanayoendelea tunayaona, na uzuri wananchi wameshaamka, ila wako kimya kwa ajili ya kuhofia usalama wao, na kuepuka kuhujumiwa kwenye shughuli zao.
Narudia tena kwako na kwa wenzako, kizazi hiki sio cha ccm bali ni kizazi tofauti kabisa, hiyo kubaka box la kura kwa kutumia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi, haiwezi kutufanya tusijue kuwa mko madarakani bila ridhaa halali ya umma.
Mnapenda sana kujidanganya na hicho kikundi chenu cha wajuaji, mna ushabiki fulani wa kitoto hivi, bahati mbaya mambo huwa hayaendi hivyo, siku zote taratibu lazima zifuatwe, sijui mnatetemeka nini mpaka mnaleta habari za uchaga!Hakuna anayekataa Lisu kushindanishwa maana ndio demokrasia, ila yule asiyestahili tunamuambia wazi wazi kuwa hastahili.