Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,012
Demokrasia ina mipaka yake kwa maslahi mapana ya Nchi yeyote ile
Kawe eeh! Kwanini unasema hatakiwi na system? Kwani uongozi si unapaswa kuchaguliwa na wananchi kwa democracy?
Sent using Jamii Forums mobile app