Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,556
hahahaha, sayansi ya kupoteza uhai wa watu,Ndio mbinu za kisayansi...... ili zinazoleta "ushindi" ..........Polepole
hahahaha, sayansi ya kupoteza uhai wa watu,Ndio mbinu za kisayansi...... ili zinazoleta "ushindi" ..........Polepole
Yuko lumumba mwenzio hivyohivyo alitangaza kunywa sumu.Niko njiani naenda soko la Kariakoo. Mkononi nina dumu la lita 5 za petroli na kiberiti. Nikifika Kariakoo nitatoa hotuba kwa wananchi wote waliopo kuhusu uonevu unaoendelea nchini kisha nitajimwagia lita 3 za petroli halafu zilizobakia (lita 2) nitakunywa, kisha nitawasha kiberiti.
Nimechoka, tumechoka, tunahitaji kuchukua hatu. Mm nimeamu, wewe je?
Kwenda kushangilia na kusifu kila asemacho Jumbe wa magogoni?Nashauri kwenye maandamano viongozi watangulie mbele wananchi tufuate nyuma yao hiyo ndio maana halisi ya kuongoza
Ndio ulikuwa unawaongoza askari?Mbona hakuitanguliza familia yake mbele tuone kama yuko serious kweli!ni kiongozi gani wa chadema alijeruhiwa kwa risasi jana?walijificha wapi?
Mbona mbowe anang,ang'ania uenyekiti mwaka wa 20 sasa- hakuna mwingine?!Ila leo balozi akiwa na miaka 69!wakati kuna vijana wengi tu wizara ya mambo ya nje ....!
Hakuna relation ya ulichoandika kwenye comment yangu haikua na maana kuniquote [emoji114] [emoji114]Kwenda kushangilia na kusifu kila asemacho Jumbe wa magogoni?
Kwani we ulitakajeHii Kauli ya Mbowe ningeiamini na kuikubali sana kama wakati wote wa hizo ' Fujo ' anakuwa yupo tu peke yake bila ' Walinzi / Mabodigadi ' wake ila bahati mbaya sana anajitutumua kuwa yupo tayari kwa lolote huku akiwa amezungukwa na ' Walinzi ' kama 200 hivi. Endeleeni tu Kudanganywa nae na akili Vichwani mwenu.
Kama huna cha kuandika kaa kimya. Acha kupost upuuzi. Hizi ni dalili za kuwa irresponsible.Niko njiani naenda soko la Kariakoo. Mkononi nina dumu la lita 5 za petroli na kiberiti. Nikifika Kariakoo nitatoa hotuba kwa wananchi wote waliopo kuhusu uonevu unaoendelea nchini kisha nitajimwagia lita 3 za petroli halafu zilizobakia (lita 2) nitakunywa, kisha nitawasha kiberiti.
Nimechoka, tumechoka, tunahitaji kuchukua hatu. Mm nimeamu, wewe je?
Mtu kapigwa na shangingi lake gubeli bafuni mnamsingizia MboweAtakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.
Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.
Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.
Lazima utakuwa umepungukiwa.Hii Kauli ya Mbowe ningeiamini na kuikubali sana kama wakati wote wa hizo ' Fujo ' anakuwa yupo tu peke yake bila ' Walinzi / Mabodigadi ' wake ila bahati mbaya sana anajitutumua kuwa yupo tayari kwa lolote huku akiwa amezungukwa na ' Walinzi ' kama 200 hivi. Endeleeni tu Kudanganywa nae na akili Vichwani mwenu.
ccm oyeeeeeeHuko Frontline sijawahi kuona Askari anasimama apigwe tu. Tumia akili.
Ungekuwa ume attend hata kozi ya mgambo usingesema huu ujinga kabisa.mbona jana taflani ilivyoanza alikimbia kwenda kujificha
Sio lazima yamkute yeye, atamiye niko tayari ili mradi watakao baki wawe huru.Atakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.
Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.
Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.
Usidhani uhuru upatikana ki urahisi, hugharimu maisha.Hii Kauli ya Mbowe ningeiamini na kuikubali sana kama wakati wote wa hizo ' Fujo ' anakuwa yupo tu peke yake bila ' Walinzi / Mabodigadi ' wake ila bahati mbaya sana anajitutumua kuwa yupo tayari kwa lolote huku akiwa amezungukwa na ' Walinzi ' kama 200 hivi. Endeleeni tu Kudanganywa nae na akili Vichwani mwenu.