MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amewaambia Polisi kuwa wao tayari wameshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki. Mbowe aliyasema hayo wakati akihutubia wananchi katika ufungaji wa kampeni Jimbo la Kinondoni.

Source: Muungwana Blog​
 
Atakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.

Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.

Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.
 
Hii Kauli ya Mbowe ningeiamini na kuikubali sana kama wakati wote wa hizo ' Fujo ' anakuwa yupo tu peke yake bila ' Walinzi / Mabodigadi ' wake ila bahati mbaya sana anajitutumua kuwa yupo tayari kwa lolote huku akiwa amezungukwa na ' Walinzi ' kama 200 hivi. Endeleeni tu Kudanganywa nae na akili Vichwani mwenu.
 
Atakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.

Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.

Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.
Hata kama slaa angefanyaje lakini kama alisaliti ataitwa msaliti tu
 
Kamanda Mbowe tunakujua wewe ni MUOGA SANA.

Acha kutudanganya.
Acha kutupumbaza.
Acha uchochezi.
Acha kabisa maana wewe haujawahi kukamatwa na Polisi unawaogopa sana. Acha kutuvuruga sisi Chadema Asili endelea kuwahadaa hao hao Chadema Wakuja.
 
Naona ccm baada ya kulala usiku mzima mkajipanga walau ku dilute mauaji mliyoyafanya, manina zenu
 
Atakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.

Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.

Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.
ccm oyeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom