MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki

MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki

Nenda Ulaya ukafanye maandamano bila kubali uone utakavyo funguliwa mashtaka NA wafanyibiashara, manispa na wengi unaowaharibia biashara NA maisha yao.
Hamna vibali vya maandamano ulaya wewe usidanganye watu, sisi sio wana.CCM.wa kutudanganya kirahisi
 
Atakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.

Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.

Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.

U wish yamkute siyo.........?
 
Dah aisee mbowe kaongea kwauchungu sana ila mbowe anajua sana kucheza najukwaa anafaa angekuwa msanii wamziki
 
Nashauri kwenye maandamano viongozi watangulie mbele wananchi tufuate nyuma yao hiyo ndio maana halisi ya kuongoza
 
Leo mbowe ameongea kama mpinzani , huyo ndio mbowe tuliyemzoea hapa kati alirudi nyuma lakini sasa ameamua kuirudia hali yake. Hii ndio chadema tuliyoizoea iliyopata umaarafu miaka ya 2010 hadi 2015 kupata wabunge wengi .huu moto uliowashwa hakuna kuzimika hadi 2020 mbona ccm wataomba pooo
 
Hii Kauli ya Mbowe ningeiamini na kuikubali sana kama wakati wote wa hizo ' Fujo ' anakuwa yupo tu peke yake bila ' Walinzi / Mabodigadi ' wake ila bahati mbaya sana anajitutumua kuwa yupo tayari kwa lolote huku akiwa amezungukwa na ' Walinzi ' kama 200 hivi. Endeleeni tu Kudanganywa nae na akili Vichwani mwenu.
Na wewe endelea kuwaamini wanaokuambia wanalinda amani huku wanaivuruga
 
Hii Kauli ya Mbowe ningeiamini na kuikubali sana kama wakati wote wa hizo ' Fujo ' anakuwa yupo tu peke yake bila ' Walinzi / Mabodigadi ' wake ila bahati mbaya sana anajitutumua kuwa yupo tayari kwa lolote huku akiwa amezungukwa na ' Walinzi ' kama 200 hivi. Endeleeni tu Kudanganywa nae na akili Vichwani mwenu.
Na wewe endelea kujidanganya kuwa ccm inajenga nchi.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amewaambia Polisi kuwa wao tayari wameshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki. Mbowe aliyasema hayo wakati akihutubia wananchi katika ufungaji wa kampeni Jimbo la Kinondoni.

Source: Muungwana Blog​

Mbona hakuitanguliza familia yake mbele tuone kama yuko serious kweli!ni kiongozi gani wa chadema alijeruhiwa kwa risasi jana?walijificha wapi?
 
Hii Kauli ya Mbowe ningeiamini na kuikubali sana kama wakati wote wa hizo ' Fujo ' anakuwa yupo tu peke yake bila ' Walinzi / Mabodigadi ' wake ila bahati mbaya sana anajitutumua kuwa yupo tayari kwa lolote huku akiwa amezungukwa na ' Walinzi ' kama 200 hivi. Endeleeni tu Kudanganywa nae na akili Vichwani mwenu.
Usipoamini wewe unasaidia nini? Endelea na porojo za kujifurahisha.
 
Kamanda Mbowe tunakujua wewe ni MUOGA SANA.

Acha kutudanganya.
Acha kutupumbaza.
Acha uchochezi.
Acha kabisa maana wewe haujawahi kukamatwa na Polisi unawaogopa sana. Acha kutuvuruga sisi Chadema Asili endelea kuwahadaa hao hao Chadema Wakuja.
We ni gamba wahi bk7
 
Slaa si alivunjika mkono kwa kuunguka bafuni? Au unafikiri imesahaulika?

Leo Slaa kawa wa maana kwa maCCM!!!
Na aliitwa mzinzi... japo kwa Mungu Dr. Slaa katubu na kusamehe yote hayo.
 
Kamanda Mbowe kawaingiza mjini kwa MALENGO yake ya kisiasa. Anajua Sheria lakini kaamua kuivunja ili amwage damu ya KAFARA. Polisi wako Kazini wewe huwezi kuwapangia cha kufanya.
Uwezo wa kufikiri wa wanalumumba waporomoka kwa kasi kubwa.
 
Atakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.

Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.

Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.
Olasiti kama sio Mungu kumkinga angekuwa wapi. Mungu akiamua linakuwa asipoamua ni ziro kwani Lisu waliomfanyia walichomfanyia walikuwa na lengo gani zaidi ya mauaji
 
cannibal nikuulize swali, kwanini viapo mliamua mviatamie na vya chadema tu, watu wanatii sheria nyie mnavunja, ilikuwa vibali msiwape vyama vyote, lakini unatoa kibali kwa chama tawala vingine unaenda atamia, wakiomba haki zao mnaua
Ndio mbinu za kisayansi...... ili zinazoleta "ushindi" ..........Polepole
 
Atakayesikiliza hii kauli atakua ameamua kuisaliti nafsi yake.

Huu mwaka wa 20 sasa huwa anasema hivyo ; Hakuna linalomkuta yeye; yanawakuta wengine tu kwa uzembe wao.

Uliza kilichomkuta Dr. Slaa hata baada ya kupata ulemavu wa mkono kukipigania chama; akaishia kuitwa msaliti.
Ni wakati ndgu ila watu tumechoka na ccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom