Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,594
- 16,491
Natoa haya yote kwa lengo jema, muhusika apatikane.
Una jema gani kwa watanzania zaidi ya kutetea wehu wenzio?
Naamini hata CCM mmezidiana weredi na hekima itafika muda mtaanza kunyoosheana vidole, maana si wote ni wehu kama Nchemba na Nape.
Jiandaeni kuvuana chupi!