Mkuu wewe ni mnafiki sana! Mungu atawaumbua tu! Mnajua fika kinacho endelea lakini mnataka kupindisha mambo. Wenzenu wengine wamekamatwa na mabastola huko sijui na hao mnatuambiaje.PERFECT,
Mkuu, hayo yote yametoka wapi tena?
Kumuomba Mbowe ashirikiane na polisi ni unafiki na uchonganishi?
Kuhusu uzushi nadhani uelekeze tuhuma hizi za Slaa, kwani yeye ndiye amekuwa akijitutumua kuwa na intelijensia mathubuti kumbe hana lolote.
Last edited by a moderator: