aisee yule dr slaa ndiye awe mwenyekiti,mbowe hana matatizo kwanza natoka naye kijiji kimoja,lakini slaa ana kitu ambacho anaweza kuwafanyia watanzania katika process nzima ya mabadiliko,nahisi slaa ni kiongozi mwenye uwezo
Title yako inakosa heshima. Tutajua ukweli maana naamini CDM ni chama makini. Heshima iongeze kwa viongozi.baada ya kukiri kwa CDM kwamba wamenunua malori ya mbowe kwa kulipa deni kidogokidogo bila riba inawezekana ikaonekana kama mbowe ameisaidia chadema,lakini mimi naona kuna mgongano wa maslahi,mwenyekiti wa chama anakiuzia chama malori yake!inawezekana mbowe kayatoa kwa roho safi labda na kwa bei ya hasara lakini kisiasa unakuwa umewapa wapinzani wako silaha ya kukuandama,..CDM wawe wanafikiria kwa undani zaidi kabla ya kuamua jambo no matter how good intentions are,kwa swala hili la malori sijui nani awajibike?mbowe au walioshauri kuyanunua..lakini naye mbowe angekataa kukiuzia chama...kwa mtazamo wangu,naona mbowe akabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine na hii haimaanishi mbowe ni fisadi..huu ni mtazamo wangu labda kama silielewi hili sakata vizuri nieleweshwe.,taarifa ya chadema ya kukiri kununua malori imechapishwa gazeti la mwanahalisi..
baada ya kukiri kwa CDM kwamba wamenunua malori ya mbowe kwa kulipa deni kidogokidogo bila riba inawezekana ikaonekana kama mbowe ameisaidia chadema,lakini mimi naona kuna mgongano wa maslahi,mwenyekiti wa chama anakiuzia chama malori yake!inawezekana mbowe kayatoa kwa roho safi labda na kwa bei ya hasara lakini kisiasa unakuwa umewapa wapinzani wako silaha ya kukuandama,..CDM wawe wanafikiria kwa undani zaidi kabla ya kuamua jambo no matter how good intentions are,kwa swala hili la malori sijui nani awajibike?mbowe au walioshauri kuyanunua..lakini naye mbowe angekataa kukiuzia chama...kwa mtazamo wangu,naona mbowe akabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine na hii haimaanishi mbowe ni fisadi..huu ni mtazamo wangu labda kama silielewi hili sakata vizuri nieleweshwe.,taarifa ya chadema ya kukiri kununua malori imechapishwa gazeti la mwanahalisi..

maandamano unasema sieleweki?umetumwa?
sasa kutoka kijiji kimoja na mbowe ndio kunamfanya awe mtu safi?wote tunampenda mbowe kwa upambanaji wake lakini anapokosea au tunapohisi amekosea lazima tueleze hisia zetu,.unaposema nimetumwa unamaanisha nini?usidandie maneno wanayotumia watu humu jamvini we mwanarombo,..talk sensible stuff,constructive one,we at war fool!!!
hujui nini majukumu ya mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama/taasisiaisee yule dr slaa ndiye awe mwenyekiti,mbowe hana matatizo kwanza natoka naye kijiji kimoja,lakini slaa ana kitu ambacho anaweza kuwafanyia watanzania katika process nzima ya mabadiliko,nahisi slaa ni kiongozi mwenye uwezo