Mbowe: SMG bastola zilitumika Arusha

Mbowe: SMG bastola zilitumika Arusha

wadau namba ya simu ya IGP SAID MWEMA naiweka vizuri muione ni hii: 0754 78 55 57
kwa wanaowajua wahusika wajaribu kumtumia IGP message, kisha tuone ujasiri wa polisi wa kuwashughulikia wahusika wa unyama huu.
mwigulu......
 
Ushauri kwa wazazi, watoto wenu msiwapeleke kwenye mikutano ya CDM, mtapoteza kizazi kijacho.
 
Wanafanya hivyo ili wananchi waogope kuhudhuria mikutano ya cdm.? Wanaendelea kucheza karata zao bado kidogo zitaisha. Utamu wa madaraka ni kitu kingune. Hata talaka ina misukosuko yake ila iko siku itatoka tu.
 
Nitowe pongezi zangu kwa pengo pale alipo sema kuwa mlipo uliyo tokea kanisani haukuwa hujuma ya udini.
Wengi wali mponda sana ila sasa wengi watapata mwanga wa ufaham wake!
Je kwenye dini adui kashindw?
Je kwenye kutumia vyama watanzania tunaweza kuanzisha mapambano ya sisi wenyewe kwa wenyewe?
Je adui akishindwa njia zote hizi atatumia njia gani?
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika.
 
Kila roho inayotoka Tanzania kuhusiana na siasa, Mwigulu yupo connected.
Na kama ye Mwigulu ndo anatoa order kwa Mwema inashangaza ni vipi Mwema aanzeje kuchunguza kauli from above.
Unless Mwigulu is nudged down from the peking order we'll continue to witness brutal killings and tortures of innocents
sio kama mwingulu anahusishwa,,, bali ni CDM ndio wanaomuhusisha mwingulu..... na tunajua sababu kwa sababu kimsingi kabisa CDM wako nyuma ya kila damu iliyopata kumwagika kisiasa hapa nchini.. ''' KUNA MAMBO MAPYA YANATOKEA HAPA TANZANIA KAMA VILE UHALIFU WA KISIASA, SIASA ZA MATUSI, UGAIDI,UDINI,UKABILA,UKANDA NA SIASA ZA KUKASHIFIANA... HAYA NI MAMBO MAPYA KATIKA NCHI YETU. MAMBO MAPYA HULETWA NA KITU KIPYA, HIVYO BASI JAMBO LA MSINGI NI KUJIULIZA,,,,, NI LIPI LILILO JIPYA KATIKA NCHI YETU AMBALO LINALETA YOTE HAYA????? JIBU NI .......................... CHADEMA is the one and the only new thing as strong opposition party
 
HV WAKUU MNAFANYA KIBURI AU? NINANI ASIYEJUA KUWA KIONGOZI WA CCM NGAZI YEYOTE ILE YUPOJUU YA SERIKALI? MBONA HAYA MAMBO YAPO WAZI UKICHEZA NA CCM WEWE MTUMISHI WASERIKALI HASA POLISI UJUE CHEO HUNA! ccm ni hatari kubwa!
 
sio kama mwingulu anahusishwa,,, bali ni CDM ndio wanaomuhusisha mwingulu..... na tunajua sababu kwa sababu kimsingi kabisa CDM wako nyuma ya kila damu iliyopata kumwagika kisiasa hapa nchini.. ''' KUNA MAMBO MAPYA YANATOKEA HAPA TANZANIA KAMA VILE UHALIFU WA KISIASA, SIASA ZA MATUSI, UGAIDI,UDINI,UKABILA,UKANDA NA SIASA ZA KUKASHIFIANA... HAYA NI MAMBO MAPYA KATIKA NCHI YETU. MAMBO MAPYA HULETWA NA KITU KIPYA, HIVYO BASI JAMBO LA MSINGI NI KUJIULIZA,,,,, NI LIPI LILILO JIPYA KATIKA NCHI YETU AMBALO LINALETA YOTE HAYA????? JIBU NI .......................... CHADEMA is the one and the only new thing as strong opposition party
ccm ndo inaserikali kama inashindwa kuwakamata inategemea nani awakamate waharifu!
MKUU NAONA UNAAKIRI YAKUAZIMA!
 
Anayosema mbowe ni kweli! Endeleeni kutapatapa tulikuwepo risasi zilirushwa wako majeruhi wa risasi hata gari la matangazo limetobolewa na risasi.... Na maganda ya risasi tuliokota tunayo, na Jana tuliwambia IGP aka sema tusubirie tupeleke huo ushahidi kwa TUME Leo! Tutaenda na hivyo vielelezo Kama watakuwa MAKINI some of you especially makada wa CCM you will be in trouble. Tumeumiziwa ndugu tena watoto! Sababu ya SIASA! Hv kwani akishinda diwani wa CDM sio mtanzania? Si chaguo letu kwa nini mtupige? Afu wewe unakuja unakanusha kidandara! Hapa shame on you... Na sitaogopa ntasema kweli. Cousins zangu wanne wako injured hawa ni watoto below 14, babu ambaye ni diwani yeye anaendelea vizuri, brother yeye Hali yake bado sio Nzuri? Afu wewe unaleta propaganda kwenye kitu ambacho tumeona? NGUTUNYIII NARUGUMENYEEE Kabisa!
Pukudu POLE SANA.Mungu awape nafuu ya haraka katika maumivu yao.Waliohusika kufanya uhalifu huu walaaniwe.Leo tutakuwepo Soweto kujua utaratibu.Niko tayari kutii kitachoamuliwa na viongozi wangu.Sina amani kabisa ndani ya nafsi,maisha imekosa maana kwangu.
 
ccm ndo inaserikali kama inashindwa kuwakamata inategemea nani awakamate waharifu!
MKUU NAONA UNAAKIRI YAKUAZIMA!
siwezi kubishana na mtu ambae hata lugha yake ya taifa inampiga chenga. nina wasiwasi na uraia wako mama mdogo
 
Bwana Mbowe tafuteni wafadhili muirushe Ibada hii tuangalie nchi nzima kupitia Star TV au ITV huu ni msiba wa kitaifa maana serikali ya CCM wanataka kuiangamiza demokrasia.

Kamanda nakuunga mkono maana huu msiba ni wa nchi nzima
 
notradamme haya mambo mapya yameletwa na nani?Vyama vya upinzani ni ruksa kwa kadiri ya katiba yetu,hilo ni jambo jipya.CCM hawajazoea kukosolewa,CCM ndo wanaohubiri udini hadi wamefanya makubaliano na CUF(Pro Lipumba)ili kuokoa jahazi hayo nayo mapya.Mengine mapya ni kama auaji na mateso ya waandishi wa habari,kutesa wanataaluma,mauaji viongozi wa Kiroho na kuchomwa nyumba za Ibada.CCM ndo yenye dola,Rais wa JMT ni Mwenyekiti wake wa Taifa.TAFAKARI
sio kama mwingulu anahusishwa,,, bali ni CDM ndio wanaomuhusisha mwingulu..... na tunajua sababu kwa sababu kimsingi kabisa CDM wako nyuma ya kila damu iliyopata kumwagika kisiasa hapa nchini.. ''' KUNA MAMBO MAPYA YANATOKEA HAPA TANZANIA KAMA VILE UHALIFU WA KISIASA, SIASA ZA MATUSI, UGAIDI,UDINI,UKABILA,UKANDA NA SIASA ZA KUKASHIFIANA... HAYA NI MAMBO MAPYA KATIKA NCHI YETU. MAMBO MAPYA HULETWA NA KITU KIPYA, HIVYO BASI JAMBO LA MSINGI NI KUJIULIZA,,,,, NI LIPI LILILO JIPYA KATIKA NCHI YETU AMBALO LINALETA YOTE HAYA????? JIBU NI .......................... CHADEMA is the one and the only new thing as strong opposition party
 
IGP Kuwateua Chagonja na Isaya Mungulu kuchunguza tukio la bomu dhidi ya Chadema Arusha ni wrong team, "Ngo'ombe akiharisha mkia ukatumika kufunika makalio hakuzuii ng'ombe kuendelea kuharisha" Samahani Mod usinielewe vibaya nimetafsiri kutoka nahau za kabila langu. Mfano "Mficha uchi hazai" si tusi.
 
notradamme haya mambo mapya yameletwa na nani?Vyama vya upinzani ni ruksa kwa kadiri ya katiba yetu,hilo ni jambo jipya.CCM hawajazoea kukosolewa,CCM ndo wanaohubiri udini hadi wamefanya makubaliano na CUF(Pro Lipumba)ili kuokoa jahazi hayo nayo mapya.Mengine mapya ni kama auaji na mateso ya waandishi wa habari,kutesa wanataaluma,mauaji viongozi wa Kiroho na kuchomwa nyumba za Ibada.CCM ndo yenye dola,Rais wa JMT ni Mwenyekiti wake wa Taifa.TAFAKARI
kukososlewa unakokuongelea sijajua ni kupi...
walikosolewa sana na NCCR MAGEUZI chini ya mrema, wamekosolea sana na CUF chini ya lipumba na bado huu ujinga tunaoushuhudia leo KUANZIA BUNGENI HADI MTAANI HAUKUPATA KUTOKEA..
Ujinga huu ni swala jipya kabisa ambalo limekuja na CHADEMA kuwa upinzani rasmi.
na kuhusu mauaji!!!!! hutaniondoa katika imani yangu kuwa CDM is behind every blood drop. hizi humu ni tuhuma na uzushi tu toka kwa wachambuzi uchwara wanaoshabikiwa na watu wenye akili fupi kama maisha ya funza.
baada ya dhana dhaifu ya ufisadi kuota kutu sasa mmeamua mauaji ya watu iwe ndio kamba ya kuwaokoa. ni nani asiyejua kuwa mauaji yoyote yakitokea hapa nchini ni rahisi lawama kupelekwa kwa CCM na serikali yake!!!!!!!! hivyo basi yeyote mwenye kutaka kuichonganisha serikali na wananchi wake atajaribu kupanga mauaji ya watu ili mwishowe aipe lawama serikali. TAFAKARIII
 
tanzania nayo ni nchi niwe raia wa tz, we shangazi vpi!?
duh kumbe unatoa povu kwa mambo ya nchi ambayo haikuhusu!!!!! dalili za UMBEA hizo ma mdogo.. huku kwetu tandale kwa tumbo huwa mnasutwa kwa mafuta ya kukaangia samaki
 
duh kumbe unatoa povu kwa mambo ya nchi ambayo haikuhusu!!!!! Dalili za umbea hizo ma mdogo.. Huku kwetu tandale kwa tumbo huwa mnasutwa kwa mafuta ya kukaangia samaki

kumbe nimuko yakwatumbo inakufanya uwe na akili za kobe!
 
wanachunguza.... hii ndio polisi jamii sio... mwema jibu haya
1. yuko wapi alimuua padre kule zenji???
2. yuko wapi aliemchinja padre kule sengerema???
3. yuko wapi aliemtesa dokta ulimboka???
4. yuko wapi aliyemuua mwandishi mwangosi kule iringa???
5. yuko wapi aliyemtesa abslom kibanda???
6. yuko wapi aliyesupply bomu na kuplan issue nzima ya bomu lililorushwa kanisani arusha????
7. yuko wapi aliyechoma makanisa zenji???
8. yuko wapi aliyemwagia tindikali saeed kubenea???
9. yuko wapi aliyempiga rungu mbunge wa arumeru aliyepigwa rungu jana makuyun wakat anasimamia uchaguzi???

hii ndo technic ya polisi kila siku ili kufanya danganya toto???? nadhan kikijitokeza kikundi cha kuingia msitun kitapata wafuasi wengi sana.... so much injustice!!!
 
Mbowe alisema risasi hizo pia ni miongoni mwa zilizopigwa kwenye tanki la mafuta la gari la matangazo la CHADEMA ambapo zililitoboa. Alibainisha kuwa inavyoonekana wahusika walitaka kuzalisha mlipuko mwingine mkubwa na kuleta maafa makubwa katika mkutano huo.

Nia yao likuwa ni kutaka mafuta yamwagike yawake hivyo uchunguzi uonekane ilikuwa ni hitilafu iliyoanzia kwenye gari, ambayo ingemsaidia mwema kutoa tamko kwamba watu wawe wanayafanyia service magari ikiwezekana kuwatia hatiani viongozi wa Chadema kwa uzembe.
 
Back
Top Bottom