Mbowe: SMG bastola zilitumika Arusha

Mbowe: SMG bastola zilitumika Arusha

Hiyo kauli ya Mwema ni ya kisiasa,na hata hiyo namba ya simu aliyotoa kwa kumwomba yeyote mwenye taarifa,zinaweza kufanikisha kuwakamata walioratibu mauaji ya Arusha,nayo ni danganya Tito.

Kama yeye mwenyewe IGP,amethibitisha bila shaka yoyote kuwa Mwigulu Nchemba,alitamka kwenye mkutano wa kampeni huko Arusha kuwa kama wakazi wa huko,hawataki kuichagua CCM,hakika watakufa,na imetokea kweli wamekufa.

Sasa swali tunalomuuliza IGP Mwema,anafanya uchunguzi gani mwingine,wakati imethibitika,maneno hayo aliyatamka Mwigulu Lameck Nchemba?!!

Ukiona mpaka CHAGONJA anapelekwa ujue hakuna kesi. Wanatafuta tu namna ya kumnasua mwana CCM MWENZAO!... Kesi ya mwana-CCM kama NCHEMBA inabaraka za wakubwa zake atalindwa tu kama KAMUHANDA alivyoagiza MWANGOSI AULIWE!...
 
huyu siasa zimemshinda, bora arudi kwenye kazi ya udj, wewe kama kiongozi wa chama unakuja ya hadithi kama hizi? Hizo risasi na bomu vyote visimpate yeye na lema? Labda hiyo smg alipewa kipofu.
 
huo uchunguzi wa polishi ni geresha tupu!!! baada ya tukio kama walikuwa na nia ya kumkamata aliyerusha bomu kwa nini walipiga mabomu ya machozi na risasi?? kama hiyo haikuwa janja yao kumtorosha mhusika wa tukio!!! hakuna jipya...mchawi anakuroga usiku halafu mchana anajifanya mganga wa kukuagua!!!
 
IGP Mwema pia alisema watachunguza kauli ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Mwigulu Nchemba aliyowaambia wakazi wa Kimandolu kuwa wasipoichagua CCM katika uchaguzi wa madiwani wa Jiji la Arusha ulioahirishwa jana, watakufa. Mwema alisema watachunguza kauli hiyo baada ya kuulizwa swali la hatua zilichochukuliwa kabla na baada ya mlipuko huo dhidi ya kauli ya Nchemba.

Mwigulu Nchemba yuko juu ya sheria, anaweza kuagiza kibaya chochote afanyiwe mpinzani na kesho akaendelea kupeta mtaani. Hapa hana kesi ya kujibu, hata ushahidi utimie.
 
Bwana Mbowe tafuteni wafadhili muirushe Ibada hii tuangalie nchi nzima kupitia Star TV au ITV huu ni msiba wa kitaifa maana serikali ya CCM wanataka kuiangamiza demokrasia.

Naunga mkono hii kama kuna mtua anaweza kufikisha ushauri huo itakua nzuri watu wote washuhudie udhalimu huu.
 
huyu siasa zimemshinda, bora arudi kwenye kazi ya udj, wewe kama kiongozi wa chama unakuja ya hadithi kama hizi? Hizo risasi na bomu vyote visimpate yeye na lema? Labda hiyo smg alipewa kipofu.

Haya maneno usingesema angeuliwa nduguyo, mtu wa kabila lako au mtu wa dini yako. Umeweka mbele ushabiki wa kidini kuliko uhai wa watu!
 
huyu siasa zimemshinda, bora arudi kwenye kazi ya udj, wewe kama kiongozi wa chama unakuja ya hadithi kama hizi? Hizo risasi na bomu vyote visimpate yeye na lema? Labda hiyo smg alipewa kipofu.

...utaishia kulamba miguuu hapo Lumumba na kubeba magugudelo wewe na kizazi chenu......
 
Haya maneno usingesema angeuliwa nduguyo, mtu wa kabila lako au mtu wa dini yako. Umeweka mbele ushabiki wa kidini kuliko uhai wa watu!
Kwani huo mkutano ulikua wa kidini? au ulikua ni wa kikabila?
 
...Juzi katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kwa CHADEMA uliofanyika kwenye viwanja vya Soweto, kitu kinachodhaniwa ni bomu kilipuka na kuua watu watatu na wengine kujeruhiwa.

Mpaka leo "kinadhaniwa" kuwa ni BOMU?!!! Haya ni masikhara!...
 
Majebere haki itakuhukumu Siku moja pamoja na madhalimu wote
 
Limepigwa bomu kanisani watu wasihudhurie ibada,limepigwa mkutanoni watu wasihudhurie Vikao What for?hii nchi siyo ya ki democrasia ni dictotorship-Lakin kwann uuwe au utishie ndo utawale mwigulu nchimbi?,siku ukifukiwa utatewa kwa mola na mwenyekiti wako?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
muuaji ni ccm na polisi, polisi wanajua hilo sasa wanachunguza nini.

Mkuu Crashwise waliotumwa ni ACP Hiza na ACP Goyai kutoka makao makuu wawachunguze polisi wenzao wa hapa Arusha! Sidhani kama kuna jipya hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kauli ya msipoichagua ccm mtakufa...inaweza kuwa na maana nyingi na sidhani kama inatosha kumuunganisha mwigulu na kesi ya bomu.ila lolote lawezekana,japo pia naona kama vile cdm wana capitalise kwenye hilo tukio,isije kuwa wamejilipua wao wenyewe..SIASA NI MCHEZO MCHAFU.
 
huyu siasa zimemshinda, bora arudi kwenye kazi ya udj, wewe kama kiongozi wa chama unakuja ya hadithi hizi? Hizo risasi na bomu vyote visimpate yeye na lema? Labda hiyo smg alipewa kipofu.

Y Unafanyia mzaha ukweli?
 
wadau namba ya simu ya IGP SAID MWEMA naiweka vizuri muione ni hii: 0754 78 55 57
kwa wanaowajua wahusika wajaribu kumtumia IGP message, kisha tuone ujasiri wa polisi wa kuwashughulikia wahusika wa unyama huu.

0754 78 55 57 namber ni ya Said Bakari sijui ndo SAID MWEMA lakini imesajiliwa kama SAID BAKARI.????
 
IGP ni wakati wako sasa kuonyesha unafanya kazi kamata Mwigulu.
 
Kauli ya msipoichagua ccm mtakufa...inaweza kuwa na maana nyingi na sidhani kama inatosha kumuunganisha mwigulu na kesi ya bomu.ila lolote lawezekana,japo pia naona kama vile cdm wana capitalise kwenye hilo tukio,isije kuwa wamejilipua wao wenyewe..SIASA NI MCHEZO MCHAFU.

Pumba hizi
 
huyu siasa zimemshinda, bora arudi kwenye kazi ya udj, wewe kama kiongozi wa chama unakuja ya hadithi kama hizi? Hizo risasi na bomu vyote visimpate yeye na lema? Labda hiyo smg alipewa kipofu.

Mmeamua kuhamishia ujangiri wenu kwa binadamu
 
Back
Top Bottom