Mbowe: SMG bastola zilitumika Arusha

Mbowe: SMG bastola zilitumika Arusha

Ni bora tusiwe na jeshi la POLISI ili tujue moja. Hii nchi itakapoingia vitani (wenyewe kwa wenyewe), Mwema na Mwigulu damu zetu zitawalilia nyinyi na vizazi vyenu.
 
embu fikiria kidogo tu, mfano kauli hii angeitoa lema sijui angekuwa selo gani. Hapo ndipo tunapolichoka jeshi letu la polisi na tambo zake za polisi jamii.

kauli ya lema iliyoitwa ya kichochezi pale chuo cha uhasibu ni 'mkuu wa mkoa anakuja kama anaenda send off'. Alinyea debe siku 3. Sasa nchi hiyo hiyo, mkoa huohuo, na polisi haohao wameshindwa kutambua maana ya kauli hizi: 'msipochagua ccm mtakufa' by mwigulu. 'kuendelea kushabikia chadema kutawagharimu' by mtela.
Tafakari!
 
Emmanuel Nchimbi ni waziri wa mambo ya ndani na ni mjumbe wa kamati kuu CCM, Mwigulu Nchemba ni naibu katibu mkuu wa CCM, sijui IGP Mwema na timu yako mnatoa wapi ujasiri wa kumchunguza Mwigulu?

nchemba baada ya maisha haya mafupi kuna maisha ya milele
 
wadau namba ya simu ya IGP SAID MWEMA naiweka vizuri muione ni hii: 0754 78 55 57
kwa wanaowajua wahusika wajaribu kumtumia IGP message, kisha tuone ujasiri wa polisi wa kuwashughulikia wahusika wa unyama huu.

Inashangaza kwani hawa walio chini yake hawathubutu kufanya kazi zao kiufanisi mpaka bosi apigiwe ndio atoe maelezo? Cha msing walio chini yake wafanye kazi zao wamfikishie ujumbe mahsusi ndio atoe maelekezo kwamba upelelezi uendelee je. Ukipga simu unaweza kushikwa ukaambiwa uisadie polisi ktk upelelezi.
 
Kauli ya msipoichagua ccm mtakufa...inaweza kuwa na maana nyingi na sidhani kama inatosha kumuunganisha mwigulu na kesi ya bomu.ila lolote lawezekana,japo pia naona kama vile cdm wana capitalise kwenye hilo tukio,isije kuwa wamejilipua wao wenyewe..SIASA NI MCHEZO MCHAFU.

Hakuna Marefu yasiyo na Ncha na Kamba hukatikia Pembamba.Hata Idd Amin aliua sana lakini Mwisho aliikimbia Nchi.
 
nchemba baada ya maisha haya mafupi kuna maisha ya milele

Namshauri asome Historia.Palikuwepo na Viongozi na Mashujaa Duniani lakini wote walipotea.Namshauri asome na vitabu vya Dini kwamba kuna Siku atafika Mbele ya haki kutoa hesabu ya Matendo yake.
 
Emmanuel Nchimbi ni waziri wa mambo ya ndani na ni mjumbe wa kamati kuu CCM, Mwigulu Nchemba ni naibu katibu mkuu wa CCM, sijui IGP Mwema na timu yako mnatoa wapi ujasiri wa kumchunguza Mwigulu?

Mkuu mhalisi; uliyoyasema ndio uhalisi wenyewe. Wanachokifanya ni kiini macho tu. Kule Iramba wakaua mtu yeye na green guard wake, Mwigulu hakuguswa. Mwigulu ametuhumiwa kutoa ushahidi wa video feki - wala haitwi kuhojiwa. Mwigulu anatembea na mtu akisema amemwagiwa tindikali na chadema, wala haambiwi kwamba huoni uchochezi bali kama ana ushahidi apeleke polisi. Mwigulu ametoa kauli ya kusema msipoichagua ccm mtakufa, hakuna lililofanyika. Ninachojiuliza, Mwigulu ni nani katika nchi hii? Cha kushangaza zaidi, makosa yote ya kijinai ya huko nyuma yakampatia cheo cha Naibu Katibu Mkuu wa CCM! Who is this Mwigulu????
 
kwenye damu za watu mnaleta siasa mwigulu ndo muhusika kama alisema tusipochagua ccm chama cha magaidi watu watakufa mnataka ushahidi gani tena?
 
Mwingulu chemba aliyeachiwa nchi na kuuvaa ugenerali ndiye haswa. Mweama huhitaji kupepesa macho. Somebody took your powers unceremoniously . Sijui kama inteligensia yenu inawapaga uwezo wa kuona mambo in the inteligent way. Ncehmba ni rebel. Take from me. Once CCM is out, the man will go into the forests.

Mwigulu alisema kupitia star tv kwamba mda mwingi walikuwa wanaishi porini wakichunga ng'ombe ndama wao wengi walikuwa wanaliwa na simba lkn walipambana nao,mwigulu atarudi atarudi tena msituni huyu osama bin lameck...IGP hakuna haja ya kumchunguza kauli ipo youtube na humu JF iteni FBI au BLOODS waje wamminye mbupu na dushelele atataja tu nani aliyerusha.
 
huyu siasa zimemshinda, bora arudi kwenye kazi ya udj, wewe kama kiongozi wa chama unakuja ya hadithi kama hizi? Hizo risasi na bomu vyote visimpate yeye na lema? Labda hiyo smg alipewa kipofu.

Anayosema mbowe ni kweli! Endeleeni kutapatapa tulikuwepo risasi zilirushwa wako majeruhi wa risasi hata gari la matangazo limetobolewa na risasi.... Na maganda ya risasi tuliokota tunayo, na Jana tuliwambia IGP aka sema tusubirie tupeleke huo ushahidi kwa TUME Leo! Tutaenda na hivyo vielelezo Kama watakuwa MAKINI some of you especially makada wa CCM you will be in trouble. Tumeumiziwa ndugu tena watoto! Sababu ya SIASA! Hv kwani akishinda diwani wa CDM sio mtanzania? Si chaguo letu kwa nini mtupige? Afu wewe unakuja unakanusha kidandara! Hapa shame on you... Na sitaogopa ntasema kweli. Cousins zangu wanne wako injured hawa ni watoto below 14, babu ambaye ni diwani yeye anaendelea vizuri, brother yeye Hali yake bado sio Nzuri? Afu wewe unaleta propaganda kwenye kitu ambacho tumeona? NGUTUNYIII NARUGUMENYEEE Kabisa!
 
Ningeiona hekima ya IGP, kama angeamua kukaa kimya tu kama hakuna kilichotokea, asijidai kushabikia sana hili tukio, ni matukio mangapi yaliyo tokea na hakuna chochote cha maana, hakuna tukio lililo kuwa wazi kulishughurikia kama la Ulimboka,lakini leo limeishia wapi? wao waendelee na shughuri zao za kutufanya wajinga sisi sikuzote tutamlilia Mungu wetu wa kweli
 
Muuwaji ni Lameck akamatwe mara moja.

kwa nia njema kabisa ningeomba afungiwe account yake JF maana hapa hatufugi magaidi.juzi katuhadaa humu eti tujenge vyama pamoja na kuendesha siasa safi na kusameheana halafu siku chache tu baadae anaenda kinyume na aliyosema,ina maana alichokipost jf ilikuwa ni kuandaa mazingira ya kutuhadaa akijua kesho yake ana agenda hii ovu?.na alaaniwe mwanga vampire mkubwa huyu!tena asijiite mkristu anaichafua tu dini yetu mss!wanatia hasira kweli hawa!
 
ujumbe kupitia simu yake ya mkononi namba 0754
78 55 57 na kwamba uhusika wao utafanywa kuwa
siri. IGP Mwema pia alisema watachunguza kauli ya
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
bara, Mwigulu Nchemba aliyowaambia wakazi wa
Kimandolu kuwa wasipoichagua CCM katika
uchaguzi wa madiwani wa Jiji la Arusha
ulioahirishwa jana, watakufa. Mwema alisema watachunguza kauli hiyo
baada ya
kuulizwa swali la hatua zilichochukuliwa kabla na
baada ya mlipuko huo dhidi ya kauli ya Nchemba. Juzi katika mkutano wa kufunga kampeni za
udiwani kwa CHADEMA uliofanyika kwenye viwanja
vya Soweto, kitu kinachodhaniwa ni bomu kilipuka
na kuua watu watatu na wengine kujeruhiwa.

Kinacho nishangaza ni uchunguzi wa Kauli ya Mwigulu hapa kinachotakiwa kufanywa ni kumchukulia hatua muhusika wa kauli hiyo kwani kauli hiyo haiwezi kupindishwa kamwe na kwa mtazamo wangu Mwigulu anatakiwa awe mshitakiwa namba moja. wengine watafuata[/QUOTE]

Usanii mtupu, kwanini ichinguzwe kauli na wala sio aliyetoa kauli? Aliyetoa kauli anapashwa awe ndani sasa hivi kusaidia upelelezi wa Polisi. Anyway huu wote ni usanii tu, kwani hata Mwema anajua kwamba hiyo ni mipango ya CCM kwa kuwatumia polisi.

Tiba
 
nemo iudex in causa sua (no one can be a judge in his own cause)
 
Huyu recruit wa mwezi mmoja wa JKT anatafuta makubwa.

Sasa naanza kuelewa kwa nini wabunge walienda jeshini muda wa miezi mitatu, hii ilikuwa kumpa tafu nchemba ili akapate mafunzo maalumu na asijulikane, Maskini kina H.Mdee walikwenda kichwa kichwa, nasasa nimeamini dogo janja ana akili sana alishasoma mchezo mzima akaipotezea ya JKT.Leo maskini kapokea kipigo duuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom