Mbowe sio yule tuliyemzoea

eti chama kimedumaa? are you serious?
 
Tulia uandike.

Hueleweki
 
Risasi.
Tanzania si salama tena.

Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
 
Nimeona video moja ya ubungo, Mbowe alikuwa ana wasi wasi na mda haina mfano, alikuwa anaogopa kupitiliza mda aliopangiwa na waliompa ruhusa ya kuongea tofauti na enzi zile.
 
Mimi siyo ccm wala chadema ila namkubali Mbowe kiko wanasiasa wote wa pande zote. Ana hekima kubwa na sijawa
 
Mbowe ndiyo chadema na chadema ni Mbowe ndiyo maana anaogopwa sana. Bila Mbowe hakuna chadema.
 
Kwa taarifa yako ujio wa lowasa chadema umewaongezea mtaji mkubwa sana wa wabunge.wewe hujui tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…