Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,862
Im verry dispointed na mbowe, angeweza sema aliteleza ulimi kwakuwa ni kweli aliongea.atatia aibu cku ukiwekwa mkanda wa kideo hapa na mtakosa namna ya kumtetea. Halafu jf mna mambo,watu washabadilika humu,mlikuwa mnamtetea na kusifia alichosema leo kageuka na nyie mnageuka, mejiabisha kwakweli.
Mkuu, ulikuwepo mkutanoni au na wewe uliipata hii article through media? kama una clip hiyo ya video na inasema tofauti na aliyoasema (au kama alivyo nukuliwa na Gazeti la Tanzania daima) si ungeweka tu hapa na sisi tusikie kama ni uongo au kweli? Mambo ya kusema itakuja kuwekwa clip ya video sijui nini, sometimes inakuaga kama majungu hivi, Nape aliwahi kutwambia (zaidi ya mara moja) kuwa anazo risiti za michango ya uanachama, nafikiri wote hado leo tunajua nini kinacho endelea.