gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Kweli. Kama anadaiwa kweli, zitakwepo documents na kama alishalipa, documents zitakwepo pia. Kwahiyo hapa nyaraka ndo zinaongeasidaiwi hata senti
mahakama imepiga mnada
wakati huo huo kuna mwanasheria nguli kama Tundu.....
tumechoshwa na manenomaneno wachukue hatua kisheria ili kama kweli hawadaiwi waje walipwe fidia ya usumbufu n.k
Acha kutumika, kwaiyo CCM ndio walimpangisha? Ayo ni mambo ya mtu binafsi acha apambane nayo mkianza kuingiza vyama iyo kesi akishindwa inamaana kimeshindwa chama.Mbowe atashinda kesi na itakuwa kashfa kubwa sana kwa CCM.
Gazeti lake unategemea liandike tofauti?
Hivi unajua kuwa kuna wizara zinadaiwa kodi?Mbowe anazingua. Atoe mapene yetu. Aache wizi wizi wake na kutafuta cheap popularity.
Mbowe tunataka pesa zetu. Acha utapeli.
Hapa tunamuongelea mbowe.Hivi unajua kuwa kuna wizara zinadaiwa kodi?
MBOWE: SIDAIWI NA NHC, NAMILIKI JENGO KWA ASILIMIA 75 KUANZIA MWAKA 1997
Alipoulizwa kwamba kulikuwa na kesi ambayo ameshindwa kama inavyoelezwa na Serikali na Uongozi wa NHC, Mbowe alisema "waulize hiyo kesi namba ngapi na ya lini. Jambo zito kama hilo linawezekanaje kuwa na kesi na wahusika wasifahamu? Tusubiri tuone".
Chanzo: Mwananchi
[emoji115] [emoji115]
Na hapo chini mwananchi analimiliki yeye?