Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,129
- 11,377
Si alisema akishindwa ataacha siasa ? Wewe unamdai nini sasa , na mlivyokuwa mnamtukana?
Alifanya chama kama mali yake. Wanachama walipochukua chama chao akaona ajitenge.Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe.
Sio Tanzania, China au hata Japan
maridhiano bila TUNDU LISU? Thubutu (anaandaka Nyanyoro Kichere)Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe.
Sio Tanzania, China au hata Japan
Unakumbuka wàkati wa uchaguzi wa Chadema wewe ulikuwa mpiga debe mzuri sana wa Mbowe? Ukishashiba mchemsho wa nguruwe unakuwa msahaulifu sana dogo.Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe.
Sio Tanzania, China au hata Japan
Hii maana yake Mbowe is a very strong politician, ukimya ni strength!.Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe.
Sio Tanzania, China au hata Japan
Hii minyumbu ya lissu na lema haijielewi, ipo ipo tu.Si mlisema amechoka apumzike, imekuwaje tena?