Mbowe ni mtu wa ajabu sana

Mbowe ni mtu wa ajabu sana

Hivi aliandamana yeye na Mwanae wa [kike] yule anaitwa nani ?
 
Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe.

Sio Tanzania, China au hata Japan
Labda wewe ndio mshamba, kukaa kimya baada ya kuhudumu mrefu kitu cha ajab
Ni ustaarabu wa mtu binafsi, unless huna huo ustaarab au una tamaa
 
Back
Top Bottom