Mwendazake alikuwa master wa ubaguzi wa ukanda, kidini na kikabila..Rest in Hell MwendazakeKitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.
Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu
Kiongozi anyefikilia masuala ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia kanda na ukabila huyu ni kiongozi mbaya sana
Taifa la Tanzania naturally halina ukabila na Ukanda na kiongozi anayepandikiza chuki na za namna hii hafai hata kidogo.
Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi aliyebagua watu ili kuwapelekea maendeleo.
Huu ndio wakati wa kumchambua Mbowe na Chadema yake kuwa hafai kabisa.
Hawa watu walikuwa mbali sana. Wakipewa nchi yao hakika itapendeza
Mwendazake ameturithisha hizo tabiaAcha ukabila na ukanda
Hakuna kiongozi aliyefanya hayo zaidi ya uongo na propaganda za kishenziHivi hii chuki dhidi ya Mbowe unapata wapi. Kupokelewa kwao kwa shangwe ni nderemo tu ndio inakufanya uoneshe chuki hivi?
Mbaya zaidi umeiweka kikabila zaidi. Ni ukweli uliowazi watu wa kanda ya kaskazini waliteswa kisaikolojia, kiuchumi, kijamii na hata physically ni ukweli uliowazi.
Ukitaka kufanya propaganda ya kisiasa zipo njia nyimgi sana pasipo kufanya characterization ya jamii fulani/kundi fulani la jamii.
Kumbuka hao hao utawahitaji kuwaomba wakipe kura chama chako.
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.
Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu
Kiongozi anyefikilia masuala ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia kanda na ukabila huyu ni kiongozi mbaya sana
Taifa la Tanzania naturally halina ukabila na Ukanda na kiongozi anayepandikiza chuki na za namna hii hafai hata kidogo.
Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi aliyebagua watu ili kuwapelekea maendeleo.
Huu ndio wakati wa kumchambua Mbowe na Chadema yake kuwa hafai kabisa.
Dogo mbona unaenda nje ya mada?
Kweli kabisa Hawa wachaga wabinafsi sana, Sisi watanzania hatuta kubali kuongozwa ma mkabila.
Acha ukabila na ukanda