Mbowe naye atunukiwe Shahada ya Udaktari wa Heshima?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,041
35,929
Mbowe ana takribani miaka 60,

Ni age mate wa Hayati Magufuli, japo mmoja anaonekana kijana kuliko mwenzake,

Kwa umri wake na harakati zake za kisiasa hawezi kurudi darasani tena.

Na ikumbukwe yeye ni form six leaver ila ana akili na maarifa mengi kuliko maprofesa wengi tu waliojiingiza kwenye siasa kwa miaka ya hivi karibuni.

Najiuliza ingekuwa vipi Mbowe angekuwa na shahada hata mbili tu na akawa chama tawala ili mawazo yake yaweze kutekelezeka,nchi ingekuwa mbali sana.

Tukubali tu kwa kizazi hiki hapa Africa ukitoa Rutto na Mbowe sioni mbadala wao

Anastahili shahada ya heshima?
 
Atunukiwe kwa lipi kati ya haya manne.

1) Kupanda stejini akiwa kaishakunywa viloba?
2) Kuusema na kuukosoa vikali utawala wa awamu ya tano?
3) Kulamba asali?
4) Kujaza watu kwenye malori na mabasi ili waje wajaze mkutanoni?
 
Back
Top Bottom