Mbowe: Naomba makamanda wenzetu muelewe hiki sio kipindi cha kawaida (Awamu ya tano)

Hili nalo watapiga kelele sikumbili tatu hizi, na kupita kama lilivyo na kusahaulika basi!
 
Mmh kweli hichi kibano sio cha nchi hii makamanda mnakiri wazi kuwa mmezidiwa kete na JPM... Kwani ule ukuta wa imani uliishia wapi haya mengine umeyataka mwenyew na mtapigwa tuu mwaka huu kwakuwa hakuna namna.
 
Hivi jamani kuna kitu ambacho tunashindwa kuelewa ni lini serikali ya kiimla ikaheshimu Demokrasia? Udikteta unapoingia nchini Demokrasia utoweka.. Ili sio mpaka uwe na cheti ata Jesca anajua.. Ahsante Kagame
 
Msimdrive presidaa nyie fanyeni kazi zenu ili yeye afanye yake. Kila kamanda akae katika kikosi chake kurukaruka katika vikosi vya watu wengine ndio mnapotafuta watu lawama kila kukicha.
 
Mbowe ana matatizo mqkubwa yamkisaikolojia. Anapaswa kusaidiwa
Na wewe siku moto wa haki utakapokuunguza utalia na kusaga meno. Wewe ni wakala wa shetani kauli zako za kutetea manyanyaso na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu itakuwa kitanzi chako siku ya kiama ikifika. Haki itakuja na siku hiyo hata huyo shetani atasepa na kukuacha solemba
 
Ukweli nilikuwa nawacheka sana al.shabab na al-qaida na waarabu wote waliokuwa wanajiripua. lakini sasa naelewa why japo si njia shihi ya kudai haki na kupinga uonevu
 
m4cjb Matusi hayasaidii, jkite kwenye hoja. Mbowe anahangaika nini wakati uchaguzi umefanyika kihalall. Kwanni walisepa?
 
Mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Mbowe ameahidi kuirudisha operesheni UKUTA kutokana na demokrasia inavyopokwa na serikali na vyombo vya usalama.

Amesema maamuzi hayo hayatarudi nyuma kutokana na kitendo cha jana CCM kutumia nguvu kupora haki za wananchi katika uchaguzi wa Meya wa Konondoni.

Mh Mbowe amesisitiza UKUTA ni kitu muhimu sana kuleta utawala wa kisheria.

 
Mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mhe.mbowe na mwenyekiti wa chadema taifa atatangaza operesheni ukuta ndani ya mwezi kufatana na demokrasia inavyopokwa na rais amesema maamuzi hayo hayatarudi nyuma kufatana na kitendo cha jana ccm kutumia nguvu kupora haki za wananchi amesema ukuta ni kitu mhimu sana kuleta utawala wa kisheria.

Hawezi mwoga sana! labda premier bet watoe odd watu wale pesa, huyo mwoga sana na anaongoza kwa mikwara mbuzi toka Dr. Slaa aondoke hakuna mwanaume tena wakusimamia maneno yake. Magu alimwambia alete fyoko fyoko aone na kama anataka kuandamana akaanzishe hai kwa DSM walikuwa Prof. Lipumba na Dr. Slaa na Shekh Ponda hao nilikutajia ukiwaona hata usoni unajua kweli ni ngoma ngumu. Mbowe wakishua mno?.
 
Mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Mbowe atatangaza operesheni UKUTA ndani ya mwezi kufatana na demokrasia inavyopokwa na Rais.

Amesema maamuzi hayo hayatarudi nyuma kufatana na kitendo cha jana CCM kutumia nguvu kupora haki za wananchi.

Amesema UKUTA ni kitu muhimu sana kuleta utawala wa kisheria.
mbona maneno hayo hayo yametuchosha
 
Back
Top Bottom