Mbowe: Naomba makamanda wenzetu muelewe hiki sio kipindi cha kawaida (Awamu ya tano)

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Ambacho naomba Makamanda wenzetu muelewe ni jambo moja,hiki sio kipindi cha kawaida, awamu ya tano sio awamu ya nne, Demokrasia haiheshimiwi, Sheria haziheshimiwi, Katiba haiheshimiwi, Jeshi la polisi limekuwa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi, Mheshimiwa Halima Mdee amesema tutakwenda Mahakamani, lakini tunasema kiongozi anaewaongoza watu, lakini hakutokana na watu, amepachikwa na dola, hawezi kuwa kiongozi halali, kwa hiyo huyo Meya wao magumashi watakaefikiria wamempata mimi na imani hana baraka za wananchi, hana baraka za Mungu na sisi hatuna sababu za kumpa baraka, tumezungumza na vyombo vya habari.

Vyombo vya habari ambavyo vinaandika habari bila upendeleo kama gazeti la Mwananchi, gazeti la Tanzania Daima, gazeti la Mtanzania, Mwanahlisi, wote walizuiliwa kuingia mlangoni, vyombo vya habari vilivyoruhusiwa kuingia ndani ni TBC ambao ni wakala wao, gazeti la Uhuru na Habari Leo, katika misingi kama hiyo, tunasema haki haiwezi kupatikana ndio sababu walizuia vyombo vya habari kwenda kuona uhuni ulioendelea kule ndani, ndani kulisheheni vikosi sio kimoja askari wengi wenye silaha nzito na mabomu wenye uniform na wasio na uniform.

Tunaliangamiza taifa hili, tunasema Rais Magufuli utaratibu huu na utamaduni huu aliouanzisha kwenye awamu ya tano ya kuuwa demokrasia analiletea taifa hili madhara makubwa na maafa makubwa, wananchi waliamua vyama vinavyounda UKAWA viongoze Kinondoni ndio sababu nimesimama kwenye ardhi ambayo ina mbunge wa Chama Cha Wananchi CUF, na jimbo la jirani hapo kuna mbunge wa CHADEMA hao wote ni familia moja ya UKAWA.
 
Mbowe ana matatizo mqkubwa yamkisaikolojia. Anapaswa kusaidiwa
Tunaliangamiza taifa hili, tunasema Rais Magufuli utaratibu huu na utamaduni huu aliouanzisha kwenye awamu ya tano ya kuuwa demokrasia analiletea taifa hili madhara makubwa na maafa makubwa, wananchi waliamua vyama vinavyounda UKAWA viongoze Kinondoni ndio sababu nimesimama kwenye ardhi ambayo ina mbunge wa Chama Cha Wananchi CUF, na jimbo la jirani hapo kuna mbunge wa CHADEMA hao wote ni familia moja ya UKAWA.
 
Ambacho naomba Makamanda wenzetu muelewe ni jambo moja,hiki sio kipindi cha kawaida, awamu ya tano sio awamu ya nne, Demokrasia haiheshimiwi, Sheria haziheshimiwi, Katiba haiheshimiwi, Jeshi la polisi limekuwa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi =Mbowe
 
Ambacho naomba Makamanda wenzetu muelewe ni jambo moja,hiki sio kipindi cha kawaida, awamu ya tano sio awamu ya nne, Demokrasia haiheshimiwi, Sheria haziheshimiwi, Katiba haiheshimiwi, Jeshi la polisi limekuwa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi,Mheshimiwa Halima Mdee amesema tutakwenda Mahakamani, lakini tunasema kiongozi anaewaongoza watu, lakini hakutokana na watu, amepachikwa na dola, hawezi kuwa kiongozi halali, kwa hiyo huyo Meya wao magumashi watakaefikiria wamempata mimi na imani hana baraka za wananchi, hana baraka za Mungu na sisi hatuna sababu za kumpa baraka, tumezungumza na vyombo vya habari.

Vyombo vya habari ambavyo vinaandika habari bila upendeleo kama gazeti la Mwananchi, gazeti la Tanzania Daima, gazeti la Mtanzania, Mwanahlisi, wote walizuiliwa kuingia mlangoni, vyombo vya habari vilivyoruhusiwa kuingia ndani ni TBC ambao ni wakala wao, gazeti la Uhuru na Habari Leo, katika misingi kama hiyo, tunasema haki haiwezi kupatikana ndio sababu walizuia vyombo vya habari kwenda kuona uhuni ulioendelea kule ndani, ndani kulisheheni vikosi sio kimoja askari wengi wenye silaha nzito na mabomu wenye uniform na wasio na uniform.

Tunaliangamiza taifa hili, tunasema Rais Magufuli utaratibu huu na utamaduni huu aliouanzisha kwenye awamu ya tano ya kuuwa demokrasia analiletea taifa hili madhara makubwa na maafa makubwa, wananchi waliamua vyama vinavyounda UKAWA viongoze Kinondoni ndio sababu nimesimama kwenye ardhi ambayo ina mbunge wa Chama Cha Wananchi CUF, na jimbo la jirani hapo kuna mbunge wa CHADEMA hao wote ni familia moja ya UKAWA.
Wakati Rais anamsaidia meya Isaya mwita ashinde jiji mbona hukupongeza? Au mmesahau danadana zilizokuwepo! Leo mmeshindwa sehemu moja tu mnapiga kelele!
Uchaguzi ni siri, msidhani Madiwani wote wa upinzani wako kwenu!
Na hayo ndo madhara ya tamaa yako ya kupenda pesa, sasa chama kiko hoi!
 
Kwa hiyo unashauri nini kifanyike sasa? Kwa maana kama ni ukuta ndiyo hivyo ushabomolewa!
 
Wakati Rais anamsaidia meya Isaya mwita ashinde jiji mbona hukupongeza? Au mmesahau danadana zilizokuwepo! Leo mmeshindwa sehemu moja tu mnapiga kelele!
Uchaguzi ni siri, msidhani Madiwani wote wa upinzani wako kwenu!
Na hayo ndo madhara ya tamaa yako ya kupenda pesa, sasa chama kiko hoi!
Alimsaidia kivipi?CCM mnapenda namba hamjui hesabu
 
Ambacho naomba Makamanda wenzetu muelewe ni jambo moja,hiki sio kipindi cha kawaida, awamu ya tano sio awamu ya nne, Demokrasia haiheshimiwi, Sheria haziheshimiwi, Katiba haiheshimiwi, Jeshi la polisi limekuwa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi,Mheshimiwa Halima Mdee amesema tutakwenda Mahakamani, lakini tunasema kiongozi anaewaongoza watu, lakini hakutokana na watu, amepachikwa na dola, hawezi kuwa kiongozi halali, kwa hiyo huyo Meya wao magumashi watakaefikiria wamempata mimi na imani hana baraka za wananchi, hana baraka za Mungu na sisi hatuna sababu za kumpa baraka, tumezungumza na vyombo vya habari.

Vyombo vya habari ambavyo vinaandika habari bila upendeleo kama gazeti la Mwananchi, gazeti la Tanzania Daima, gazeti la Mtanzania, Mwanahlisi, wote walizuiliwa kuingia mlangoni, vyombo vya habari vilivyoruhusiwa kuingia ndani ni TBC ambao ni wakala wao, gazeti la Uhuru na Habari Leo, katika misingi kama hiyo, tunasema haki haiwezi kupatikana ndio sababu walizuia vyombo vya habari kwenda kuona uhuni ulioendelea kule ndani, ndani kulisheheni vikosi sio kimoja askari wengi wenye silaha nzito na mabomu wenye uniform na wasio na uniform.

Tunaliangamiza taifa hili, tunasema Rais Magufuli utaratibu huu na utamaduni huu aliouanzisha kwenye awamu ya tano ya kuuwa demokrasia analiletea taifa hili madhara makubwa na maafa makubwa, wananchi waliamua vyama vinavyounda UKAWA viongoze Kinondoni ndio sababu nimesimama kwenye ardhi ambayo ina mbunge wa Chama Cha Wananchi CUF, na jimbo la jirani hapo kuna mbunge wa CHADEMA hao wote ni familia moja ya UKAWA.
Jamani tukafanye kazi uchaguzi umekwisha jana, mwenyekiti alikuwepo alishuhudia mwambieni awape update vizuri
 
Back
Top Bottom