Asaidiwe nini?kwani anasema uongo?chama ccm kipo madarakani isivyo halali.kama mngeruhusu maamuzi ya wananchi mngekuwa mlishapotea duniani.Mbowe ana matatizo mqkubwa yamkisaikolojia. Anapaswa kusaidiwa
Na wewe siku moto wa haki utakapokuunguza utalia na kusaga meno. Wewe ni wakala wa shetani kauli zako za kutetea manyanyaso na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu itakuwa kitanzi chako siku ya kiama ikifika. Haki itakuja na siku hiyo hata huyo shetani atasepa na kukuacha solembaMbowe ana matatizo mqkubwa yamkisaikolojia. Anapaswa kusaidiwa
Mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mhe.mbowe na mwenyekiti wa chadema taifa atatangaza operesheni ukuta ndani ya mwezi kufatana na demokrasia inavyopokwa na rais amesema maamuzi hayo hayatarudi nyuma kufatana na kitendo cha jana ccm kutumia nguvu kupora haki za wananchi amesema ukuta ni kitu mhimu sana kuleta utawala wa kisheria.
mbona maneno hayo hayo yametuchoshaMwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Mbowe atatangaza operesheni UKUTA ndani ya mwezi kufatana na demokrasia inavyopokwa na Rais.
Amesema maamuzi hayo hayatarudi nyuma kufatana na kitendo cha jana CCM kutumia nguvu kupora haki za wananchi.
Amesema UKUTA ni kitu muhimu sana kuleta utawala wa kisheria.