Mbowe na Zitto Kabwe wapimwe kwa hoja zao

Mbowe na Zitto Kabwe wapimwe kwa hoja zao

Zito na mbowe ni kama mbingu na dunia, kamwe mbowe hawezi kumfikia zito. Zito ni mwanasiasa ,mbowe mwanaharakati wapi na wapi? Hata ukiwapima kwa hoja zao bungeni mbowe hawezi kumfikia zito hata robo.
ulichoandika ni huzuni kwa taifa...km haya ndio matumizi ya technologia ni mbaya kuliko kupoteza muda ktk pornographia ya internet.Kwa Tz na duniani kote mwanasiasa ni km neno Mswahili...Mwanaharakati=Mwokozi,mpigania haki.....mwanasiasa hana course...
 
Tanzania sasa imechupa mbali na inazidi
kupokea mabadiliko makubwa sana haswa ya
kifikra. Kilasiku tunaona mikutano ya hadhara ya
wanasiasa ikifanyika kuna inayotia moyo kwa
wanasiasa wanaotumia muda wao kuandaa hoja
za msingi na kuongelea mambo yanayowagusa
wananchi moja kwa moja, wapo wengine
wanaoandaa viloja vya kwenda kutajataja majina
ya watu na pumba ambazo hazina mantiki yeyote
kwa wananchi. Na hii ni dharau kubwa sana kwa
wananchi kuwapotezea muda wao kuja kwenye
mikutanoa na hakuna wanachokipata.
Hapa nasema lazima tuwapime wanasiasa wetu
kwa hoja wanazoongea je kile anachokiongea
kina tija kwa wananchi, pia wanasiasa wetu
lazima wabadilike zile siasa za viloja mwisho
ilikuwa 2010.Watanzania wa leo hawatakubali
kuuziwa Mbuzi kwenye gunia watataka kumuona
anafananaje na ana ubora gani.
Wachambuzi wa masuala ya siasa tusaidieni
watanzania muwe mnajitahidi kuchambua yale
ambayo yamezungumzwa na wanasiasa hao
katika majukwaa yao, waanikieni viloja na hoja za
wanasiasa wetu.
Rai kwa wanachama na washabiki tuanze sasa
kutoka vifua mbele kwa hoja anazozitoa
mwanasiasa tunayempenda tusiangalie tu ujazaji
watu tu jukwaani hii nchi imevimba changamoto
ni nyingi sana.
Wakati huu ni kuwapima wanasiasa hawa wawili kwa hoja zao wakiwepo kwenye mikutano na nje ya mikutano.

Nimejaribu kufuatilia kwa kina sana hizi mada zako haswa pale unapochomekea siasa za kistaarabu na watu kutokutaja majina. Ukijaribu kuangalia wanaolazimisha kusema siasa za kistaarabu na kutokutajana majina ni wanaccm kwa wingi wao na Zitto akaingia na midundo hiyohiyo ya wanaccm eti siasa za kistaarabu. Sina mashaka na Zitto kwenye siasa za kistaarabu lakini ukweli ni kwamba hakuna cha siasa za kistaarabu bila kutaja chama ama watu haswa waliolifikisha taifa hapa kwa ajili ya kutoa mifano halisi.

Hivi leo unapoona watu wanalazimisha kuwe na siasa za kistaarabu ndio hao hao wasiokuwa na uvumilivu hata kidogo pale wanapotakiwa kuwajibishwa kwani wanatumia vyombo vya dola kuwanyamazisha wanaotofautiana nao tena kwa kuwapiga na kuwaacha na mateso makali. Mifano ni mingi, rejea kilichomkuta Dr. Ulimboka to name but a few. Leo tunawaona ccm pamoja na wanaccm waliolitea taifa letu dhahama ya kuturudisha nyuma kimaendeleo wakitaka siasa safi wakati muda wote wapinzani wa kweli wamekuwa wakifanya siasa za kistaarabu na kuishia kupigwa, kudhalilishwa na kushushiwa heshima yao mbele ya jamii, kwenye dhahama hizi huyo Zitto hazikuwahi kumkuta, je hapo kunani kati ya Zitto na ccm? Iweje leo ionekane eti kunahitajika siasa za kistaarabu baada ya ccm kubwana kila kona? Siasa za kistaarabu zimeanza baada ya ccm kuwa katika wakati mgumu namna hii?

Wewe ni shahidi mbali ya kuleta mada zako ambazo ni za kuichafua cdm na kumpamba Zitto badala ya ACT kama taasisi, ni mara ngapi Zitto ameendesha hizo siasa za kistaarabu ndani ya bunge na akaishiwa kutishwa na kukejeliwa na wanaccm ndani ya bunge, wewe ulikuwa wapi wakati huo kuanzisha mada ya siasa za kistaarabu ama hoja za Mbowe v/s Zitto? Nikuambie ndugu yangu, leo hii ccm/Zitto wanataka kujificha nyuma ya siasa za kistaarabu ili kuuongopea umma wa watz kwamba cdm hakina siasa za kistaarabu ili ccm iendelee kubaki madarakani na uhayawani wao uendelee, kwani hofu yao kubwa ni pindi watakapotoka madarakani maovu yao yote yataanikwa na mtu pekee ambaye naye ana utata ni Zitto hivyo bora wampe yeye kwani wangalau yeye Zitto na ccm ni kama waswahili wa pemba kujuana kwa vilemba. CCM wameshagundua kwamba hawana mvuto, njia pekee ni wangalau wakikosa wao apate huyo Zitto kwa mantiki ya kwamba wangalau atawaacha wezi wa mali za umma salama wakati akijaribu kubadilisha mfumo iwapo ataweza. Kwa hiyo hiyo kitu mnayojidai eti siasa za kutajataja majina ni ile hofu ya kwamba wezi mnaendelea kuchafuka hivyo bora Zitto aje na siasa eti za hoja na sio kutaja watu kwani hata yeye akitaja mtu na wao watamtaja, rejea Ngeleja kwenye sakata la Escrow kumhusu Zitto.

Kwa hiyo hicho kiini macho mnachotaka kukileta cha siasa za kistaarabu sio kweli bali ni kwamba mmebanwa kila kona na sasa ni dhahiri mtatoka madarakani na mkono wa sheria ni lazima uwashike. Hivyo namna pekee ni bora apate Zitto kwa mwamvuli upinzani wa hoja ili msalimike. So hapa hakuna siasa za kistaarabu bali ni kubanwa mpaka imebidi mje na plan B, na nina uhakika hii isipowezekana nyinyi ccm tena kikundi cha wezi wachache mko tayari kuingiza nchi machafukoni ili kulinda maslahi yenu. Kama kweli Zitto ana siasa za kistaarabu mbona hatumuoni akihoji uhuni unaofanywa na serekali kupitia uandikishwaji wa BVR, ama atapataje uungwaji mkono bila watu kuandikishwa kupiga kura? Na huyo Zitto unayemtaja kila siku anakuja hapa na fake ID akiishia kuwaponda cdm na kuwachafulia haiba yao, wakati yeye mwenyewe ni mtu anayeamini ushirikina, na mdini kupita kiasi.
 
Mbowe hana hoja yoyote ya kupima na zito. Yaan akili ya mbowe ambayo haijai hata kwenye kisoda uipime na ya zito inayojaa kwenye beseni?
hoja ya nini tena?Kiongozi anahitaji hoja ya kumpa nani tena?Kiongozi anahitaji kuzifanyia kazi hoja ..Zitto ndio anatakiwa kuwa busy kwelikweli kujaribu hoja zake za novices ...pengine mojawapo itafanikiwa kusikilizwa.Akili km za CCM hadi leo JK analeta hoja kwa wananchi na si masuluhisho ya hizo hoja.
 
Hongera sana kwa kuwakilisha mada vizuri lkn wapokeajia na wachangiaji hawapo. Kama Huna la kuchangia kaa kimya . sio kila uzi lazima uchangie. Tunataka wataram waje kutuelimisha kuna watu wengine sijui bangi, viroba, ni kulopoka tu
 
Mbowe ana caliber ya Ufisadi na Zitto ana caliber ya Ujamaa.
Mjamaa anaendesha hammer ktk nchi masikini....mjamaa anataka mil700 ya ufisadi kutoka ktk mfuko wa umma?mjamaa anafisadi NSSF?...utakuwa umetoroka milembe km haujaandika hii post ukiwa humo.
 
Siku zote watu wenye asili ya kigoma sifa zao kuu ni usaliti. Huyu zitto kama kweli anapenda mabadiliko asingeanzisha chama kipya kwenye kipindi kigumu cha kuelelekea kuing'oa ccm. Amesha wachanganya wajinga wengi sana, wengine wako humu jf wana roho za usaliti kama mume wao zitto
 
Dkt. Umepiga ikulu direct. Hilo suala huwa haliongelewi huku, japokuwa linafahamika.

Mbowe hata akizaa na mke wangu haina shida iwapo haina uhusiano wa kuizuia ccm kutoka madarakani sitajali.
 
Mwl Nyerere alisema mtu aliekula nyama ya mtu hawezi kuacha. Zz alikuwa ndumila kuwili hawezi kuwa kwa nini walimchelewesha hali lishakunywa damu ya kijani ? Ushahidi wa kununuliwa na mafisadi ulitolewa bungeni zz kufisadi hivyo ataweza danganya wachache. Sumu anayolishwa na tawala hatuinywi kamwe
 
Katika watu ambao ni hasara mmoja wapo wewe. Kuchangia haujui ila unachojua ni matusi tu
 
mbowe na zitto hahaha doctor you can't be serous, mbowe si alipata 0 au mi sijaelewa vizuri bandiko,labda mbowe na lusinde.
 
Tanzania sasa imechupa mbali na inazidi kupokea mabadiliko makubwa sana haswa ya kifikra. Kilasiku tunaona mikutano ya hadhara ya wanasiasa ikifanyika kuna inayotia moyo kwa wanasiasa wanaotumia muda wao kuandaa hoja za msingi na kuongelea mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, wapo wengine wanaoandaa viloja vya kwenda kutajataja majina ya watu na pumba ambazo hazina mantiki yeyote kwa wananchi. Na hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi kuwapotezea muda wao kuja kwenye mikutanoa na hakuna wanachokipata.

Hapa nasema lazima tuwapime wanasiasa wetu kwa hoja wanazoongea je kile anachokiongea kina tija kwa wananchi, pia wanasiasa wetu lazima wabadilike zile siasa za viloja mwisho ilikuwa 2010.Watanzania wa leo hawatakubali kuuziwa Mbuzi kwenye gunia watataka kumuona anafananaje na ana ubora gani.

Wachambuzi wa masuala ya siasa tusaidieni watanzania muwe mnajitahidi kuchambua yale ambayo yamezungumzwa na wanasiasa hao katika majukwaa yao, waanikieni viloja na hoja za wanasiasa wetu. Rai kwa wanachama na washabiki tuanze sasa kutoka vifua mbele kwa hoja anazozitoa mwanasiasa tunayempenda tusiangalie tu ujazaji watu tu jukwaani hii nchi imevimba changamoto ni nyingi sana.

Wakati huu ni kuwapima wanasiasa hawa wawili kwa hoja zao wakiwepo kwenye mikutano na nje ya mikutano.

Nimeamini mwalimu kaijage ni mjanja yaani kaamua kukuwachia huu msala wa kuipigia debe act
?nawewe unakubali kujitwisha gunia la misumari?
 
Kwani Mbowe na Zitto wako ngazi moja, Mbowe Saizi yake Anna ambaye ndo Mwenyekiti wa Chama, Sasa Zitto ni Supreme Leader yeye alinganishwe na --------- tu. Ujinga ni Ujinga hata ukiwa Zitto, unasema hutaki madaraka unaenda kuiba chama, unavuruga katiba una kuwa Kiongozi mkuu, harafu unaenda kwa wananchi kwa fikira ni wajinga zaidi yako, unajifanya mzalendo, mzalendo mwenye shutuma za USALITI, kununuliwa na Kutishia UKOMBOZI hayupo duniani labda wewe tu. WANANCHI TUNAJUA NA HATUTAKI ngozi ya kondoo kumbe mbwa mwitu

Kabla hujatuaminisha unachosema,ni vyema ukajibu haya maswali kwanza.
Kabla hujaendelea kuupotosha umma wa watanzania juu ya Zitto Kabwe na ACT-Wazalendo nakuomba utuondolee utata kwa kujibu haya maswali ili kuweka kumbukumbu sahihi.

1.Walituambia kuwa chama cha wananchi CUF
ni tawi la ccm,wakaenda mbali kwa kuwaita
kuwa ni chama cha Mashoga ghafla wakasahau
matusi yao na wakaanza mashirikiano
Mapya,Je ile tuhuma iliishia wapi?
2.Chadema walituaminisha kuwa Chama cha
NCCR mageuzi kimejaa Usalama wa
Taifa,wakaenda mbali wakamkejeli Mbatia, tena
ndani ya Bunge kuwa,yupo Upinzani huku
akiitumikia ccm,ghafla tu Mbatia ni Mshirika
namba Mbili wa Ukawa bila watanzania
kuelezwa kama zile tuhuma zilikuwa za kweli
au za kutunga kwa nia ya kuwalaghai watu.
3.Chadema kwenye Ilani yake 2010
walituambia kuwa tukiwachagua hawatachukua
posho kama hatua mojawapo ya kuonyesha
kwa vitendo kuchukizwa na matumizi mabaya
ya serikali.Je Kwanini wamekiuka Ilani yao?
4.Chadema Mwaka 2011 walikataa kushirikiana
na vyama vya Upinzani ili kuunda kambi ya
Upinzani yenye sauti na nguvu,wakatuambia
kuwa Vyama vyote ni mawakala wa ccm
isipokuwa Chadema,hivyo kushirikiana nao ni
kurudisha nyuma harakati za ukombozi,ghafla
tu baraza kivuli la mawaziri likavunjwa na wale
vibaraka wa ccm wakaingizwa kwenye kambi
ya upinzani bila sisi wafuasi kuambiwa ni lini
ukibaraka wao umeisha mpaka wakaaminiwa.
5.Tuliambiwa kuwa David Kafulila ni mtu hatari
kwa ustawi wa Upinzani hasa
Chadema,tukaambiwa ni Sisimizi ambae hana
umuhimu wowote ndani ya Chadema ,ghafla tu
Sisimizi kageuka tembo,Mtu hatari kageuka
Shujaa na sasa ananadiwa na viongozi wa
Chadema kuwa ukawa imepata tuzo,Je ni lini
kafulila alianza kuaminiwa ?
6.Tuliambiwa tena kuwa ,Serikali kutumia
mashangingi huku Zahanati hazina dawa ni
kiwango cha juu cha Ubinafsi,Mbowe akalikataa
Shangingi la Kiongozi wa Upinzani....ghafla
nimemuona Bukoba akiwa na Shangingi lenye
maandishi KUB. Je ndio lilelile alilolikataa
hadharani au ni lingine?
7.Mbowe alituahidi kwenda mahakamani,na
kudai kuwa wanasheria wake wanaandaa
mashtaka dhidi ya Zitto Kabwe baada ya Zitto
kumtuhumu kuwa alipokea fedha toka kwa
makada wa ccm na kuwa alicheza dili ns
Kinana kuhusu deni analodaiwa na NSSF.Je
taratibu za ufunguaji kesi ziliishia wapi ?
8. Chadema Mwaka 2011 ilitangazia Umma
kutomtambua Rais Kikwete kwakuwa
alishindwa na Slaa,ghafla wanatangaza kuomba
mashauriano na Rais waliemkataa,wakafika
Ikulu kujadiliana juu ya maswala mbalimbali ya
Kitaifa,wakanywa Juice na kupiga picha,Je ni
lini Chadema ilianza kumtambua Rais na
kwanini sisi wananchi hatukuelezwa kuwa
kuanzia sasa Kikwete ni Rais?
Sina nia ya kuibua Marumbano yasiyotujenga
bali nataka mtu mwenye uelewa mkubwa kuliko
mimi anaondoe Uvulivuli ili nami nijitambue.
Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda
nitakaeitetea Chadema popote.
Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa
mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo maana
umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga
mkono.
Kama Maswali yakikosa Majibu basi Chadema
itakosa uhalali wa kutuhumu ACT-Wazalendo na
viongozi wake na hivyo wananchi wataendelea
kujiunga na ACT-Wazalendo kwa kuamini kuwa
maneno yoyote yanayotolewa na Chadema ni
Ulaghai.
Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate
chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-
Wazalendo.
 
Msaliti ni Mbowe aliyezaa nje ya ndoa yake,kwani amechepuka kwa mke wake.

Hoja yako imekosa nguvu kwa kuonyesha hasira zako kwa Mbowe kwa matusi . Na kila mara hoja zako zitapuuzwa kwa matusi na dhihaka juu ya Mbowe .
 
Msaliti ni Mbowe aliyezaa nje ya ndoa yake,kwani amechepuka kwa mke wake.

Hii ndio inajionyesha kuwa wewe ni mgeni hapa jukwaani,hivi hii kitu ya kuingilia maisha binafsi ya kiongozi wa chama NJE YA SIASA, ndio inajenga nchi au inabomoa?wote tukiamua kuwashambulia viongozi ambao tunajua undani wa maisha yao na familia zao itakuwaje?tuwe na ustaarabu hata kama unalipwa kwa kumkashifu kiongozi fulani basi kataa hiyo posho.
 
Kabla hujatuaminisha unachosema,ni vyema ukajibu haya maswali kwanza.
Kabla hujaendelea kuupotosha umma wa watanzania juu ya Zitto Kabwe na ACT-Wazalendo nakuomba utuondolee utata kwa kujibu haya maswali ili kuweka kumbukumbu sahihi.

1.Walituambia kuwa chama cha wananchi CUF
ni tawi la ccm,wakaenda mbali kwa kuwaita
kuwa ni chama cha Mashoga ghafla wakasahau
matusi yao na wakaanza mashirikiano
Mapya,Je ile tuhuma iliishia wapi?
2.Chadema walituaminisha kuwa Chama cha
NCCR mageuzi kimejaa Usalama wa
Taifa,wakaenda mbali wakamkejeli Mbatia, tena
ndani ya Bunge kuwa,yupo Upinzani huku
akiitumikia ccm,ghafla tu Mbatia ni Mshirika
namba Mbili wa Ukawa bila watanzania
kuelezwa kama zile tuhuma zilikuwa za kweli
au za kutunga kwa nia ya kuwalaghai watu.
3.Chadema kwenye Ilani yake 2010
walituambia kuwa tukiwachagua hawatachukua
posho kama hatua mojawapo ya kuonyesha
kwa vitendo kuchukizwa na matumizi mabaya
ya serikali.Je Kwanini wamekiuka Ilani yao?
4.Chadema Mwaka 2011 walikataa kushirikiana
na vyama vya Upinzani ili kuunda kambi ya
Upinzani yenye sauti na nguvu,wakatuambia
kuwa Vyama vyote ni mawakala wa ccm
isipokuwa Chadema,hivyo kushirikiana nao ni
kurudisha nyuma harakati za ukombozi,ghafla
tu baraza kivuli la mawaziri likavunjwa na wale
vibaraka wa ccm wakaingizwa kwenye kambi
ya upinzani bila sisi wafuasi kuambiwa ni lini
ukibaraka wao umeisha mpaka wakaaminiwa.
5.Tuliambiwa kuwa David Kafulila ni mtu hatari
kwa ustawi wa Upinzani hasa
Chadema,tukaambiwa ni Sisimizi ambae hana
umuhimu wowote ndani ya Chadema ,ghafla tu
Sisimizi kageuka tembo,Mtu hatari kageuka
Shujaa na sasa ananadiwa na viongozi wa
Chadema kuwa ukawa imepata tuzo,Je ni lini
kafulila alianza kuaminiwa ?
6.Tuliambiwa tena kuwa ,Serikali kutumia
mashangingi huku Zahanati hazina dawa ni
kiwango cha juu cha Ubinafsi,Mbowe akalikataa
Shangingi la Kiongozi wa Upinzani....ghafla
nimemuona Bukoba akiwa na Shangingi lenye
maandishi KUB. Je ndio lilelile alilolikataa
hadharani au ni lingine?
7.Mbowe alituahidi kwenda mahakamani,na
kudai kuwa wanasheria wake wanaandaa
mashtaka dhidi ya Zitto Kabwe baada ya Zitto
kumtuhumu kuwa alipokea fedha toka kwa
makada wa ccm na kuwa alicheza dili ns
Kinana kuhusu deni analodaiwa na NSSF.Je
taratibu za ufunguaji kesi ziliishia wapi ?
8. Chadema Mwaka 2011 ilitangazia Umma
kutomtambua Rais Kikwete kwakuwa
alishindwa na Slaa,ghafla wanatangaza kuomba
mashauriano na Rais waliemkataa,wakafika
Ikulu kujadiliana juu ya maswala mbalimbali ya
Kitaifa,wakanywa Juice na kupiga picha,Je ni
lini Chadema ilianza kumtambua Rais na
kwanini sisi wananchi hatukuelezwa kuwa
kuanzia sasa Kikwete ni Rais?
Sina nia ya kuibua Marumbano yasiyotujenga
bali nataka mtu mwenye uelewa mkubwa kuliko
mimi anaondoe Uvulivuli ili nami nijitambue.
Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda
nitakaeitetea Chadema popote.
Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa
mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo maana
umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga
mkono.
Kama Maswali yakikosa Majibu basi Chadema
itakosa uhalali wa kutuhumu ACT-Wazalendo na
viongozi wake na hivyo wananchi wataendelea
kujiunga na ACT-Wazalendo kwa kuamini kuwa
maneno yoyote yanayotolewa na Chadema ni
Ulaghai.
Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate
chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-
Wazalendo.

hujui zzk ndo alianzisha hilo la cuf kuwa mashoga, zzk akiwa cdm hahaha; kajielimishe uelimishe
 
Ondoa huu uchafu bro . You cannot even leave some space kweli unataka tusome nini ? Shule za Lowasa hizi na madhara yake ya kusomea chini na majumba hayana madirisha
 
Hakuna mwenye nafasi kumsikiliza msaliti.haiwezekani watu wote kwenye chama wakuchukie wewe mtu mmoja tuu, haiwezekani, na bahati mbaya wanatoa data za ukweli kuhusika na jambo linalowafanya wakuchukie, sasa hata kama unazo hoja vipi nani ana muda nazo. wee unaye mtaka mpigie simu akuelezee.
Kwa hiyo hadi m/kiti BAWACHA Anamchukia?? Watu wote kina nani?? Mzee vipi mzeee, umetumwa na nani wewee....!
 
Back
Top Bottom