Mbowe na Zitto Kabwe wapimwe kwa hoja zao

Mbowe na Zitto Kabwe wapimwe kwa hoja zao

Zito na mbowe ni kama mbingu na dunia, kamwe mbowe hawezi kumfikia zito.
Zito ni mwanasiasa ,mbowe mwanaharakati wapi na wapi?
Hata ukiwapima kwa hoja zao bungeni mbowe hawezi kumfikia zito hata robo.

Zzk ni mwizi na mh Mbowe ni kiongozi na mtumishi wa watu.
 
Hizo hoja unazipimaje kwa ho watu wawili? maana hapo kila mmoja ana faniyake, mmoja mshika CD mwingine faniyake siasa, hapo lazima wapishane, mwanadam anae chukulia mgogoro wake binafsi kama mgogoro wa Tanzania nzima huyo hana hoja, nakwambia wapo wengine wa kuwaringanisha na si hao

Zzk fani yake ni mwana siasa?hiyo fani aliipata wapi kabla ya kuingia cdm ambako alipokelewa na Mbowe?unaonekana unashabikia siasa za zzk bila kujua historia yake kisiasa hujui kaanzia wapi hadi hapo alipo.
 
Hii ndio inajionyesha kuwa wewe ni mgeni hapa jukwaani,hivi hii kitu ya kuingilia maisha binafsi ya kiongozi wa chama NJE YA SIASA, ndio inajenga nchi au inabomoa?wote tukiamua kuwashambulia viongozi ambao tunajua undani wa maisha yao na familia zao itakuwaje?tuwe na ustaarabu hata kama unalipwa kwa kumkashifu kiongozi fulani basi kataa hiyo posho.

Zitto alisaliti kitu gani? Mbowe alimsaliti mke wake kwa kuzaa nje ya ndoa.
 
Hapa umejivua chupi Dkt! Hata Ukimuuliza Mtoto wa Shule ya Msingi atakuambia kuwa variables zako hazifanani hivyo huwezi kupima na kupata matokeo... Mzalendo Mwanamapinduzi, successful Businessman F.A.Mbowe Vs Kuwadi, Msaliti, Msakatonge, Mamluki wa CCM, Mlamba viatu vya Mafisadi wa CCM, mwenye utajiri usiokuwa na ABC Zitto Zuberi Kabwe ....???

Kiuhalisia ni vema ukampambanisha ZZK Vs Dkt Walid Aman Kabourou

Msaliti ni Mbowe aliyezaa nje ya ndoa yake,kwani amechepuka kwa mke wake.
 
Zzk fani yake ni mwana siasa?hiyo fani aliipata wapi kabla ya kuingia cdm ambako alipokelewa na Mbowe?unaonekana unashabikia siasa za zzk bila kujua historia yake kisiasa hujui kaanzia wapi hadi hapo alipo.
Naomba unieleze kabla ya zzk kuwa mwanasiasa alikuwa wap? na mbowe kabla ya kuwa mwanasiasa alikuwa wap? kumpokea mtu kwenye chama si kuwa ww nifani yako hiyo, unadhani ztt akiacha siasa kipi alichowahi fanya anawezakwenda kufanya vilevile mbowe je? MBOWE ana chuki zake ndizo zinazo leta mgogoro huu,kwanini anaendelea kumzungu mzia mtu ambaye kisha achananaye na yeye hamzungumzii.
 
Hata siku moja bega haliwezi kuzidi kichwa, msaliti ni msaliti tuuuuuuu hata iweje atakuwa msaliti tuu!
 
Mbowe ana caliber ya Ufisadi na Zitto ana caliber ya Ujamaa.

Najua utaniambia mimi bavicha kwa maoni yangu. Kwa taarifa tu, i am not a member of any political party lakini tukubaliane kuwa ACT wameamua kutoka kwa ghiliba ya Ujamaa na Uwazi. Na ndivyo vitakavofanya washindwe kwa sababu mambo hayo ni magumu kuyapigania katika dunia hii iliyoharibika!! Ujamaa ni fikra za kale na haupo popote kimatendo hapa duniani. Kinadharia najua kuna nchi zinasema zinafuata mfumo huo, ikiwemo Tanzania. Wewe ni shahidi kuwa mfumo huo kwa hapa Tanzania, umefili kama ulivofeli huko "tulipo u-kopi na ku-pesti"!!
 
Juzi juzi tuu amedhurum chama na kukibadilisha jina, wenye chama wanalalamika wanataka chama chao!
 
mbowe na zitto hahaha doctor you can't be serous, mbowe si alipata 0 au mi sijaelewa vizuri bandiko,labda mbowe na lusinde.

Mmekazania zero kila siku. Kwani yale majizi yaliyotimuliwa bungeni si maprofesa yale! Kwa akili yako ndogo mtu mwenye akili ni mwenye one na vyeti vingi. Mwenyekiti wako wa chama unajua GPA aliyopata? au mahaba yamekupofusha.
 
Tanzania sasa imechupa mbali na inazidi kupokea mabadiliko makubwa sana haswa ya kifikra. Kilasiku tunaona mikutano ya hadhara ya wanasiasa ikifanyika kuna inayotia moyo kwa wanasiasa wanaotumia muda wao kuandaa hoja za msingi na kuongelea mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, wapo wengine wanaoandaa viloja vya kwenda kutajataja majina ya watu na pumba ambazo hazina mantiki yeyote kwa wananchi. Na hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi kuwapotezea muda wao kuja kwenye mikutanoa na hakuna wanachokipata.

Hapa nasema lazima tuwapime wanasiasa wetu kwa hoja wanazoongea je kile anachokiongea kina tija kwa wananchi, pia wanasiasa wetu lazima wabadilike zile siasa za viloja mwisho ilikuwa 2010.Watanzania wa leo hawatakubali kuuziwa Mbuzi kwenye gunia watataka kumuona anafananaje na ana ubora gani.

Wachambuzi wa masuala ya siasa tusaidieni watanzania muwe mnajitahidi kuchambua yale ambayo yamezungumzwa na wanasiasa hao katika majukwaa yao, waanikieni viloja na hoja za wanasiasa wetu. Rai kwa wanachama na washabiki tuanze sasa kutoka vifua mbele kwa hoja anazozitoa mwanasiasa tunayempenda tusiangalie tu ujazaji watu tu jukwaani hii nchi imevimba changamoto ni nyingi sana.

Wakati huu ni kuwapima wanasiasa hawa wawili kwa hoja zao wakiwepo kwenye mikutano na nje ya mikutano.
Tatizo kubwa la Zitto ni usaliti Kwa watanzania, chama chake cha zamani, nafsi yake na wafuasi wake. Zitto was mwaka 2007 na Zitto wa Leo 2015 ni watu wawili tofauti ijapokuwa wanatumia sura ileile ya 2007.
Kimsingi, Leo Zitto anawafuasi wengi wa CCM kuliko chama kingine chochote cha siasa.Hii ni kutokana Zitto kutenda mapenzi ya CCM kuliko watanzania. Wao CCM wanatumia kichwa na Sura ya Zitto kufanikisha malengo yao.

Ndiyo maana,Zitto akiambiwa yeye msaliti anasema huo no ugomvi wake na Mbowe.Kwa MTU Kama Zitto tungetarajia kuona akibadilika kimatendo, mwenendo na kukemea wanaomwangamiza mitandaoni ambao Kwa kiasi kikubwa wanna chon vanisha na Umma. Mfano, kitendo cha yeye kusifiwa na CCM na yeye kuona ni sifa njema kinamwangamiza zaidi kisiasa kuliko kumjenga.Hili hataweza kuliona kwasababu ya jitihada za CCM. Baada ya Muda atakuja kujua kuwa adui take hakuwa Mbowe wala Chadema bali no CCM na yeye mwenyewe kutojitambua na kuamini kwamba angeweza kurevert his lost trust mbele ya jamii.

Kwa halo ilivyo, kuendelea kumtaja mbowe kwenye siasa za Zitto no kumpoteza Zitto na Kama hatashituka na kuwakea watu wa aina yako basi siasa zake zinaenda kubaya na atapoteza kuaminika kabisa kuliko anavyodhania.
 
Ni matusi kwa Zitto msomi kumpambanisha na Std VII Dj Mbowe
 
Last edited by a moderator:
Mbowe amemsaliti mke wake kwa kuzaa nje ya ndoa;je Zitto amesaliti nini?

Nilijuwa tunaongea na MTU mwenye akili kumbe ndo walewale wasiojitambua. Moja ya sifa ya watu dhaifu tunawapima Kwa point Kama yako
 
ACT bomu kwa mustakabali wa Tanzania

ACT ya nini tena? Tuambie kati ya hawa wanasiasa wawili nani anasimamia hoja kwa ajiri ya kuwakomboa watanzania.

Mimi ninasema zito sio saizi ya mbowe.
Mbowe kumfikia zito labda arudi shule.
 
Back
Top Bottom