Mbowe na Zitto Kabwe wapimwe kwa hoja zao

Mbowe na Zitto Kabwe wapimwe kwa hoja zao

Dkt Kilembwe

Senior Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
154
Reaction score
102
Tanzania sasa imechupa mbali na inazidi kupokea mabadiliko makubwa sana haswa ya kifikra. Kilasiku tunaona mikutano ya hadhara ya wanasiasa ikifanyika kuna inayotia moyo kwa wanasiasa wanaotumia muda wao kuandaa hoja za msingi na kuongelea mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, wapo wengine wanaoandaa viloja vya kwenda kutajataja majina ya watu na pumba ambazo hazina mantiki yeyote kwa wananchi. Na hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi kuwapotezea muda wao kuja kwenye mikutanoa na hakuna wanachokipata.

Hapa nasema lazima tuwapime wanasiasa wetu kwa hoja wanazoongea je kile anachokiongea kina tija kwa wananchi, pia wanasiasa wetu lazima wabadilike zile siasa za viloja mwisho ilikuwa 2010.Watanzania wa leo hawatakubali kuuziwa Mbuzi kwenye gunia watataka kumuona anafananaje na ana ubora gani.

Wachambuzi wa masuala ya siasa tusaidieni watanzania muwe mnajitahidi kuchambua yale ambayo yamezungumzwa na wanasiasa hao katika majukwaa yao, waanikieni viloja na hoja za wanasiasa wetu. Rai kwa wanachama na washabiki tuanze sasa kutoka vifua mbele kwa hoja anazozitoa mwanasiasa tunayempenda tusiangalie tu ujazaji watu tu jukwaani hii nchi imevimba changamoto ni nyingi sana.

Wakati huu ni kuwapima wanasiasa hawa wawili kwa hoja zao wakiwepo kwenye mikutano na nje ya mikutano.
 
Hakuna mwenye nafasi kumsikiliza msaliti.haiwezekani watu wote kwenye chama wakuchukie wewe mtu mmoja tuu, haiwezekani, na bahati mbaya wanatoa data za ukweli kuhusika na jambo linalowafanya wakuchukie, sasa hata kama unazo hoja vipi nani ana muda nazo. wee unaye mtaka mpigie simu akuelezee.
 
Msaliti ni Mbowe aliyezaa nje ya ndoa yake,kwani amechepuka kwa mke wake.
 
Kwani Mbowe na Zitto wako ngazi moja, Mbowe Saizi yake Anna ambaye ndo Mwenyekiti wa Chama, Sasa Zitto ni Supreme Leader yeye alinganishwe na --------- tu. Ujinga ni Ujinga hata ukiwa Zitto, unasema hutaki madaraka unaenda kuiba chama, unavuruga katiba una kuwa Kiongozi mkuu, harafu unaenda kwa wananchi kwa fikira ni wajinga zaidi yako, unajifanya mzalendo, mzalendo mwenye shutuma za USALITI, kununuliwa na Kutishia UKOMBOZI hayupo duniani labda wewe tu. WANANCHI TUNAJUA NA HATUTAKI ngozi ya kondoo kumbe mbwa mwitu
 
Mods umeunga ID za Simbakibogoyo na HADY D,sasa ni mda wa kuiunga pia ID ya mleta mada na HAMY D
 
Zitto hajawahi kuwa ktk caliber ya mbowe.Kajitahidi sana jilinganisha nae ila hatoweza...Hata aliponunua hammer ili akajilinganishe na Mbowe bado aliishia jiabisha..ni tabia ya masikini ambaye pia ni ugly huwa ana vitu vingi sana vya kufanya ambavyo anafikiri vitampa utu....Mwambie zitu utu haupo ktk hayo mambo anayopoteza nayo muda.Hayo mambo yanautoa utu na kumfanya awe km bidhaa.
 
Msaliti ni Mbowe aliyezaa nje ya ndoa yake,kwani amechepuka kwa mke wake.
Hizo ndiyo hoja mnazotegemea kupimwa nazo??/ unatia shaka uwezo wako wa kufikiri, anyway sikulaumu ila ungemwuuliza kwanza mama yako akwambie babayako wa kweli ndiyo urudi hapa tuendelee na mjadala, maana mambo ya kuchepuka unayajua sana inapelekea kutambua wewe ni zao la mchepuko pia.
 
mama nae akiwa alikuwa anapiga ile mikutano ya mbwa..watotowa kiswahili wanaita "Mtungo" lazima nae ATAITUNGA MIMBA na atatunga baba kati ya hao..pengine aliyempenda zaidi kati ya hao.
 
Zitto hajawahi kuwa ktk caliber ya mbowe.Kajitahidi sana jilinganisha nae ila hatoweza...Hata aliponunua hammer ili akajilinganishe na Mbowe bado aliishia jiabisha..ni tabia ya masikini ambaye pia ni ugly huwa ana vitu vingi sana vya kufanya ambavyo anafikiri vitampa utu....Mwambie zitu utu haupo ktk hayo m anayopoteza nayo muda.Hayo mambo yanautoa utu na kumfanya awe km bidhaa.

Mbowe ana caliber ya Ufisadi na Zitto ana caliber ya Ujamaa.
 
Zito na mbowe ni kama mbingu na dunia, kamwe mbowe hawezi kumfikia zito.
Zito ni mwanasiasa ,mbowe mwanaharakati wapi na wapi?
Hata ukiwapima kwa hoja zao bungeni mbowe hawezi kumfikia zito hata robo.
 
  • Thanks
Reactions: OR7
Hakuna mwenye nafasi kumsikiliza msaliti.haiwezekani watu wote kwenye chama wakuchukie wewe mtu mmoja tuu, haiwezekani, na bahati mbaya wanatoa data za ukweli kuhusika na jambo linalowafanya wakuchukie, sasa hata kama unazo hoja vipi nani ana muda nazo. wee unaye mtaka mpigie simu akuelezee.
Unaposema hakuna maanake nini? sema ww na wenzietu wapo wanao msikiliza mtu
 
Mbowe hana hoja yoyote ya kupima na zito. Yaan akili ya mbowe ambayo haijai hata kwenye kisoda uipime na ya zito inayojaa kwenye beseni?
 
Zito na mbowe ni kama mbingu na dunia, kamwe mbowe hawezi kumfikia zito.
Zito ni mwanasiasa ,mbowe mwanaharakati wapi na wapi?
Hata ukiwapima kwa hoja zao bungeni mbowe hawezi kumfikia zito hata robo.
ACT bomu kwa mustakabali wa Tanzania
 
Hizo hoja unazipimaje kwa ho watu wawili? maana hapo kila mmoja ana faniyake, mmoja mshika CD mwingine faniyake siasa, hapo lazima wapishane, mwanadam anae chukulia mgogoro wake binafsi kama mgogoro wa Tanzania nzima huyo hana hoja, nakwambia wapo wengine wa kuwaringanisha na si hao
 
Back
Top Bottom