Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kesho kitazindua kwa kishindo kampeni za Uchaguzi mdogo wa Uwakilishi jimbo la Uzini ambapo chama hicho kimejizatiti kuchukua kiti hicho na kuandika historia mpya ya chama hicho huko Zanzibar.
Taarifa ya CDM imesema vinara wakuu wa chama hicho Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa watawaongoza maelfu ya wanachama wake wa Zanzibar hapo kesho katika uzinduzi unaotarajiwa kuwa wa kihistoria.
Taarifa zaidi kutoka Zanzibar zinasema tayari Dr Slaa amewasili tangu jana kupanga mikakati ya mwisho mwisho.Pia kuna taarifa kwamba kuna shamrashamra za hapa na pale za wafuasi wa CDM.
Habari zaidi:Tanzania Daima.
Siasa za Zanzibar zimetawaliwa mno na udini na elimu duni!
ndilo tatizo wanafuasi wa mafisadi walio wengi like you hawawezi kusimamia wanachokisema
sasa ni kupiga kambi ya uhakika wapiga kura hawafiki hata 9000 hawa ni rahisi kudhiti uizi wa kura onaonajeMkuu,hata mimi nimeshangaa sana nilipoiona ile form iliyopostiwa na MAFILILI! yaani CDM ilishika nafasi ya pili baada ya ccm? siamini macho yangu.
mbona upo kama kipofu?? wanajuaje kama hawatashinda?? au wewe ndio miongoni mwa wezi wa kura?? kinachoamua ushindi ni kura so utapataje hizo kura bila kushiriki?? acha mawazo mgandoila cdm wanamoyo japo wanajua hawatashinda ila wapo tu
aingie kanisani kufanya nini ? hapa tunazumzia siasa mambo ya kanisani yanatoka wapi safari hii moto mnaoNi ngumu Mpemba kuingia Kanisani...
sasa ni kupiga kambi ya uhakika wapiga kura hawafiki hata 9000 hawa ni rahisi kudhiti uizi wa kura onaonaje
Tuwahamasishe makamanda waende kutoa elimu stahiki
Kazi kweli kweli kwani Padre alikuwa na kikao kifupi na askofu mkuu wa jimbo katoliki nZnz kuweka mambo sawa ili waumini wote wakitoka tu kanisani waelekee uzini.
kazi kwenu.
walewale ila majina yatofautiana jenga hoja simamia maneno yenye tija ... ninyi tuwaelezeje muelewe ... Hata walimu wenu walipata shida sana kuwafundisha ndiyo maana hamukubali kubadilika kuachana na sumu ya UDINI nchiniKazi kweli kweli kwani Padre alikuwa na kikao kifupi na askofu mkuu wa jimbo katoliki nZnz kuweka mambo sawa ili waumini wote wakitoka tu kanisani waelekee uzini.
kazi kwenu.
Usijali Chadema ya sasa ni tofauti na NCCR ya 2003Hata NCCR 2003 walipiga kambi pemba. Kwa hiyo chadema haitakuwa ajabu.
Padre si ameshafika huko kuweka mambo sawa pale mji mkongwe!!
Kila la kheir ila muwe makini msije mkajuta.
CDM kukata tamaa mwiko!!
2010 Parliamentary Election Results
Region KUSINI UNGUJADistrict KATI Consituency UZINI
Candidate Political Party Number of Votes Percentage Votes MUHAMMED SEIF KHATIBU CCM 6,651 81.96 ALI MBAROUK MSHIMBA CHADEMA 617 7.6 ABDI MOHD ADEYOUM CUF 524 6.46 LUSIANO BENEZENT MAREKANO SAU 46 0.57 SPOILT VOTES 277 3.41 TOTALS 8,115 100
Lakini nyie CDM si ndio mnapinga muungano sasa mnataka nini Zanzibar?
Who are the fools?This story, is what the fools want to hear although it lacks substance !
Nilifikiri hukuelewa CDM ni nini.CDM ndo nini?unakuta hata viongozi wakubwa wa chadema wanatamka CDM! Jamani ni CHADEMA sio CDM.Mkumbo kitila na wenzio mmenipata?!