Ni kweli kabisa mkuu! Sidhani kama kuna jimbo znz lenye wapiga kura 9000! Kura alizopata Lema jimbo la Arusha ni sawa na kura za majimbo 6 huko znz! Kura jimbo la ukonga na Segerea ni sawa na wakazi woto wa znz! Upuuzi mtupu!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kesho kitazindua kwa kishindo kampeni za Uchaguzi mdogo wa Uwakilishi jimbo la Uzini ambapo chama hicho kimejizatiti kuchukua kiti hicho na kuandika historia mpya ya chama hicho huko Zanzibar.
Taarifa ya CDM imesema vinara wakuu wa chama hicho Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa watawaongoza maelfu ya wanachama wake wa Zanzibar hapo kesho katika uzinduzi unaotarajiwa kuwa wa kihistoria.
Taarifa zaidi kutoka Zanzibar zinasema tayari Dr Slaa amewasili tangu jana kupanga mikakati ya mwisho mwisho.Pia kuna taarifa kwamba kuna shamrashamra za hapa na pale za wafuasi wa CDM.
Habari zaidi:Tanzania Daima.
Jimbo la uzini linakaliwa na waluguru wengi, hivyo ukitaka kupita sharti uwasiliane na mzee Mkude
jimbo gani la Zanzibar lenye uwezo wa kumpa mwakilishi kura elf 9? Hakika hamna.Majimbo yote na kura zake ninazo hapa.Wenyeviti wa vitongoji hapa bara wanachaguliwa na watu wengi kuliko wawakilishi wa Zanzibar
Juu ya dancing floor pale jirani ya brekpoint!
khaaa !!! CHADEMA ipo juu ya CUF basi kazi imekwisha tayari jimbo tunalo huko visiwani Asante Mungu kwa hiliCDM kukata tamaa mwiko!!
[TABLE="width: 416"]
[TR]
[TD]2010 Parliamentary Election Results –
Region KUSINI UNGUJA[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]District KATI[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Consituency UZINI[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100"]
[TR]
[TD]Candidate[/TD]
[TD]Political Party[/TD]
[TD]Number of Votes[/TD]
[TD]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUHAMMED SEIF KHATIBU [/TD]
[TD]CCM[/TD]
[TD]6,651[/TD]
[TD]81.96[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ALI MBAROUK MSHIMBA [/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]617[/TD]
[TD]7.6[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ABDI MOHD ADEYOUM [/TD]
[TD]CUF[/TD]
[TD]524[/TD]
[TD]6.46[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]LUSIANO BENEZENT MAREKANO [/TD]
[TD]SAU[/TD]
[TD]46[/TD]
[TD]0.57[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SPOILT VOTES[/TD]
[TD][/TD]
[TD]277[/TD]
[TD]3.41 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTALS[/TD]
[TD][/TD]
[TD]8,115[/TD]
[TD]100 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Umejibu vema kabisa ndiyo maana walisema CCM inacheza mziki wa CHADEMA I hope longer you join them to danceJuu ya dancing floor pale jirani ya brekpoint!
Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi baada ya apo nakunywa sumu nakufa.
unaakili sana m2wangu ka vile za zero brainAcheni kujidanganya Chadema haiwezi kupata maelfu ya wanachama Zanzibar,Kwani hujui mtaji wa Chadema ni upi?ni Kanisa Katoliki ambao Zanzibar wapo asilimia 1 % ya Wanzanzibar wote.Mnatakiwa kufanya uchambuzi wa kina mnapoingia katika siasa sio ushabiki! ina maana hujui kuwa maeneo ambayo Chadema ina nguvu kuna Waumini wa Dini gani?
CDM kukata tamaa mwiko!!
[TABLE="width: 416"]
[TR]
[TD]2010 Parliamentary Election Results ?
Region KUSINI UNGUJA
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]District KATI
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Consituency UZINI
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100"]
[TR]
[TD]Candidate
[/TD]
[TD]Political Party
[/TD]
[TD]Number of Votes
[/TD]
[TD]Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUHAMMED SEIF KHATIBU
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]6,651
[/TD]
[TD]81.96
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ALI MBAROUK MSHIMBA
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]617
[/TD]
[TD]7.6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ABDI MOHD ADEYOUM
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]524
[/TD]
[TD]6.46
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]LUSIANO BENEZENT MAREKANO
[/TD]
[TD]SAU
[/TD]
[TD]46
[/TD]
[TD]0.57
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SPOILT VOTES
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]277
[/TD]
[TD]3.41
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTALS
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]8,115
[/TD]
[TD]100
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Acheni kujidanganya Chadema haiwezi kupata maelfu ya wanachama Zanzibar,Kwani hujui mtaji wa Chadema ni upi?ni Kanisa Katoliki ambao Zanzibar wapo asilimia 1 % ya Wanzanzibar wote.Mnatakiwa kufanya uchambuzi wa kina mnapoingia katika siasa sio ushabiki! ina maana hujui kuwa maeneo ambayo Chadema ina nguvu kuna Waumini wa Dini gani?
Mkuu,hata mimi nimeshangaa sana nilipoiona ile form iliyopostiwa na MAFILILI! yaani CDM ilishika nafasi ya pili baada ya ccm? siamini macho yangu.khaaa !!! CHADEMA ipo juu ya CUF basi kazi imekwisha tayari jimbo tunalo huko visiwani Asante Mungu kwa hili
Kwa nani alijua kwamba Slaa atashinda urais 2010?ila cdm wanamoyo japo wanajua hawatashinda ila wapo tu