Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

Msemaji wa Chadema ni John Mnyika, nashangaa Josephine kampoka madaraka, halafu sijui kwa nini kaamua kunyoa Zungu la Unga.
dogpooping.gif
 
Hahahah...hata mimi nimemshangaa sana! Halafu anaonekana ana kiherehere sana!

Rejao na Riziwani kama ninyi mlivyo members humu kutetea magamba,ndivyo alivyo Member Josephine kuunyosha ukweli anao ujua ndani ya chadema.
Ni wakati muafaka kuacha porojo kwani si mtaji tena,simamieni sera husika na ukweli usiopinda.
 
Rejao na Riziwani kama ninyi mlivyo members humu kutetea magamba,ndivyo alivyo Member Josephine kuunyosha ukweli anao ujua ndani ya c
hadema.
Ni wakati muafaka kuacha porojo kwani si mtaji tena,simamieni sera husika na ukweli usiopinda.

Mama tupe taarifa huko mkutanoni pamekaaje badala ya ''gubu la wifi''.Sasa ni saa 17:22 wapemba wamehudhuria kwa wingi?
 
Rejao na Riziwani kama ninyi mlivyo members humu kutetea magamba,ndivyo alivyo Member Josephine kuunyosha ukweli anao ujua ndani ya chadema.
Ni wakati muafaka kuacha porojo kwani si mtaji tena,simamieni sera husika na ukweli usiopinda.

Wasamehe dada. Kazi yao humu JF ni ngumu kuliko yako, maana inahitaji ujasiri wa kishetani kutetea uovu.
 
Rejao na Riziwani kama ninyi mlivyo members humu kutetea magamba,ndivyo alivyo Member Josephine kuunyosha ukweli anao ujua ndani ya chadema.
Ni wakati muafaka kuacha porojo kwani si mtaji tena,simamieni sera husika na ukweli usiopinda.

First Lady,achana na hao wendawazimu hawajui walifanyalo
 
Nawapongeza Chadema kwa uamuzi wao wa kutobweteka na kujenga usugu wa kinadharia katika siasa za kiitanzania, hususan znz.
Ni vizuri kujaribu, kwani hamtatoka bure, lazima mtapata somo. Ila to be realistic, niyasomayo hapa si kupeana moyo, bali ni kupotezana.

Rudini katika mstari muuone ugumu wa kazi iliyo mbele yenu, hiyo itwasaidia sana, musiirahisishe kwa maneno na kauli tamu na nyepesi.
Mnafahamu fika uwezo tulio nao CCM na utajiri wa mbinu (na nyingi ni chafu) tunaoumiliki, na mnatambua hatutahitaji kuzitumia mbinu hizo kule znz tena dhidi yenu, kutokana na sababu zilizo wazi.
 
Msemaji wa Chadema ni John Mnyika, nashangaa Josephine kampoka madaraka, halafu sijui kwa nini kaamua kunyoa Zungu la Unga.
Mnyika siyo msemaji wa Chadema hapa JF Kama vile si msemaji wa CUF badala ya Mtatiro hapa JF
 
Back
Top Bottom