Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi baada ya apo nakunywa sumu nakufa.
nilisema hivi ni viapo vya kijinga vitolewavyo na wajinga (ukiwa mjinga unaweza kuelimika)
 
Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi baada ya apo nakunywa sumu nakufa.
Ni kipi bora uchi wa nguo au uchi wa akili.
 
Tukutane zanzibar wajameni, hapa ndo mtajua nini watanzania wanataka karne hii ya 21!! No more fooling around each other, ni kupeana ukweli hutaki unasubiri kulazimishwa na mabadiliko.
 
Najua nimepig nyuki ndimu lakini kua na ustahmilivu mkuu! Kumbuka Watanganyika sio sawa na Wanzanzibari, huko ikifika Uchaguzi ukiwa na vijipesa unaweza kuwahadaa watu kwa;

pombe, kanga, pilau, ubwabwa, 'Sadaka', takrima, 'kifuta machofu' na kulichukua jimbo kiurahisi na ama kuwapata wananchi wengi wa kukuwekea kura lakini tofauti kwa Wazanzibari, Wazanzibari kwao siasa ni Ukombozi na hawakubali kununuliwa kiurahisi kwa vitu vya kimaajabu majabu, kwao wao siasa imo ndani ya damu yao! Kitu chengine umesema yule mama alivuliwa mtandio na sio hijabu! Hoja sio hijabu mtandio au kilemba bali ni jinsi walivyomkashifu yule mwanamama!
Watofautishe sana Chadema na CCM ni vyama viwili tofauti hata namna wanavyo pata kura ni tofauti sana Nakuomba jaribu kudhuria kampeni/mikutani hiyo na uwe balanced kuleta habari habari uache itikadi mkuu

Kuhusu huyu dada wa hijabu nilisoma Gazeti lililo wahoji Mashekhe wao walisema kutokana na yeye kuolewa na Mkristo inamaana ameasi uislamu na wengine walikiri kuwa ule ulikuwa mtandio na si hijabu.
 
Kumbe hiki ni chama cha watu wawili..nilikuwa silifahamu hili!
Wanataka kufanya kila kitu wao, hawataki kuwapa wengine nafasi! Kwa mtindo huu chama kitakua?

We napua ndefu rohoni mwako hutaki chama kukue alafu unauliza ujinga hapa. We unapenda kikue? sema kweli unapenda kikue? Muachage unafiki we mlengo wako tunaujua mama wa abayance
 
Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi baada ya apo nakunywa sumu nakufa.

Nani ana haja ya kuona dudu lako linalotumiwa na Mkuu wa kaya. Sio tu utembee uchi bali pia uwe umeinama ****** juu
 
Hao wanachama wa CDM maelfu wametoka wapi zanzibar? Au mwandishi alikuwa naandika tu kujifurahisha?

Rudi mpaka Igunga uchunguze walivyopatikana alafu uende Uzini ukathibitishe tafiti yako
 
Nani ana haja ya kuona dudu lako linalotumiwa na Mkuu wa kaya. Sio tu utembee uchi bali pia uwe umeinama ****** juu

Inahusu? Mie ndio nimeishasema wewe endelea kutoa povu tu.
 
Kukaa kimya nalo ni jibu la mjinga.
hapana sipendi upote mkuu wewe ni mripa kodi tegemeo wa nchi hii ukijiua kwa sababu isiyo na nguvu kama hii hutakuwa umelitendea haki taifa hili

fikiria upya uamuzi wako tafadhari sana
 
Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi baada ya apo nakunywa sumu nakufa.

Itakua vizuri vijana wa mjini wa KU Cameruni, utakua so sweet
 
Watofautishe sana Chadema na CCM ni vyama viwili tofauti hata namna wanavyo pata kura ni tofauti sana Nakuomba jaribu kudhuria kampeni/mikutani hiyo na uwe balanced kuleta habari habari uache itikadi mkuu

Kuhusu huyu dada wa hijabu nilisoma Gazeti lililo wahoji Mashekhe wao walisema kutokana na yeye kuolewa na Mkristo inamaana ameasi uislamu na wengine walikiri kuwa ule ulikuwa mtandio na si hijabu.

Kwani aliyeshinda kwenye jimbo hilo alipata kura mia ngapi vile!!!

AFP 14=0.2%, CUF 9158=90.9%, CCM 731 ,
JAHAZI 29=0.3%, NCCR-
MAGEUZI 7=0.1, NRA
8=0.1%, CHADEMA 12=0.2%!!! j
 
kwani hilo jimbo la uzini idadi ya wachaga ni kubwa sana,nauliza tu jamani
 
Ila jimbo lenyewe linaitwa UZINI!!!! kama jina linahamasisha dhambi vile...
 
Tunasubiri kwa hamu kuona watu wanakiunga,mkono chama mumbadala baada ya CUF kuungana nakua kitu kimoja naCCM.
 
Hii habari ingekua mzuri zaidi kama wangeweka neno 'Wanakuja kutembea' badala ya 'Kutikisa'! Halafu nimeshangaa sana kuona maneno 'Watahutubia maelfu ya wanachama wa Chadema'! Hivi Zanzibar mzima Wanachama wa Chadema wanaweza kufika 5000 licha ya jimbo moja!?

Nilikua Msimamizi mkuu (OPO) wa uchaguzi mwaka 2010 katika moja ya vituo vilivyomo ndani ya jimbo langu na Chadema haikufika hata kura 30 kwa kituo hicho! Ilikua kila chumba zinapatikana kura 3, 4, 2 na baadhi ya vyumba havikutoa hata kura moja!!!

Chadema wanakuja kupoteza muda, pesa na mwisho wa siku watamkodolea macho Mohammed Raza (CCM) akijinyakulia jimbo kiubwete na wao kuishia kulalamika na ZEC ya kwamba wameporwa! Ushauri wa bure:

Nawaomba mutakapokuwepo huku muchunge nidhamu, hule mtindo wenu wa kuwavua mabint Hijabu kwa Zanzibar utakuja kuwaweka pabaya na huku hata sehemu za kujificha hazipo maana mukijichimbia kwenye maspeaker (hii inanikumbusha Slaa) wanaume watayachoma moto. CCM OYEEE! CUF NGANGARIII!
Hapo kwenye bold umenichekesha sana mtu wangu!....kumbe umekubali kwa kinywa chako kuwa CCM na CUF = na chama kimoja.
 
Safi sana Chadema ni mapambano muda wote mpaka kieleweke.
 
Hii habari ingekua mzuri zaidi kama wangeweka neno 'Wanakuja kutembea' badala ya 'Kutikisa'! Halafu nimeshangaa sana kuona maneno 'Watahutubia maelfu ya wanachama wa Chadema'! Hivi Zanzibar mzima Wanachama wa Chadema wanaweza kufika 5000 licha ya jimbo moja!?

Nilikua Msimamizi mkuu (OPO) wa uchaguzi mwaka 2010 katika moja ya vituo vilivyomo ndani ya jimbo langu na Chadema haikufika hata kura 30 kwa kituo hicho! Ilikua kila chumba zinapatikana kura 3, 4, 2 na baadhi ya vyumba havikutoa hata kura moja!!!

Chadema wanakuja kupoteza muda, pesa na mwisho wa siku watamkodolea macho Mohammed Raza (CCM) akijinyakulia jimbo kiubwete na wao kuishia kulalamika na ZEC ya kwamba wameporwa! Ushauri wa bure:

Nawaomba mutakapokuwepo huku muchunge nidhamu, hule mtindo wenu wa kuwavua mabint Hijabu kwa Zanzibar utakuja kuwaweka pabaya na huku hata sehemu za kujificha hazipo maana mukijichimbia kwenye maspeaker (hii inanikumbusha Slaa) wanaume watayachoma moto. CCM OYEEE! CUF NGANGARIII!

Hapo kwenye bold....kumbe unakubali kuwa CUF na CCM ni chama kimoja? nisikuone ukibisha tena
 
Back
Top Bottom