Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.

thanks Dr. tunawaombea mafanikio huko.
mjihadhari sana na CCM maana wakati huu wanatumia mbinu zote chafu wanazozijua ili tu kukwamisha CDM kukubalika znz, naamini kwa nguvu za mola CDM watalichukua jimbo.
 
WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.
asante sana kwa taarifa this is what we want " feedback" kaza buti mpaka kieleweke bara na visiwani MATAWI SABA si mchezo
Mungu awatie nguvu mpya leo
 
TIME WILL TELL...

NANI ALIDHANI cdm WANGEWEZA KUWA NA WABUNGE KWENYE MIKOA MBALIMBALI NCHINI NJE YA KANDA YA ZIWA NA KASKAZINI KAMA MAGAMBA YALIVYO HUBIRI?

chadema NI MASHINE TATA!!!

Kumbe hata nyie mnakiri kuwa kupata hayo majimbo mengine nje ya Arusha ni kwa bahati tu! na kiukweli ni makosa ya CCM ndiyo yaliyopelekea mkashinda baada ya CCM kuweka wagombea wasio uzika. Hili halina ubishi sasa kwa huku Zanzibar sijui kama CCM na CUF watafanya makosa hayo. Ok sivibaya kujipa moyo Magwanda.
 
Tunawapenda sana wanaotoa kashfa dhidi ya viongozi na wapenzi wa chadema,kwa kufanya hivyo wanazidi kutufanya tusipate usingizi na kuendeleza mapambano.keep it up.

First Lady,tuko pamoja
 
WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.

hongera Dr.
Nimefurahi kusikia kuwa 'kaafir' umepokelewa na Waislaam swaafi.
Nadhani hapo utakuwa umevalishwa kanzu na kibaraghashia, umekaa kwenye mswala (mkao wa kisigino kuziba kitobo utamu), ukipata kiamsha kinywa, chai ya tangawizi kwa maamri, ukimalisha ushushie na haluwa, tayari kabisa kwa mapambano ya kuwakomboa wana-Uzini.
Nawatakieni mafanikio makubwa huko,
halafu nimwone Ritz atakavyotembea uchi kutoka Posta mpaka Kimara Bonyokwa halafu ajipoze na 'red cat'!
 
WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.

Wewe ndiye Dr. Slaa wa ukweli? Any way mkuu tusijekusikia umejificha kwenye speaker!
 
Hivi msemaji mkuu wa Chadema ni nani?
Why always Slaa and his wife Josephine ndio wanakuja kutoa clarification hapa? Jifunzeni kudelegeti. Tumeshawazoea, sera zenu, maneno yenu, mipango yenu ni ile ile. We need fresh insight.
 
Chadema hamna kurugezi ya habari kama wale wacheza kiduku wa ikulu. Hi ni social network ndiyo maana mtu binafsi anashiriki yeye kama yeye. Waambie wanamagamba nao waingie hapa au ndo bado wanaamini JF ni ya chadema? Au ndo mambo haya ya .com hawayawezi?
 
Hivi msemaji mkuu wa Chadema ni nani?
Why always Slaa and his wife Josephine ndio wanakuja kutoa clarification hapa? Jifunzeni kudelegeti. Tumeshawazoea, sera zenu, maneno yenu, mipango yenu ni ile ile. We need fresh insight.
Msemaji wa Chadema wapi ? kwani wewe ni msemaji wa nani humu hakuka delegation ya JF
 
hivi msemaji wa CCM ni nani tena vile huku JF?waswahili bwana,tukipewa taarifa tunalalama!tusipopewa ndio kabisaaa!kha!
 
Msemaji wa Chadema wapi ? kwani wewe ni msemaji wa nani humu hakuka delegation ya JF
Chama cha mume na mke! Wote wanajitetea JF kwa pamoja at the same time. Naona mke kashayashau majukumu yake ya nyumbani, anakimbilia huku kwenye siasa!
 
WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.
Duuuh! si mchezo,hadi mwili unanisisimka! kweli Chadema ni chama makini sana! Big mh.Dr Slaa na timu yako.
 
Chama cha mume na mke! Wote wanajitetea JF kwa pamoja at the same time. Naona mke kashayashau majukumu yake ya nyumbani, anakimbilia huku kwenye siasa!

JF Comedy
 
Hivi msemaji mkuu wa Chadema ni nani?
Why always Slaa and his wife Josephine ndio wanakuja kutoa clarification hapa? Jifunzeni kudelegeti. Tumeshawazoea, sera zenu, maneno yenu, mipango yenu ni ile ile. We need fresh insight.

JF Comedy
 
WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.
Asante sana Dr. Slaa kwa updates toka Uzini tunawaombea kazi njema, nyie endeleeni kusambaza elimu ya uraia kwa wananchi inshallah mtafanikiwa, hawa wapiga porojo wa humu JF tunawamudu hawajui hata wanachotetea wanadhani kuipinga CDM kwa kila kitu ndio kutetea chama chao hata hivyo kadri siku zinavyokwenda wamezidi kuishiwa na wanazidi kupungua mmoja baada ya mwingine unajua kutetea uongo na wazembe kila siku inahitaji moyo, tumeona juzi wameshindwa hata kumtetea rais wao alivyoboronga WEF kila mtu alijificha.

Ombi langu kwenye timu iliyoko huko, baada ya uchaguzi kama ulivyosema moto huo usambae Zanzibar nzima hadi Pemba najua eneo la Zanzibar si kubwa kama huku bara kwahiyo hata raslimali itakayohitajika si kubwa. Mukiweka nguvu kubwa na Mungu akawatangulia najua mtafanikiwa.
 
Mulizeni Dr Mrema, alikwenda kuweka kambi Zanzibar zaidi ya mwezi mmoja, baada ya matokeo ya uchaguzi akuamini macho yake alipoona mgombea wake kapata kura 2.
 
Hivi msemaji mkuu wa Chadema ni nani?
Why always Slaa and his wife Josephine ndio wanakuja kutoa clarification hapa? Jifunzeni kudelegeti. Tumeshawazoea, sera zenu, maneno yenu, mipango yenu ni ile ile. We need fresh insight.

Msemaji wa Chadema ni John Mnyika, nashangaa Josephine kampoka madaraka, halafu sijui kwa nini kaamua kunyoa Zungu la Unga.
 
Hahahah...hata mimi nimemshangaa sana! Halafu anaonekana ana kiherehere sana!
 
Back
Top Bottom