Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Kati ya mahali boss wangu Siro anafeli ni kutumia polisi kutisha raia hata kwenye mambo ya haki na msingi..Tutawaletea matukio kutoka mahakamani moja kwa moja
--------------
Update
Polisi wameanza kuwakamada wanachama wa Chama wa Chadema wanaokuja kusikiliza hukumu ya Dhamaba ya Mhe. Mbowe na Mhe. Matiko
Imetosha!
Mahakama iwape dhamana kwa sababu kama kujifunza wameishajifunza.
Somo limeeleweka!
Mawakili wa serikali, please, let them go free.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaelekeza wao waongezeke wewe ukiwa ficho unaendelea na shughuli zako. kwanini usiongezeke wewe? Nimekubali "Wahuni sio watu."Kama wanawakamata, inabidi muongezeke ili wakose mahali pa kuwaweka.
Toka Lissu aponee kifo kwa risasi 16, there should not be any excuse for supporters to play their part.
Kwani mahita baada ya kustaafu mmemfanya nini? Anakula mafao tuu bila bugdha.Kati ya mahali boss wangu Siro anafeli ni kutumia polisi kutisha raia hata kwenye mambo ya haki na msingi..
Yaani mtu katoka nyumbani kwake kwenda mahakamani kusikiliza kesi wewe una tumia nguvu kumzuia haki yake ya msingi huu ni ujinga wa kiwango cha juu.
Madaraka yata kwisha ila Tanzania itabaki.
Kwani bado miaka mingapi ukaungane na Mahita kulima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifunza au kukomoanaImetosha!
Mahakama iwape dhamana kwa sababu kama kujifunza wameishajifunza.
Somo limeeleweka kuwa sheria hazina siasa!
They have learn the hard way!
Mawakili wa serikali, please, let them go free.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani nawe umekamatwa pia maana hata kuandika vizuri huwezi. Au ndiyo ngumbalo?Tutawaletea matukio kutoka mahakamani moja kwa moja
--------------
Update
Polisi wameanza kuwakamada wanachama wa Chama wa Chadema wanaokuja kusikiliza hukumu ya Dhamaba ya Mhe. Mbowe na Mhe. Matiko
Wana kibali cha kuandamana kuelekea mahakamani!