Mbowe na Matiko warejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na DPP

ingetolewa hukumu kama ni kifungo cha miaka mingapi kuliko kuhangaika na dhamana wakati kesi ya msingi iko pale pale
 
Tutawaletea matukio kutoka mahakamani moja kwa moja

--------------
Update

Polisi wameanza kuwakamada wanachama wa Chama wa Chadema wanaokuja kusikiliza hukumu ya Dhamaba ya Mhe. Mbowe na Mhe. Matiko
 
Tupeni updates hapa
Lakin nadhani Mbowe anaweza hasitoke leo ama Kesi kuhairishwa au kunyimwa
Dhamana, lakin mimi kama mimi namtaka mbowe mtaani aje tuone anaongeza nguvu gani katika harakati za kukemea baadhi ya mambo akiwa na Lissu,

Pia namshauri asidharau mahakama

Unajua hata kama unadai unaonewa, ukifanya upinzani wa kistaarabu, watu watakuelewa tu.
Hilo kosa naona hata dola wanalifanya, mfano hakuna haja ya kutisha na kutawanya watu, weka ulinzi mahakamani, unaweza kujikuta umejipatia lawama za kufukuza watu ambao hata wasingekuja kwa kiwango kinachofikiriwa.
 
Back
Top Bottom