Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,898
Tutawaletea matukio kutoka mahakamani moja kwa moja
--------------
Update
Polisi wameanza kuwakamata wanachama wa CHADEMA wanaokuja kusikiliza hukumu ya Dhamana ya Mbowe na Mhe. Matiko
Mahakama ya rufaa ya Tanzania leo imeanza kusikiliza rufaa ya maombi ya dhamana ya Mwenyekiti wa taifa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime mjini Mhe. Ester Matiko ambapo hoja tatu zimesikiliza ikiwemo ya maombi ya dhamana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mhazini wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Esther Matiko leo Jumatatu wamerejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi yao tarehe na siku itakayopangwa