Mbowe na Matiko warejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na DPP

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Tutawaletea matukio kutoka mahakamani moja kwa moja

--------------
Update

Polisi wameanza kuwakamata wanachama wa CHADEMA wanaokuja kusikiliza hukumu ya Dhamana ya Mbowe na Mhe. Matiko

Mahakama ya rufaa ya Tanzania leo imeanza kusikiliza rufaa ya maombi ya dhamana ya Mwenyekiti wa taifa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime mjini Mhe. Ester Matiko ambapo hoja tatu zimesikiliza ikiwemo ya maombi ya dhamana.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mhazini wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Esther Matiko leo Jumatatu wamerejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi yao tarehe na siku itakayopangwa
 
Tutawaletea matukio kutoka mahakamani moja kwa moja

--------------
Update

Polisi wameanza kuwakamada wanachama wa Chama wa Chadema wanaokuja kusikiliza hukumu ya Dhamaba ya Mhe. Mbowe na Mhe. Matiko
Kati ya mahali boss wangu Siro anafeli ni kutumia polisi kutisha raia hata kwenye mambo ya haki na msingi..
Yaani mtu katoka nyumbani kwake kwenda mahakamani kusikiliza kesi wewe una tumia nguvu kumzuia haki yake ya msingi huu ni ujinga wa kiwango cha juu.
Madaraka yata kwisha ila Tanzania itabaki.
Kwani bado miaka mingapi ukaungane na Mahita kulima...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imetosha!

Mahakama iwape dhamana kwa sababu kama kujifunza wameishajifunza.

Somo limeeleweka kuwa sheria hazina siasa!

They have learn the hard way!

Mawakili wa serikali, please, let them go free.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watafuata sharia na masharti ya dhamana….
2.Polisi sio wajinga kukamata kila mtu huwezi kuja na mavazi ya Chadema nk mko wengi ni kuashiria uvunjifu wa Amani , kuna ulinzi wa kutosha na unakaguliwa na ofisa usalama kwa vyombo vya kudetect chuma ama hatari then unaandika kita bu cha wageni na sababu za kwenda hapo kama kawaida …..
 
Kati ya mahali boss wangu Siro anafeli ni kutumia polisi kutisha raia hata kwenye mambo ya haki na msingi..
Yaani mtu katoka nyumbani kwake kwenda mahakamani kusikiliza kesi wewe una tumia nguvu kumzuia haki yake ya msingi huu ni ujinga wa kiwango cha juu.
Madaraka yata kwisha ila Tanzania itabaki.
Kwani bado miaka mingapi ukaungane na Mahita kulima...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mahita baada ya kustaafu mmemfanya nini? Anakula mafao tuu bila bugdha.
 
Tutawaletea matukio kutoka mahakamani moja kwa moja

--------------
Update

Polisi wameanza kuwakamada wanachama wa Chama wa Chadema wanaokuja kusikiliza hukumu ya Dhamaba ya Mhe. Mbowe na Mhe. Matiko
Nadhani nawe umekamatwa pia maana hata kuandika vizuri huwezi. Au ndiyo ngumbalo?
 
Tupeni updates hapa
Lakin nadhani Mbowe anaweza hasitoke leo ama Kesi kuhairishwa au kunyimwa
Dhamana, lakin mimi kama mimi namtaka mbowe mtaani aje tuone anaongeza nguvu gani katika harakati za kukemea baadhi ya mambo akiwa na Lissu,

Pia namshauri asidharau mahakama
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom