Moyo Mkuu?? Mwenzenu anateseka mnafanya mzaha? Poor CDM!John Mrema.
Nimemtembelea Lema Leo tare he 13.01.2017 katika gereza la kisongo nikiwa nimeambatana na Mh.Mbowe,Lissu na Ester Bulaya.
Nimefarijika kumkuta akiwa na moyo Mkuu na ametuma ujumbe kuwa tusikatishwe Tamaa bali tuongeze kasi ya Mapambano ya kudai haki
Huyu analeta dhihaka ni kumtukana tuInamaana maelezo ya kwenye post hujayasoma?