wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,290
- 3,946
Usiseme amenenepa,sema AMENONA,madaraka matamuNilikua namuangalia Lisu akiwa anaongelea swala la njaa, jamaa ananenepa mno. Anaongelea njaa lakini sura na mwili havioneshi kama vinajua kuna njaa.
Trump ilivyosemekana kaongezeka uzito akapingana mpaka basi.