ila mbowe haja mtendea vyema lema,miez mitatu toka awekwe rumande mbowe haja wah kukanya kisoga leo ndo anaenda,hyo cjaipenda kwan ninya n wamoja ktk kupgania hak hata kama mnatofautiana linapotokea jambo kama hl linalohatarisha uhai wa chama nyote lazma mshkamane niny sawa na watoto mapacha hata kama sio mapacha sare! mapacha hata wakigombana ukienda kuamulia wanaachana na kuanza kukushughulikia kwanza we2 ulieamulia haf wataendeleza ugomv wao lkn leo h binafsi nasema picha uloionesha kwangu na kwa wengne pengne cjui mitizamo yao haijanipendezesha,2napaswa kuwa wamoja pale adui anapo2shambulia au kuharib mipango ye2,kama kunatofauti baadae ziendelee huo ndio ujamaa na mshkamano. mnadhan m2 wangu wa nguv lema atajisikiaje na amejisikiaje? Lema n mbunge wa mfano ktk siasa za upinzan,binafsi namkubal sana jins anavyojiamin,lisu nae toka kesi ianze kimya sijui vle alivyowekwa ndan kaona joto la jiwe? viongoz mkipgwa selo hata raia wa kawaida nao watakuwa na moyo,msiwe na woga kama mbowe anamaneno meng sana!