Mbowe na Lissu wawasili Arusha kumtembelea Lema

Mbowe na Lissu wawasili Arusha kumtembelea Lema

Awamu ya visasi na uhasama na dharau.....kwa wanyonge! Busara zero kabisa! No kushauriwa haambiliki!!
 
Njia ya kulamba ruzuku ya chadema visafari vya ajabu hivi hubuniwa
 
Waliwaulizia sana, sasa wafananishe hawa jamaa na yule aliyegoma kwenda zambia kushuhudia lile tukio la kidemocrasia na aliposema atafita hakufika hadi juzi na alipoika ikawa majanga.
 
mh mbowe leo ndo amepata muda .....safi lkn
Kama kawaida yake huwa anawaachia watu muda wa kutafakazi na kujifunza subira.Maccm kama kawa huwa wanakuwa wepesi sana kuongea uongo kwa vile hawana uwajibikaji.Kisha hutokea n akumaliza kama alivyommaliza Mkama ktk msiba wa Bob Makani.
 
Nilikua namuangalia Lisu akiwa anaongelea swala la njaa, jamaa ananenepa mno. Anaongelea njaa lakini sura na mwili havioneshi kama vinajua kuna njaa.

Trump ilivyosemekana kaongezeka uzito akapingana mpaka basi.
 
Ni jambo zuri kumtembelea, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, good idea
 
Ni kwanin wanasiasa huwa hawatengi muda hata wa kuwaona watuhumiwa wngne ambao wanaweza kuja kuwa na ushawishi wa kuwapigia kura badae mi naona ni njia nzuri kwao km wangefny hivyo kwani sio hadi mwenzao akikamatwa ndio wajazane magerezan kumuangalia haipendez
 
Nimeona mengi ILA nimevutiwa na kombati Kama kumfree lema tumeshapiga kelele sana najua ipo siku haki itashinda dhuluma . Nawasilisha.
Ndio cha maana ulichoona?
 
Serekali iliopo madarakani ina waogopa wapinzani zaidi ya ukoma,wanaweza wakakimbia hata kivuli ambacho hakina athari yoyote kwa serekali ili mradi kiwe na jina la upinzani.

Siajabu tukasikia kuwa Lissu na Mbowe wamezuia kwenda kuonana na Lema kwa kisingizio kilekile cha wimbo uliozoeleka wa kuitwa wachochezi.
 
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe.Freeman Mbowe akiwa Mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu wamewasili Arusha Tayari kwenda kumtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema aliyeko Magereza Kisongo.
PICHANI Katibu wa Kanda
ya Kaskazini akitoa Mwongozo.
Baada ya kutembelea Mbunge Godbless Jonathan Lema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe pamoja na Mwanasheria huyo Tundu Lissu wataongea na vyombo vya habari .
View attachment 459822
Umoja ni nguvu
One day anatoka
 
Back
Top Bottom